rasimu

Edward J. Rasimus (September 29, 1942–January 30, 2013) was a retired United States Air Force Major and a veteran fighter pilot of the Vietnam war. Rasimus flew more than 250 combat missions in F-105 Thunderchief and F-4 Phantom II fighters during the conflict and received the Silver Star, the Distinguished Flying Cross five times, and numerous Air Medals. Rasimus was an award-winning author residing in Northern Texas.

View More On Wikipedia.org
  1. ChekoFagia

    PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  2. Zehoes

    DOKEZO Mimi na Mke wangu tunatishiwa kuuawa kwa tuhuma za uongo

    Mimi, mwalimu katika Shule ya Sekondari Likongowele, Wilaya ya Liwale, kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha malalamiko haya kwa mamlaka husika kuhusu hali ya usalama wangu pamoja na familia yangu. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tishio kubwa la usalama (hata kuuwawa) kutokana na...
  3. Dr Adam Francis

    Ukomo wa Ubunge; wananchi walisema nini kwenye rasimu ya Warioba?

    Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu, hata hivyo, Rais Kikwete na bunge la katiba waliikataa hoja hiyo. Kama ilivyo duniani kote, utumishi...
  4. haszu

    Kulikua na haja gani ya kutumia hela kwenye rasimu ya katiba mpya kama viongozi hawakua tayari kupokea maoni na matakwa ya wananchi?

    Tume imezunguuka nchi nzima, bunge likaundwa, watu wakala posho, wengine wakasumbua kichwa kuandika na kutoa maoni, amd them ni kama vile mchakato ushatupwa, WHYYYYY? Pesa za umma Hajaliwi aliechuma Wanaokula wana njama Kama huamini, uliza father Kitima. Ama Tundu Lissu, gerezani alikokwama...
  5. Halmashauri ya Jiji DSM

    Madiwani Jiji la DSM wapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti ya TShs. Bilioni 290.5 kwa Mwaka 2025/26

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, limefanya Mkutano Maalum wa Mapitio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba, 2024) na kisha kufanya Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 wenye Jumla ya TShs. Bilioni 290.5...
  6. Planet Data bundles

    Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

    Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl Karibu sasa rasmi:
  7. tufahamishane

    Iko wapi rasimu ya katiba ya warioba

    Iko wapi Rasimu ya katiba ya walioba? Mbona haiongelewi popote wakati iligharimu mabilioni ya pesa za watanzania pamoja na muda wa watanzania Nani awajibike juu ya Hilo? Na Nina wa kumuwajibisha? Aliye na majibu anijibu
  8. DR Mambo Jambo

    Kipi kinafanya Rasimu ya katiba ya warioba ikose uhalali kwa Serikali na CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani kuipigia kelele kuhalalishwa?

    Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo? Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
  9. R

    Dira mpya ya Taifa imo ndani ya Rasimu ya kwanza ya Tume ya Warioba

    Salaam, Shalom! Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo, Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya, Turudishe mezani Rasimu ya Tume ya Warioba Ile ambayo aliwasilisha mwanzoni tuanzie hapo kuongeza maoni mapya...
  10. K

    Rasimu ya sera mpya ya elimu ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 hii hapa

    Wanabodi, leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili. Nini maoni yako?
  11. Stephano Mgendanyi

    Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka

    SERIKALI KUWA NA IMANI NA SERA YA TAIFA YA UGATUAJI WA MADARAKA KATIKA MAWANDA YA USHIRIKISHWAJI WA WADAU Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka ambapo wadau mbalimbali wameshirikishwa na kutoa maoni yao ambapo Rasimu hiyo imewasilishwa katika ngazi...
  12. B

    Kaskazini wagomea rasimu kanuni mpya LATRA

    Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. Amos Makalla ni shahidi mwaminifu kwenye hilo. Kaskazini mwanzo mzuri. Hakuna kurudi nyuma. Na mkikaza inavyopaswa, pana watu vibarua vitaota nyasi. Kwamba ukaguzi wa magari au inatakiwa pesa kwa mtindo ule ule wa kariakoo? Kwani Kariakoo walikitanzua...
  13. M

    Kilimo kutofundishwa shule ya msingi ni kasoro kubwa kwa rasimu ya mtaala

    Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo. Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri halisi kuwa hata Wananchi huko wanakolima hawatathamini kilimo na baadae wageni wawekezaji watakuja...
  14. Wilson Gamba

    Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua Nini kimo maana elimu Ndo Kila kitu katika taifa lolote maana Ndo jiko la wataamu wenye Chachu ya kuleta Maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo: 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya...
  15. Wilson Gamba

    Maoni yangu juu ya rasimu ya mitaala na Sera ya elimu 2023

    Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua nini kimo maana elimu ndo Kila kitu katika taifa lolote maana ndo jiko la wataamu wenye chachu ya kuleta maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila maoni yangu ni Kama ifuatavyo; 1. Kwenye Sela ya elimu lugha ya kujufunzia ni Kiswahili kwa shule za...
  16. Patriot

    Rasimu ya sera mpya ya Elimu; Tunachezewa kama yale ya Kilimo kwa vijana

    Nimemsikiliza waziri wa elimu akisisitiza kwamba sera mpya inatimiza matakwa ya rais. Sasa hapo ndo mwanzo wa ujinga wetu. Rais siyo mtaalamu wa elimu. Sera siyo ya rais, kwa nini sera mpya iwe inayotoa majawabu kwa rais? Sera hii kama itapitishwa kama kawaida yetu kwa vision ndogo ya aina hii...
  17. M

    Rasimu ni maoni sio Katiba

    Kwa mara ya kwanza kabisa nitashiriki katika kongamano la KATIBA MPYA hapa kwa dhumuni maalum lenye kutoa fursa ya mawazo mbadala nje ya rasimu ama ile ilopendekezwa ambayo muda sii mrefu mchakato wake utaanza. Ni matumaini yangu kuwa sii Wananchi wote walopata fursa ya kuchangia mawazo ama...
  18. R

    Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  19. M

    Wizara ya Elimu, Taasisi ya Elimu. Mapendekezo yenu ya Rasimu ya mabadiliko ya Mitaala bado yana mapungufu mengi

    Nimesoma Rasimu ya Mitaala inayopendekezwa, kufuatia kile kinachoitwa mabadiliko ya mitaala ya Elimu nchini Nilichokiona katika mabadiliko hayo naweza kusema kuwa bado hakikidhi mahitaji ya Watanzania katika kupata Elimu bora ya kuwakomboa. Katika Rasimu hiyo inayoelezea mitaala ya Elimu...
  20. Lady Whistledown

    Tunisia: Mkuu wa Kamati ya Mapendekezo ya Katiba Mpya alaani Rasimu iliyochapishwa na Rais Kais Saed

    Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
Back
Top Bottom