redio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni

    Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni. Kwa hii serikali haramu sishangia kusikia star tv imekataliwa iuuzwa kwa wahuni na hakuna utawala wa kisheria ndio sababu kuu ya kuanza kuiba na...
  2. secretarybird

    Redio One mmetukera wasikulizaji wenu kwa kutopiga wimbo wa Remmy Ongala, 'wema ni qumanyoko' kwenye kipindi chenu cha nani zaidi.

    Kwa kweli leo baada ya kufungua redio yangu nimekutana na kipindi cha nani zaidi pale Redio One na waliopambanishwa ni Hussein Jumbe na Remy Ongala ambapo nyimbo Tano za Dr Remmy zilipigwa na tano za Hussein Machozi nazo zikapigwa. Kilichonikera ni kukosekana kwa wimbo unaopendwa na...
  3. srinavas

    DOKEZO Redio zilitangaza umbeya muda mwingi kulenga Wanawake walio nyumbani, sasa hivi ni Mpira tu, je Wanaume ndio wapo nyumbani au hawana kazi?

    Habari za muda huu wadau, Leo nilikuwa na safari fulani hivyo ikanibidi kupanda daladala kwa umbali mrefu kidogo, Kutoka tegeta mpaka Mbagala. Baada ya kupanda daladala nikiri kwamba nimeshuhudia na kujifunza mambo mengi sana, Kwanzia msongamano, Kugombania na pia kukutana na watu mbalimbali...
  4. Mjanja M1

    Radio47 ya Kenya ndio redio pekee ninayoifuatilia sasaivi

    Naomba watanzania wenzangu muifuatilie hii redio maana inatoa habari ambazo ni za uwazi na lugha wanayoitumia ni Kiswahili, unaweza kuhisi ni redio ya Tanzania kumbe ni ya Kenya. ASANTE KENYA
  5. Financial Analyst

    Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  6. N

    Habari njema, je wajua unaweza kumiliki Tv yako au Redio yako kwa njia ya mtandaoni ?

    Habari wakuu, Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
  7. Penguinelli Cactussini

    Mama Mwenye nyumba wangu anafungulia redio mpaka mwisho NIFANYEJE ahame?

    Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇 Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
  8. magabelab

    Kutumia akili unde kusikiliza redio na kutuma taarifa muhimu kwenda Whatsapp group.

    Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp. --- ### Sehemu ya 1: Vifaa na Mahitaji (Hardware and Software) #### Vifaa (Hardware): 1. Arduino Uno: Hiki ndicho...
  9. Pdidy

    Hivi hizi redio zinasambaza matangazo ya makampuni yanayouza viiwanja feki awaogopi Mungu??

    Shalom wapendwa, Niwajulishe tu mimi ni mhanga wa zile kampuni zinazojitangaza zinauza viwanja redioni. Unasikia matangazo: “Njoo Jumamosi saa kumi ukaangalie kiwanja chako…” Mimi nililipa, na baada ya muda nikafika. Nilipokuta, ndugu wengine nao walikuwa wakisema mali zile ni zao. Hawa...
  10. C

    Ninavyoichukia teknolojia ya redio fm!Watu wa vijijini wametengwa sana

    Wakati mabadiliko ya kutoka mawimbi ya midwave na short wave,tuliaminishwa kwamba Frequency modulation (FM) itakuwa bora na mkombozi wa wapenzi wa redio. Ninakubali huenda kwa watu wa miji mikbwa kama Arusha, Mwanza ,Dar , na Dodoma wanaweza kuwa wanasikia vizuri kwa utulivu vituo vingi vya...
  11. N'yadikwa

    Hamjagundua watangazaji vituo vya redio wameanza kung'olewa!?

    Wazee wa minyama Kitenge na Zembwela siwasikii siku hizi!! Au hiyo bodi ya waandishi ishakula vichwa!?
  12. Waufukweni

    Wazimbabwe lazima kulipa ushuru wa kusikiliza Redio kwenye magari yao, Sheria yatiwa saini na Rais Mnangagwa

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametia saini mswada wa sheria unaowataka madereva wote wa magari nchini humo kulipia ushuru wa kusikiliza redio kabla magari yao hayajapewa bima ya magari. Kulingana na sheria hiyo mpya ya ushuru, madereva watatakiwa kulipia kiasi cha Dola 92 za Kimarekani...
  13. Tauceti Rigel

    Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  14. Fbn

    Kuna kipindi kupitia redio ya Kenya radio47 kikijadili udukuzi wa Tanzania account za serikali

    Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira. Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia jina la diamond,zuchu au mama samia 1234 ndio zinatumika. Mpaka anaeleza haya inawezekana hata account...
  15. Babu Kijiwe

    Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  16. Babu Kijiwe

    Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  17. Nkarahacha

    Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii. Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
  18. Fbn

    Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

    Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo. Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?. Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money. Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
  19. DR Mambo Jambo

    Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Magari yanayotumia mawimbi ya redio yanakwenda kuua biashara ya mafuta, gesi na umeme

    Swala la kuzalisha umeme wa kuendesha gari kwa kutumia mawimbi ya redio sio utani. Nimejaribu kukagua makablasha ya physics nimepata jibu kama ifuatavyo: Formula ya Kuzalisha Umeme Kutoka kwenywe Mawimbi ya Redio Nguvu ya umeme inayozalishwa kutoka kwenye mawimbi ya redio ni sawa na: Nguvu...
Back
Top Bottom