rais

  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rais Assad yakimbia Syria

    Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus. Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE. Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu

    Libreville, Gabon Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu, Nitawaua Nyote Mnaohusika na mgao wa umeme ... https://m.youtube.com/watch?v=aBdYmZ54h9A Rais wa Gabon , Jenerali Oligui Nguema ametishia kuua wale wote wanaohusika na mitambo ya kuzalisha umeme 14 mzalishe umeme bila mgao nchi nzima...
  4. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Rais wa JMT ndiye Rais wa Tanganyika. Akiwa ametokea Visiwani tahadhari kubwa inahitajika ili kuulinda Muungano.

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara. Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanasheria: Je, Dk Mpango anaweza kumalizia muda wa rais Samia kisha anagombea tena miaka mitano?

    Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya . Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni wapiga kura wako; Rais Samia waondolee adha ya kunyanyaswa na SUMATRA

    Jana nimeshuhudia vurugu za kutisha mtaani wakati wa kilichodaiwa kuwa zoezi la kukamata pikipiki zinazodaiwa malipo ya SUMATRA. Hali ilikuwa ya kutisha baada ya bodaboda kuanza kurusha mawe ovyo na kuzua taharuki kwa wapita njia. Bodaboda kisheria wanatakiwa kulipa kodi hiyo kila mwaka kwa...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja. Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais Assad wa Syria aongeza mshahara wa wanajeshi kwa Asilimia Hamsini 50%

    Baada ya jeshi la Waasi kuchukua mji wa Hama na kuteka Kambi ya kijeshi mjini humo. Rais Bashar Al Assad ametangaza kuongeza mishahara ya jeshi lake kwa Asilimia 50% ili kuongeza morali. Inasemekana jeshi la Syria limeshuka Sana kimorali.
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atakuwa mtendaji mzuri zaidi akishinda uchaguzi 2025

    Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake. Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili aweze kushinda yeye na Chama chake Mh Rais ni mtu wa haki. Na hapa anakuwa anawazoom tu Baada ya...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

    Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza. Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake. Hii ni aibu. https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb Video ndefu zaidi hii hapa…...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta sherehe za Uhuru, aagiza fedha zitumike kusaidia huduma za kijamii

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia

    02 December 2024 Washington DC na Luanda Angola ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kusini akubali kuondoa amri ya utawala wa kijeshi!

    Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge ! Huyu Rais labda alikuwa anafanya jaribio la utayari wa jeshi katika kutekeleza amri za amiri jeshi mkuu.
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

    Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa. Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
  15. Malick M. Malick

    JamiiForums Tanzania Tumpe Maua yake Rais Samia, Dunia inatambua mchango wake

    https://youtu.be/Qoag3vwDQrk Msanii wa UGANDA Jose Chameleon aliimba wimbo unaosema tusisubiri kutoa sifa kwa watu ,wakishaenda, tuwape sifa zao wakiwepo,na ikipendeza wakiwa madarakani ..watanzania tumpe maua yake Rais Samia Wakati tuelekea mwishoni mwa mwaka 2024 ,ni wakati wa watanzania...
  16. Burure

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafahamu yanayoendelea?

    Katika kipindi hichi kuelekea uchaguzi mkuu tumeona visa vya utekaji vikizidi kuongezeka siku hadi siku na tunaona mamlaka zinazotakiwa kufanya uchunguzi zikitoa taarifa kuwa zinaendelea na uchuguzi siku hadi siku Swali langu kwa wananchi wa Tanzania na wapiga kura je, kiongozi wetu wa Nchi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kiuongozi yanayomfananisha Rais Samia Suluhu Hasan na hayati Julius Kambarage Nyerere

    1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global" 3. Mafundi wa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). Rais Samia, pia amemteua Joyce Gideon Mapunjo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) akichukua...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semuguruka Aungana na Wana Kagera Kumpongeza Rais Samia na RC Kagera

    MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja kumpa heshima Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  20. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya William achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir. Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
Back
Top Bottom