rais

  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya ampigia simu Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
  2. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole ya kifo Lawrence Nyasebwa Mafuru

    Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India. Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kupokea Shahada ya Heshima nchini India, Unastahili "NOBEL

    Na Mwl Udadis, Tarime Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameingia katika rekodi ya viongozi wachache Duniani kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru. Naungana na wanazuoni kote Duniani kutoa pongezi za dhati kwake kwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea Ikweta, amteua Zenón Avomo kurithi Mikoba ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya video za ngono 400

    Zenón Avomo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) akichukua nafasi ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya ukiukaji wa maadili katika ofisi ya umma. Kashfa hiyo iliibuka baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa video zaidi ya 400...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi' ya Yanga

    HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia amendika hivi: “Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya...
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mipango ya Rais Mteule Donald Trump kwa Siku 30 za Kwanza Baada ya Kuapishwa

    Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na sheria, elimu, uhamiaji, na masuala ya kijamii. Hapa ni baadhi ya mipango aliyoeleza...
  8. T

    JamiiForums Tanzania KERO Vilio shida maji: Wananchi Dar wadai kuona kwenye Tv Rais kumtua mama ndoo ila hawajui inatuliwa wapi

    Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina maji kulingana na uwingi wa simu zilizopigwa. Wapo walioenda mbali zaidi na kusema wamekuwa wakiona...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa Rais kama Trump akienda jela?

    Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani. Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela? Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi? Wataalam msaada hapo. Natanguliza shukrani
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamshukuru Rais Samia kwa ushindi wa Trump

    Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika. Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone na kuiga mengi mema yanayofanywa na mama hali inayopelekea hata wao kujifunza kutoka kwake...
  11. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Namwomba Rais Samia Suluhu Hassan ampongeze Master Donald Trump

    Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura. Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Pia amwambie kuwa tunatarajia atakata misaada ya hovyo barani Africa ili tujifunze...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Meseji Muhimu kuhu Makonda ambayo ilichukuliwa kirahisi japo Rais akaielewa

    Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo na Pastory Katambi wakipeta tena kwa mbeleko ya refa
  13. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katembelea Marekani zaidi ya mara 2 na Hajafanikiwa kukutana na Rais wa Marekani

    Yani nisawa na kusema Rais wa Marekani aje mara 3 au 4 Tanzania kwa ziara ya kikazi lakini akute rais wetu yuko busy mara zote hizo na ashindwe kuonana licha ya jitihada za balozi. Inauma sana asikwambie mtu. Mbaya zaidi ni kukosekana hata kapicha ka ushahidi ka chakula cha pamoja. Na inauma...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

    Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme. Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania. Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume akiri familia yake kuchukiwa wazi wazi na Rais Mwinyi

  16. B

    JamiiForums Tanzania Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

    Uchaguzi wa rais wa nchini Marekani ni tofauti sana na chaguzi za nchi nyingine duniani Kura wanazopiga wananchi hata mgombea wa urais akishindi kwa wingi wa kura hizo hazimuingizi moja kwa moja mshindi huyo madarakani Kwa kawaida nchini Marekani (USA) uchaguzi wa kumchagua rais wa nchi hiyo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Zamani nilidhani wasaidizi wa Rais ni most senior officials hadi pale nilipoona wanateuliwa kuwa wakurugenzi na wakuu wa Wilaya

    Hapo zama za kale niliamini kwamba unapoteuliwa kuwa msaidizi wa Mh. Rais basi wewe umepanda cheo na ni kiongozi mkubwa sana kwenye mfumo wa utumishi wa umma. Mabadiliko yaliyowaondoa Ikulu akina Zuhura na Magoti sambamba na wengine wengi yamenifanya nibadili fikra kwenye hizi nafasi za umma...
  18. Snipes

    JamiiForums Tanzania KERO Kigogo: Kiwanda cha kuyeyesha Plastiki kinazalisha moshi unaosambaa kwenye makazi ya Watu

    Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi kwenda angani, wakianza shughuli zao za uyeyushaji moshi unasambaa barabarani na majumbani kwa watu...
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  20. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

    March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11 S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸 Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔 Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo...
Back
Top Bottom