reli

Reli (also spelt as Relli) are an ethnic group, who reside in Indian states of Andhra Pradesh and Odisha.

View More On Wikipedia.org
  1. Hadi leo najiuliza, ilikuwaje tukajenga SGR kwenda Burundi na kuacha kuboresha TAZARA kuwa SGR ambapo tungefika Congo kirahisi sana

    Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia. Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
  2. Abiria wakwama Kilosa, Morogoro, ni baada ya reli na daraja kusombwa na maji

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha madhara kwa kuharibu miundombinu ya reli ya kati na barabara ambapo daraja la Kidete Wilaya ya Kilosa limekatika na kusababisha treni kusimamisha safari zake. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Majid Mwanga amefika eneo la tukio na...
  3. Jarida la reli na matukio toleo maalumu la mwaka 2021

  4. Tanzania na Burundi kujenga reli ya thamani ya $900m

    Burundi na Tanzania zimetia saini mkataba wa $900m kujenga njia ya reli itakayounganisha nchi hizo mbili jirani, tovuti ya Citizen imeripoti. Reli ya 282km ya standard gauge itaanzia Uvinza mkoani Kigoma nchini Tanzania hadi Gitega, mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, ripoti ilisema. Waziri wa...
  5. China yaanza kujadali mikakati ya reli ya SGR kuunga hadi Rwanda, DRC, Uganda na Sudan Kusini

    Mataifa yote hayo kuunga kwenye reli moja kutokea Mombasa, mazungumzo yameanza na mikakati kupangwa...... Nairobi. China is proposing a grand infrastructure plan for the Horn of Africa that would involve expanding the two major railroads and developing ports on the Red Sea and the Indian Ocean...
  6. Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni. Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Kigoma wachukulie Tabora mizigo yao itakayoletwa na SGR hapo. Tukipata faida...
  7. L

    Ujenzi wa reli umekuwa alama ya ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika

    Katika miongo kadhaa iliyopita, ujenzi wa reli umekuwa sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Kuanzia Reli maarufu ya TAZARA iliyojengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi Reli ya SGR ya Kenya, Reli inayounganisha Addis Ababa na Djibouti, na Reli ya Abuja–Kaduna ambazo...
  8. Chonde chonde PPRA, waruhusuni TRC kuchagua mkandarasi wa kujenga reli kwa mfumo wa single source for a National interest

    Nimeona kwenye magazeti juu ya mvutano wa PPRA na TRC kuhusu mfumo wa kuchagua mkandarasi wa kujenga reli. Nawaomba PPRA waangalie jambo hili kwa maslahi mapana ya taifa ili kuwawezesha TRC kupata mkandarasi atakaye weza kujenga reli at EUROPEAN standards. Mkiruhusu international competitive...
  9. M

    Rais Samia, Wananchi hatutaki madalali wa kisiasa kuingilia ujenzi wa reli ya SGR, tunataka plan ya Hayati Magufuli iheshimiwe kwenye SGR

    Sikukubaliana na JPM kwenye mambo mengi ikiwemo Udikteta, Uonevu na Mradi wa Ndege Lakini namuunga mkono sana kwenye mradi wa Stieglers na SGR Kwa hiyo Mheshimiwa Rais Taarifa hii ya Gazeti la Jamhuri imetushtua sana wanananchi, na hivyo tunasema hivi hatutaki Madalali wa Kichina kwenye...
  10. T

    Nakuomba Waziri Mbarawa ukajionee wizi na uozo unaolitafuna Shirika la Reli ya Kati kipande cha Tabora - Mpanda

    Ni jumapili iliyopita nilipojaribu kusafiri Kutoka kijijini Ukumbi kakoko kilichopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora kuelekea Tabora mjini, ambapo kwa bahati mbaya siku hiyo treni ilichelewa kupita hivyo nikalazimika kusafiri kesho yake yaani jumatatu. Nilichokishuhudia kwenye hii...
  11. Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
  12. Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

    Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  13. J

    Kampuni ya Elsewedy ipo katika mazungumzo kuwekeza katika reli na kiwanda cha mbolea

    ..nisiongeze wala kupunguza maneno. ..kampuni ya Elsewedy ya Misri kuwekeza ktk miradi mbalimbali mikubwa hapa Tz. https://www.elsewedyelectric.com/en/about-us/our-journey/ https://www.youtube.com/results?search_query=waziri+mwambe+afunguka+ujenzi
  14. Nimeguswa na ubunifu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nawapongeza na kuwataka waongeze ubunifu

    Jumapili ijayo, klabu za Simba na Yanga zinapambana kwenye mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho almaarufu kama Azam Conf. Cup. Mchezo huo kabambe ambao unabeba tukio kubwa la kisoka nchini utapigwa kwenye uwanja wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma. Katika kuchagiza na kusherehesha mechi hiyo...
  15. L

    Reli ya Kisasa ya SGR yaleta mabadiliko katika sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria nchini Kenya

    Ikiwa ni zaidi ya miaka minne sasa tangu reli ya kisasa ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya kuanza kutumika, sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria imepata mabadiliko makubwa na kusaidia ukuaji wa uchumi na ajira. Kufikia sasa, zaidi ya abiria milioni tano wamefaidika na uchukuzi wa bei nafuu...
  16. USHAURI: Shirika la reli uzeni mali zote ambazo hazitumiki mathalani Vyuma chakavu

    Nimepita maeneo mbalimbali nimejionea namna shirika la reli limekuwa likitunza mavyuma chakavu kama mabehewa mataruma na makaravati ambayo yamechakaa. Hivyo nashauri mali hizo ziuzwe kama malighafi kwa viwanda vyetu vya ndani vya kutengeneza material ya chuma (steal industry) ili tuweze kupata...
  17. Pakistan: Zaidi ya watu 30 wafariki baada ya treni mbili za abiria kugongana

    Treni mbili za abiria zimegongana nchini Pakistan mapema siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30, huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa. Treni moja, Millat Express ilitoka nje ya reli kabla ya kugongwa na treni nyingine, Sir Sayed Express. Haijafahamika mara moja...
  18. Rais wa Burundi kuja kukagua bandari ya Kisumu, ikumbukwe tumeunga reli ya moja kwa moja kutokea Mombasa

    Mambo yanazidi kuwa kizazi zaidi, ngoma inogile, bandari yetu ya Kisumu inazidi kuwasha moto na kukaa mkao wa kula... Mwanza na Kanda ziwa Tanzania ni soko kubwa sana ukilitia mfukoni, tutie kwapani Burundi, Rwanda na Uganda..... ================================...
  19. Kipande cha SGR Morogoro to Makutupora 61%

    PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%. Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa. ====...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…