Kama una ramani haina vipimo na unahitaji vipimo ilete hapa utafutiwe vipimo ndani ya dakika mbili

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari wakuu,

Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sasa nimepata ufumbuzi wa kuweza kujua vipimo vya ramani yoyote ile ambayo haina vipimo kwa haraka (express) ni zoezi la dakika mbili tu bila kuumiza kichwa.

Basi kama una karaman hakana vipimo na alafu unahitaji vipimo vyake kalete hapa utafutiwe vipimo vyake.

Au vipimo unavyovihitaji wewe kutokana na kiwanja chako.
 
Kama una ramani haina vipimo na unahitaji vipimo ilete hapa utafutiwe vipimo ndani ya dakika mbili.
 
Kama una ramani haina vipimo na unahitaji vipimo ilete hapa utafutiwe vipimo ndani ya dakika mbili.
 
Kama una ramani haina vipimo na unahitaji vipimo ilete hapa utafutiwe vipimo ndani ya dakika mbili
 
Hiyo boss chap

FB_IMG_1622148211957.jpg
 
Kiwanja tambalale nataka jenga nyumba vyumba vi4 ...sebule, dinning store jiko hadi kwenye boma na cosi 3 za juu labour chaji inaweza kuwa sh ngapi
 
Back
Top Bottom