rasilimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  2. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Mfumo hauhitaji akili za maskini, unahitaji tu nguvu zake. Anapofikiri anakuwa tishio, lakini anaponyamaza anatumika, anakuwa rasilimali

    Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
  3. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini ushukuru au uombe kujengewa Barabara, Shule au Kisima na Serikali kama kodi na Rasilimali zenu ndo zinazozalisha hiyo hela?

    Katika jamii yoyote inayotawaliwa kwa misingi ya haki na usawa, wananchi wanapaswa kuwa kiini cha mipango ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, hali imekuwa tofauti katika maeneo mengi ambapo wananchi wanalazimika kuandika barua, kuomba kwa wanasiasa au hata kuandamana ili kupata huduma za msingi...
  4. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Rasilimali watu ni biashara inayowezesha kwa kuleta mfumo wa kushirikiana na idara nyingine katika kila jambo

    Kurugenzi ya Utawala na Rasilimaliwatu ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), imesema Rasilimaliwatu ni biashara inayowezesha kwa kuleta mfumo wa kushirikiana na idara nyingine katika kila jambo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala wa TRC Bi. Irene Ungani Kyara ,wakati wa...
  5. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

    Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!! Can you believe that fellow Africans? MACRON: 🗣️ “If we leave African...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%. Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Msimamo wetu wa kulinda rasilimali mpaka mwisho uko pale pale, wakimfunga Lissu wengine tutasonga mbele

    Makamu Mwenyekitu CHDAEMA, John Heche akiwa anaongea na waandishi wa habari April 12, 2025 ikiwa ni baada ya kutangazwa rasmi kuwa CHADEMA kwa kutofika kusaidi kanuni za maadili ya uchaguzi wamejiondoa rasmi katika kushiriki uchaguzi mkuu 2025 ametoa msimao wa chama, ambapo amesema...
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kutengeneza filamu ambayo haipo hata top 20 Netflix,Youtube wala popote ni upotevu wa rasilimali fedha na muda

    Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii. Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
  10. Elly official

    JamiiForums Tanzania Afrika: Bara Tajiri kwa Rasilimali, lakini Maskini Kiuchumi

    Na Elly Maduhu Nkonya Afrika ni bara lenye utajiri wa rasilimali za asili, ikiwa na dhahabu, almasi, mafuta, gesi asilia, cobalt, madini adimu, ardhi yenye rutuba, na rasilimali watu yenye nguvu kazi kubwa. Hata hivyo, licha ya utajiri huu wa asili, bara hili limeendelea kuwa maskini kiuchumi...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji taasisi ya kufanana na DOGE ile ya Marekani ya Elon Musk; uzembe na matumizi mabovu ya rasilimali hapa nchini unaenda ukikithiri

    Wanamjengo, Kuna matukio makubwa Trump kafanya leo terehe 21 March, kwa kusaini executive order ya kuvunja Department of Education na pia kutangaza kupunguza idadi ya wafanyakazi wa idara ya Small Businesses Administration kwa asilimia 40. Sera hizo mbili zina mchagizo wa kazi nzuri...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Deus Sangu: Usimamizi mbovu wa Rasilimali Watu unasababisha kushuka kwa utendaji kazi katika Taasisi za Umma

    NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amewataka maofisa utumishi na wakurugenzi wa taasisi za umma kuhakikisha wanawajibika ipasavyo katika kuhudumia watumishi na kuacha uzembe na usumbufu wanaposhughulikia changamoto zao. Akizungumza leo...
  13. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Watanganyika Salamaaa👋👋👋

    Ninyi na rasilimali zenu safiii!!! Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa yetu ndani ya muda fulani" Baada ya muda uliowekwa kupita mnamuona yule mateka mtaani mzima wa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Tume ya madini kuimarisha usimamizi wa sheria kuinufaisha jamii dhidi rasilimali zake, ujenzi wa shule wachangiwa mifuko 50 ya Saruji

    Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo. Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
  15. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Rasilimali za kilimo, ufugaji na uvuvi na mchango wake katika uchumi wa Tanzania

    RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa. Miongoni mwa sekta hizi ni kilimo, ufugaji na uvuvi. Sekta hizi zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

    Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA. Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  19. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali watakiwa kuwasilisha taarifa za Mali na Madeni kabla ya Desemba 31, 2024

    Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024. Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Taasisi Thabiti vs. Rasilimali Asili: Siri ya Utajiri wa Mataifa

    Tuzo ya Fagus Rick’s Bank ya Sayansi ya Uchumi kwa heshima ya Alfred Nobel, ambayo mara nyingi huchukuliwa kuwa Tuzo ya Nobel ya Uchumi, hutolewa kila mwaka kwa wachumi waliotoa mchango mkubwa katika sayansi ya kijamii. Tuzo hii ni ya pekee kwani haikuwa miongoni mwa tuzo asili zilizoanzishwa na...
Back
Top Bottom