ramani

  1. JamiiForums Tanzania Nimeipenda sana hii ramani ya hii nyumba

    Before sijaenda kuilipia niambieni mapungufu yake ? Ili yarekebishwe
  2. JamiiForums Tanzania Ramani nzuri ya nyumba

    Ndugu habari.. Angalieni hii ramani alafu mtoe maoni yenu ni nini cha kuboresha wakubwa
  3. JamiiForums Tanzania Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

    Naombeni location wakuu kwa anayepajua
  4. JamiiForums Tanzania Bolt fundisheni madereva kufata ramani kuepusha usumbufu

    Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina . Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Yasipoteze Ramani ya Maisha Yako.

    Salaam to everyone, Its my hopes that wote mna weekend njema. Kuna jambo limekuwa likinitafakarisha sana hivi karibuni kuhusu namna sisi vijana wa kiume tunavyoendesha mahusiano yetu ya kimapenzi. Well, kuwa kwenye mahusiano sio kitu kibaya na hata kumpenda mtu kimapenzi sio kitu kibaya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania anae weza kuandaa hii ramani njoo fasta

    hii ramani nimeipenda ila inamaboresho kidogo nilihitaji mtaalam aiweke kwenye vipimo pamoja na 3d ikiwa bila BOQ. vitu vya kurekebisha ni hapo kwenye kuiondoa dinning ibaki vyumba vitatu kimoja master na choo cha jumuia na jiko iwe ya hidden roof njoo na bei tuongee
  7. R

    JamiiForums Tanzania EPZA Tanga wekeni ramani ya eneo lenu iwe public kuwasaidia watu kutotapeliwa

    Kuna mgogoro mkubwa unaendelea katika eneo linalodaiwa kuwa la EPZA huko Tanga. Tatizo linatokana na wamiliki wa zamani baada ya kulipwa fidia kuwauziawageni wasiojua kuwa eneo hilo ni la EPZA . Worse still Mwenyekiti wa Dogodogo amehusika pakubwa kuwatapeli wanachi kama Mwenyekiti wa.mtaa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Trump, huyu Mzanzibari Samia Suluhu akikusumbua, mfuate kama Nicolás Maduro, Ramani hii hapa

    Salaam Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui. Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma za Ujenzi: Ramani,B.O.Q, Vibari na Ujenzi

    KARIBU KWA HUDUMA BORA ZA UJENZI Huduma zetu ni kama zifuatazo 1.Ramani za nyumba aina zote 2.Kuanda makàdirio ya ujenzi Yani B.O.Q 3.Ufatiliaji wa vibari vya ujenzi na Mabango 4.Ujenzi na usimamizi. 5.Uhuishaji majengo(Renovation) 5.Ushauri wa kitaalamu wa Ujenzi. Karibu tukuhudumie,,huduma...
  10. JamiiForums Tanzania Ramani kali ya Nyumba

    Ramani hii ina vyumba vitatu vya kulala Living room Kitchen Store Dining Common toilet Nitafute whatsapp 0678418272
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia kwenye ramani ya Dunia katika uzalishaji na Msambazaji wa Gesi ya Helium

    SONGWE: Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa Mkataba wa Uchimbaji wa gesi hiyo baina ya Serikali na kampuni ya Helium One Global Limited kupitia...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
  13. JamiiForums Tanzania Angalieni hii ramani ya nyumba alafu mnishauri kitu

    Ndugu Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter... Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyo
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuandaa ramani ya maeneo ya dhahabu

    16 February 2026 Baraza la Dhahabu Duniani laashiria utayari wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu - SADC https://m.youtube.com/watch?v=W9De1WL7Rh8 Baraza la Dhahabu Duniani World Gold Council limeonyesha utayari wake wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu...
  15. JamiiForums Tanzania Haya majengo katika ramani ya uwanja mpya wa Arusha yanaashiria nini?

    Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani. Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa. Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ramani rahisi sana vyumba viwili...hadi kuhamia inagharimu TZS Million 22

    2 Bedroom master ensuite hidden roof modern design 🏡 Kwa mahitaji ya Ujenzi na ramani na mafundi wa aina zote karibuni kwenye group zetu.....Hapa utatoshelezwa na utatoka mtu mpya! 💬 Chat nasi moja kwa moja (WhatsApp): wa.me//255789005562 Jiunge nasi kwenye channel yetu ya WhatsApp...
  17. JamiiForums Tanzania Ramani Bure .... Karibuni kwenye group letu la Ujenzi Ramani Bure

    🏗️ JENGA KISASA NA KELVIN HK BUILDERS – UHAKIKA NA UBORA! Wadau na wapenzi wa ujenzi bora, kilio chenu kimesikiwa! Kelvin HK Builders tuko hapa kufuta machozi yenu na kukupa nyumba ya ndoto zako kwa viwango vya juu zaidi. 🛠️ HUDUMA ZETU ZA KITAALAMU: Ramani za Kisasa: Tunasanifu ramani za...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu kanijalia kipaji cha kuweza kuchora ramani za nyumba vizuri sana ila nina degree ya finance, nataka nifanye iwe part time job yangu

    Kuna kibari natakiwa kuwa nacho? Nifanye process gani? Karibuni wakuu
  19. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba

    Habari,ebana samahani, unaweza ku forge hii nyumba? Nemtafuta engineer aliedesign Hiyo duu ana matusi kweli kweli.. Nisaidie ea kuforge ramani ya hii nyumba pls
  20. JamiiForums Tanzania Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

    Habari wakuu, nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master) Sebule, Jiko, Na choo Cha public. Ni ramani simple lakini ya Kisasa. Ramani hii itachukua Tofali 1,600 Saruji 30 Nondo 20 Mchanga mende 1 Kokoto gari 1 n.k n.k Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10. Karibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…