rangi

Ngāti Rangi is a Māori iwi (tribe) of New Zealand, whose tribal district is mainly around Ohakune and the Upper Whanganui River in the central North Island. Ngāti Rangi trace their ancestry to the chief Paerangi. They believe they were in New Zealand before the main migration of Māori to the country.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani na alitokea sehemu gani, ni ujinga na upumbavu

    Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani. Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuna muhimili mmoja unaopakwa rangi

    Tuna mhimili mmoja. IKUBALIKE BILA MANUNGUNIKO. Asubuhi Wanaupaka rangi ya serikali. Mchana wanaubadili rangi unakuwa mahakama. Jioni unapakwa rangi ya bunge. Hakikisheni rangi imo ya kutosha kwenye makopo na wapakaji wawe sharp ili kuokoa muda. V Kuna kitu hakiko sawa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye RAV 4 J namba D rangi bluu,kijani au silva kwa bajeti ya 9m anipm haraka tumalize biashara

    Nahitaji rav 4 J yenye rangi twajwa hapo juu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Paving blocks zimefubaa mno. Je, nitumie rangi gani ziwe mpya?

    Wakuu naombeni ushauri wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya?
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni rangi gani nzuri ya kupaka kati ya hizi?

    Wadau kwemaa! Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka naomba kuuliza je NI rangi gani nzuri ambayo haipauki unapo paka ktk kuta za nyumba yako Coral Plastcon Billion Binafsi hi billion sioni Kama no nzuri milipakaa ktk Fisher body aiseee hata miezi Saba haina Lin ishaanza kubabuka. Wadau naomba...
  6. JamiiForums Tanzania Gari ambayo haijawai rudiwa rangi

    Msaada Nitaitambuaje gari amabyo haijawai rudiwa rangi?
  7. JamiiForums Tanzania Je alichofanyiwa Barbara sio ubaguzi wa rangi?

    Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio ubaguzi wa rangi kwa Barbara? Au ubaguzi ni lazima abaguliwe mweusi??
  8. JamiiForums Tanzania Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  9. JamiiForums Tanzania Hili suala la vitambaa vya unahodha kwenye ligi ya uingereza kuwa na rangi ya Rainbow ni kwamba ligi hii inasimama na mashoga ama imekuaje

    Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo. Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala. Tazama...
  10. JamiiForums Tanzania Bei gani kupaka rangi upya huko Dar es Salaam

    Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani. Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani kwenye sit na dashboard imeshachakaa,nikipakia demu naanza kujitetea sana.Nataka ing'ae kote...
  11. JamiiForums Tanzania Kurudisha rangi ya Bathtub iliyochakaa

    Natafuta namna ya kurudisha bathtub ambayo imechakaa. Nahitaji kuirudia maana naona imepata kutu. Nliwaza hizi rangi za ku spray za kopo nyeupe.sijui kama zinafaa au kuna ambazo zinapatikana kwa ajili hiyo. Naombeni msaada kwa mnaofaham.zinauzwa wapi ,tsh ngapi na aina gani
  12. JamiiForums Tanzania NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

    Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki. Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: PC (laptop) yangu screen yake imebadili rangi kuwa pink

    Habarini za Usiku wadau wa Tech Leo nimekumbana na hii scenario nawasha Pc yangunlkn muonekano wa screen sio ule wa kawaida, ina ka rangi kama ya pink flan iv sometime ina ambatana na kama mistari iv ..ningeomba watalaam mnisaidie ku share tip juu ya hili tatizo Je ni kioo kina shida au ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Baraza ka Kiswahili (BAKITA) badilisheni rangi zenu zinatuchanganya

    Huko twittani nimekuwa nakumbana na post mbalimbali za Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA). Inaonyesha wanaongeza kasi ya kuonekana katika mitandao. Nawapongeza kwa hilo. Tatizo moja ninaloliona ni kuwa kila mara nikiziona post zao, mara moja nadhania ni habari kutoka Mamlaka ya Mapato, TRA...
  15. JamiiForums Tanzania Ninatafuta wachoraji wa picha kama hizi za rangi ya maji

  16. JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

    Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake. Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ) nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...
  17. JamiiForums Tanzania Maajabu ya matumizi ya rangi zenye sifa ya kuongeza wateja kwenye biashara yako

    Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria. Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini. Na moja ya mambo ambayo watu wengi wanakosea ni kuchagua rangi zinazofaa katika biashara zao. Kumbika ukianza tu kutumia...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna uwiano wowote kati ya rangi ya bati na rangi ya ukuta?

    Mfano , nimenunua BATI rangi ya kijani JE ni rangi gani nipake ukutani ili iendane na rangi ya bati?
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa aina ya bati ya kuchaguala?

    Habari wadau, Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa. Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi BATI ZA RANGI Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu rangi nzuri ya picha kwenye hisense Tv vidaa

    Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza, Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi ili niweze kupata picha nzuri katika hisense vidaa 55'' Naomba mchanganyiko wa rangi, kwa mfano Picture mode nichague ipi kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…