rais

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania anapaswa kusifiwa tu na si kulaumiwa

    Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi. Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza. Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia atangaza ofa ya kuiona Taifa Stars bure dhidi ya Guinea

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza ofa ya kipekee kwa watanzania kuiona mechi ya timu ya taifa, Taifa Stars, bila malipo. Ofa hii inalenga kuongeza hamasa kwa wapenzi wa soka nchini katika kipindi hiki kigumu baada ya tukio la kusikitisha la kuporomoka...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

    Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya Rais Samia Yarejesha Bwawa lililopotea Handeni

    MITAMBO YA RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambao awali ulikumbana na changamoto kadhaa ikiwamo rushwa na kusimamishwa kwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

    Wakuu mmesikia huko? Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
  6. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Afrika hawaoni thamani ya raia wao ?

    Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa

    Najua upo Brazil kwenye majukumu yako Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini. Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa tufatilie Kwa pamoja ajali hii, ila naheshimu mawazo yako Watu na majeruhi ni wengi, mh Rais wetu amru...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

    Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!. Uzuri wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wakina Mama Wajasiriamali wa Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Fursa za Kiuchumi

    WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji ▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

    https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais wa Zanzibar kumuapisha kadhi? Kwani serikali inasimamia ibada?

    Nimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

    Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja. Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Deogratius Nsokolo ajiuzulu nafasi ya Urais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)

    YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC Husika na kichwa cha habari hapo juu 12 Novemba 2024 Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo tarehe 10 Novemba, 2024. Baada ya kupata uteuzi na kupata wadhifa ambao kuendelea na kazi yake ya urais...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Rais samia mtetezi wa wanyonge,Msikivu

    Rais samia kweli ni mtetezi wa wanyonge na msikivu kweli kweli baada ya kusikia kilio kwa vyama vya upinzani ameamua yaishe na kuamua kuwaagiza wagombea wa upinzani waliokatwa mara moja warudishwe kwenye uchaguzi ili wachinjwe na wananchi wenyewe kwa Rais huyu wapinzani hamtaambulia chochote...
  16. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Sakata la Baltasar Engonga lahusishwa na mrithi wa Urais wa Equitorial Guinea, Makamu wa Rais adaiwa kuhusika

    Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya kanda ya ngono inaweza kuwa sehemu tu katika tamthilia ya maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea. Katika muda wa wiki mbili zilizopita, video kadhaa - makadirio ni kati ya 150 hadi zaidi ya 400 - zimevuja za mtumishi...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpandishe cheo Kanali Benard Paul Mlunga

    Aliyekuwa mpambe wa wa Rais Magufuli, Kanali Benard Paul Mlunga akimsikiliza Brigedia Jenerali Ibuge (hayupo pichani) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa. Kanali Mlunga alijipatia umaarufu enzi ya hayati Magufuli kea uchapaji wake kazi uliotukuka. Nilijua alishapanda cheo kumbe amebakia...
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais (RIP) Benjamini William Mkapa alikuwa na watoto?

    Kuna sintofahamu juu ya kweli Mkapa alikuwa na watoto au hapana! Huyu alikuwa kiongozi wa umma wa watanzania. NYERERE kila mtu anajua hamshahamsha ya watoto wa Nyerere! Mwinyi hata Rais wa Zanzibar ni mwanae! Kikwete, Riziwan Kikwete ni Waziri! Mangufuli tunamjua ni baba Ester! Sasa Mkapa...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwapongeza Tabora United kuwafunga Yanga kwenye mechi ya ndani inaonesha upendeleo

    Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa? Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais endelea kuwapa stress Wabaya wako; ukimya wako umetufanya tutambue wanaokuzunguka wanakuwazia nini. Ishi nao kwa akili

    Ukimya wa Mhe. Rais kisiasa umesaidia sana kufahamu ana maadui wangapi na marafiki wangapi. Ukimya wake umesaidia sana kuona comments za mitandaoni zinavyoweza kutafsiri jamii unayoiongozia. Ukimya wake umewafanya viongozi wenzake waandike kila mtu kwa mtizamo wake kwenye makundi ya WhatsApp na...
Back
Top Bottom