rais

  1. Picha: Rais wa Iran aliuawa kwa mlipuko wa Pager?

    Israel wana tabia moja. Wakifanya yao wananyamaza. Huwa huwakuti wanazungumzia kitu. Wananyamaza tu kama si wao. Huwa hawaelezi wamefanyaje. Hata muwatukane muwalipue muwafanyaje. Wananyamaza tu. Wataalamu wanasema Israel huwa ni wabaya zaidi ukiwachokoza kisha wakanyamaza tu. Haya wiki au...
  2. L

    Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
  3. Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka. https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
  4. F

    Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
  5. L

    Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote. Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na...
  6. Mchinjita: Rais Samia atambue Kibao alivyotekwa na kuuawa, inaonesha mauaji yamefikia levo nyingine Nchini

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi. Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
  7. M

    Rais Samia, unadhani vyombo vyako vinaaminika mbele ya wananchi kwenye kuchunguza sakata hili la mauaji na utekaji nchini?

    Mheshimwa Rais. Umesikika ukiagiza vyombo vyako kufanya uchunguzi wa masuala ya utekaji hata hivyo nasikitika kukwambia kuwa 1. Vyombo vyako haviaminiki tena Tangu jeshi la polisi na mamlaka mbalimbali za uchunguzi kukataa/kushindwa kuchunguza tukio la Lissu kupigwa risasi, kupotea kwa Ben Saa...
  8. Rais wa TAHLISO atengua uteuzi wa Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili

    TAARIFA KWA UMMA 18 Septemba 2024 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili. UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
  9. L

    CHADEMA kujiandaa kumjibu Rais Samia ni utovu mkubwa wa adabu

    Rais ameshaongea nyie kuweni na adabu, Mbowe najua sasa hivi unafundishwa na wanasheria namna nzuri ya kuongea ili usitengeneze jinai, hao wanaokutuma ujibizane na Rais wanakuingiza chaka Mzee wangu Huna sababu ya kumjibu Rais, yeye ni kiongozi wa nchi, usije kusema sikukwambia. Pia soma...
  10. Ahadi ya Rais Samia ya Ujenzi wa Kiwanda cha Chumvi Yaanza Kutekelezwa - Lindi

    AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025 Kiwanda...
  11. Rais Samia kwa niaba ya wengi usiruhusu wachache waturudishe kule tulikotoka!

    Friends and Enemies, Rais Samia,Usiwaruhusu wakufanye uwe mjinga kama jamaa yule kwenye suala hili la demokrasia, Au pia usiwaruhusu wao wakufundishe namna gani ya kuifanya hii demokrasia ili hali wao wenyewe wanadai katiba mpya na demokrasia ili hali kwenye vyama vyao wameshindwa...
  12. Rais Samia atakuwa anapotoshwa kuhusu CHADEMA kufanya vurugu

    Kiukweli katika siku mojawapo ambayo nilijisikia mnyonge ni jana aiseee nilijihisi nimepigwa shot ya umeme baada ya kukaa chini na kusikiliza hotuba ya Rais Samia kiukweli Rais samia anapotoshwa na wala haambiwi ukweli sijui kwanini sijui wasaidizi wake wanataka afeli au sijui nini kinamsibu...
  13. Rais wangu kipenzi Samia kwaheri umeniumiza sana

    Rais Samia amini kwa dhati nilikupenda na niliamini kweli umekuja kutufuta machozi baada ya miaka 6 ya hofu na mateso mengi. Ulianza vizuri kufanya upatanisho baada ya mtangulizi wako kuichafua historia nzuri ya taifa letu ukazidi kutufurahisha wapenzi wako baada ya kuja na 4R tukaendelea...
  14. L

    Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu. Hii leo Magazeti yamepambwa...
  15. Rais Samia Watalii na Uwekezaji unaojivunia hautakuwepo kama Usalama wa nchi ni wa kusuasua. Vijembe havisadii unazidi kubomoa

    Wakuu, Katika Mkutano leo Rais Samia amejitapa kuwa nchi ipo salama, lakini pia utalii na uwekezaji unaongezeka. Kwa matukio yanayoendelea ni kweli kuna usalama? Wewe jibu unalo lakini pia watanzania majibu wanayo. Mnapoingia chaka ni kudhani matukio haya yanaathiri tu wananchi wa wachache...
  16. Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ali Kibao yaliyosababisha mshtuko na hisia kali nchini. Akizungumza Septemba 17, 2024, kwenye maadhimisho ya...
  17. Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

    Naona leo umejitutumua mama yangu! Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli. Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote! Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi...
  18. Kitendo cha Rais Samia 'kutowawajibisha' Waziri Masauni na IGP Wambura ni dharau tosha kwa Watanzania

    Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa Kutumbuliwa na kuletwa Watu wapya wenye kujua Majukumu yao ila kamwe si kwa Tanzania.
  19. PreGE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
  20. Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

    Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…