raisi

  1. Dalton elijah

    SI KWELI Raisi wa FIFA Ametoa Masaa 72 Uongozi wa CAF kujiuzulu

    kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
  2. NGAYANIMO

    Rais wa Manzese Madee

    MADEE Historia ya Pendo, aliyekuwa mpenzi wa msanii Madee, ni hadithi ya kusikitisha ya kifo chake kupitia ajali iliyotokea miaka mingi iliyopita,Ni miaka takribani 16 Tangu kifo cha pendo kitokee.. jambo lililoacha alama kubwa maishani mwa Madee. Madee alionyesha huzuni yake kwa kutunga wimbo...
  3. Dalton elijah

    SI KWELI Bobi Wine amekutana na Rais Donald Trump

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, yakimuonesha aliyekuwa mgombea wa urais nchini Uganda, Bobi Wine, akidaiwa kukutana na Rais wa Marekani, Donald Trump. Hata hivyo, ukweli ni kwamba picha hizo zinazosambaa mitandaoni zimetengenezwa kwa kutumia...
  4. Kijakazi

    Rais ajaye wa kutoka bara awe na degree ya Historia!

    Watanzagiza wanaangamizwa na kuangamia kwa kukosa uelewa wa historia, wengi hawaelewi historia ya hii nchi tuishio, muslim wanailewa vizuri na ndiyo maana wako ahead of the game, nashauri raisi ajaye (kama hata kuna kitu kama raisi ajaye tena ambaye siyo muslim) kama siyo mwana historia basi...
  5. Pdidy

    UJUMBE WA KIDUME BALTHAZAR KWENDA KWA RAISI WA GUINEA MZEE WA 400

    Mtukufu Rais wa Jamhuri yetu tukufu ya Equatorial Guinea, Kwa heshima na unyenyekevu naiomba serikali yako tukufu kuitazama kwa jicho la huruma kutokana na hali ngumu ninayopitia. Nimekuwa nikishikiliwa na serikali kwa zaidi siku 365, na katika kipindi hiki chote nasikitika kukuambia kuwa...
  6. Pakome

    Orodha ya raisi wafuatano wanaweza kuingiza dunia kwenye vita kwasababu wana tatizo la wenge

    Donald Trump Ni raisi mwenye chokochoko hana tofauti na kidawa mpenda kufunua Makaburi na vyungu vya sumu ambavyo havikutakiwa kufunuliwa, kesha funua vyungu vingi vipo wazi vinatema sumu na sasa dunia nzima inakohoa Kim Jong Un Ni raisi mwenye mikono inayowasha sana anapenda kuchezea moto...
  7. N

    Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  8. Pdidy

    Rais wa Taiwan ajitapikia akiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu

    Hivi hawa wazee nilijua Afrika tu hadi hizi nchi za Taiwan Huyu mzee kajichokea amejitapikia dakika chache tu baada ya kusimama na wenzie kusimama kuadhimisha sikukuu yao.
  9. pulex

    Tetesi: Samia hajatambuliwa kama Rais aliyechaguliwa na wananchi, wenzie waliochaguliwa na wananchi wametambuliwa kwenye mkutano wa AU

    Alikwenda kwenye mkutano wa AU pamoja na mambo mengi alitegemea kutambulishwa kama Rais aliyemaliza CHAGULIWA nchini TZ. Wenzake waliomaliza kushinda uchaguzi wakatambulishwa, yeye akaondoka kwa aibu kuliko hata alivyokwenda. Kwa M7 ni bado hajaapishwa hivyo alitambuliwa kama Raisi wa awamo...
  10. S

    PostGE2025 Ushauri wangu kwa Rais Samia na CCM kuhusu ushindi wao wa kidemokrasia katika Uchanguzi Mkuu 2025

    Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki...
  11. K

    Prof. Tibaijuka kamzidi Samia kwa kipaji. Jifunzeni

    Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny
  12. Dalton elijah

    Raisi Museveni :Hakuna upinzani Uganda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametilia shaka tena uadilifu wa upinzani nchini humo, akikishutumu chama cha upinzani cha National Unity Party – NUP kwa kuhusika na vitendo vya udanganyifu kwenye uchaguzi. Museveni, ambaye amekuwa madarakani tangu 1986, alidai kwamba Jukwaa la NUP liliongeza...
  13. marcoveratti

    Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  14. Think2

    Toka dunia iumbe hakuna raisi aliyewahi kushinda kwa asilimia 98%

    Mfano mzuri hapo uganda pamoja na kwamba museveni amekaa madarakani muda mrefu lakini uchaguzi huu ana asilimia approximation 78% japo kuwa na yeye ni janjajanja atleast kidogo sasa huyu wetu daah 98% kweli? Hahahaha Hizo takwimu lzm dunia ishituke haiwezekani na haitowezekana kamwe tume ya ccm...
  15. Kijakazi

    D.Trump kapatikana!

    hahaha kakutana na wababe wenzake, sasa anapata wapi uhalali wa kumvamia muslim ayatola kwa kosa la kudili na waandamanaji? kaweka mpira kwapani. D.Trump labda amepuuzia ukweli kwamba walioiweka islamic regime persia ni hao hao USA kupitia cia waliompindua shah, hivyo adui anaye hapo hapo USA …
  16. stakehigh

    Mzigo mpya wa mwendo kasi umeingia bandarini - Kongole Rais Samia

    https://www.tiktok.com/@obbyferooz/video/7592916506229460244?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  17. K

    Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi

    Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi. Tanzania tuna kitengo cha jeshi kinaitwa Polisi ambacho kazi yake kubwa sio kusaidia jamii kwenye mambo ya sheria bali kufuata maagizo ya kisiasa na kulinda na kuzuia vurugu. Lakini Polisi ya Tanzania inahusishwa na utekaji na waziwazi...
  18. Richard

    Marekani yajiandaa kuishambulia Colombia ili kumchukua Rais Gustavo Petro, majasusi wa CIA tayari wapo kwenye miji ya Bogota na Cucuta

    Raisi Donald Trump amesema Marekani ni lazima iwe na uhakika wa usalama wake pale tu endapo eneo lake la Marekani ya Kusini ( Western Hemisphere) litakuwa salama na tulivu. Rais Trump amesema rais wa Colombia Gustavo Petro ni mgonjwa na kwa muda sasa rais Petro amekuwa chini ya vikwazo kadhaa...
  19. Fbn

    Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
  20. Champion_Boy

    Video Wananchi wa Venezuela Wakishangilia kukamatwa kwa Raisi wao na Marekani

Back
Top Bottom