rais

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ikimpendeza Rais Samia amuhamishie RC Makonda Mwanza

    Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha jina la Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais wa Kenya

    Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika. Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa na kuwa rasmi Naibu Rais wa Rais William Ruto. Atakapoapishwa atachukua nafasi ya Rigathi Gachagua...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua kupinga Uteuzi wa Kilindi kuwa Naibu Rais

    Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti. Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

    17 October 2024 Geneva, Switzerland 🇨🇭 KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanu Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Ajiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tumsapoti Rais Wa IPU, washangiliaji kama King musukuma na wale wamama wa vigelegele waende wakafanye kazi yao kama wanavofanya Dodoma

    Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU. Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao. Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga...
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya Naibu Rais na Makamu wa Rais?

    Salamu, Kuna Misamiati hii ya Vyeo vya Kisiasa Makamu wa Rais na Naibu Rais .Je Nini tofauti yake?
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais wa Brazil yuko sahihi, kwanini Waziri Jr Shemtembo hakucheza?

    Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao zinazowapa fedha. Wachezaji wa ndani wanajituma sana ili waende kucheza nje, lakini wale wa nje...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau

    Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau. Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki. Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania 4Rs za Serikali ya Rais Hassan wa Tanzania ni nini na kwa ajili ya nini na ili iweje kutokana na nini? Lipi anaweza kujivunia hadi sasa?

    Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho. Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili ya nani, kwa mnufaika yupi na muathirika yupi? Rais Hassan aliwaza nini kuhusu 4RS mpango kazi wake...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kuiona siku Rais Samia akipigiwa mizinga Zanzibar kama ilivyo huku bara

    Salaam, Shalom!! Sisi wengine shule zetu ndogo, unakaa unajiuliza ikiwa tuna Nchi Moja Tanzania, na Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iweje akiwa Zanzibar Hana mamlaka kama huku bara? Sasa huu Muungano mbona utata mtupu? Kwanini hawezi kugusa hata kisiwa kimoja kule...
  17. A

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi Kainerugaba: Rais anayeandaliwa Uganda

    Kwa sasa ndie Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, mtoto wa kiume wa Jenerali Museveni. Mipango ikikamilika basi CDF Kainerugaba ataungana na Marais wenzake kuendelea Kula keki hapo Afrika Mashariki
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akagua Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli, Wafikia Asilimia 93

    RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, WAFIKIA ASILIMIA 93 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Wizara ya Madini kwa Usimamizi Madhubuti wa Sekta

    RAIS SAMIA AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA USIMAMIZI MADHUBUTI WA SEKTA ⚫️ Trilioni moja yatengwa kwa ajili ya ununuzi wa dhahabu kupitia BOT ● Shilingi Bilioni 250 zatengwa kama dhamana ya mikopo kwa wafanyabiashara wa dhahabu ●Mwaka 2023 madini yenye thamani zaidi Trilioni mbili yaliuzwa...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ingependeza Rais Samia apumzike 2025

    Nashauri Rais wetu mpendwa angepumzika by 2025 baada ya kumaliza utawala wa mpito aje Rais mwengine by 2025/2030. Kulingana na ukweli kwamba Rais wetu ametoka katika jamii zinazokumbatia Sana mfumo dume hivyo amekuwa akisaidiwa na mawazo ya watu wengine ambao hasa ni wanaume hivyo kuonekana...
Back
Top Bottom