rais

  1. JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AIPA NCHI HESHIMA KIUCHUMI

    ✅️Mbunge aeleza alivyoanza kuwatoa Watanzania kuombaomba misaada. ✅️Aeleza alivyoondoa utegemezi Kidogokidogo hadi kubakia asilimia 0.9 ✅️Alianza kupunguza kutoka Shilingi trilioni 1,Shilingi bilioni 925,Sasa bilioni 563.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump. Iran anayo Haki ya kumiliki makombora ya ballistic kwa sababu kuna nchi nyingine pia Wanazo

    Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran. Leo amesema Iran Ina Haki ya kuwa na makombora ya ballistic lakini pia Frozen asset ni fedha zao inabidi wapewe. Ameeleza kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Russia Rais Samia aende Marekani kwa ziara

    Baada ya kutoka Russia samia aende Marekani. Watamwalika kwakuwa Russia na Marekani ni mahasimu. Marekani naye atataka kupata vile ambavyo Tanzania na Russia walikubaliana. Aombe ziara ya hata siku moja itatosha, Lazima Marekani wampokee.
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia hii miradi imekukosea nini?

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania. Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la Nyerere uliojengwa kwa lengo la kukomesha tatizo la umeme ndani ya nchi. Rais Samia amegoma...
  7. JamiiForums Tanzania Tanesco Idara ya Maji vipi mnamuhujumu Rais ?

    Kuna kelele za maji na Umeme kila kona tatizo ni nini?
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini kobaz wamechukizwa na rais wa somaliland kuitembelea Israel?

    Israel ndio imekuwa nchi pekee mashariki ya kati kuitambua Somaliland. Ila waarabu wamepinga wanataka wawe chini ya alshabab wa somalia. Israel inathamini amani, waarabu wwngi wanathamini extremism
  9. JamiiForums Tanzania Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  10. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka 57 Rais Samia avunja ukimya wa Urusi na Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
  12. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: Nilimuuliza Rais swali gumu wakanifungia kufanya kazi ya uanahabari

    MwanaJF maarufu ambaye pia ni mwanahabari na mwanasheria nguli, ndugu Pascal Mayalla ameonekana akilalamika hadharani kwamba kuna siku alimuuliza marehemu Magufuli swali gumu, akaishia kufungiwa leseni yake ya uanahabari pamoja kufurushwa kwenye ofisi aliyokuwa alifanyia kazi. Mwanahabari huyo...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia na dhana ya "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

    Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo. Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassani awasili Nchini kutokea Japan

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ametua nchini na kupokelewa na Makamo wa Rais pamoja na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama akitokea katika ziara yake ya kikazi aliyoifanya nchini Urusi, akiwa huko alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Vladimir Putin. Moderators rekebisheni...
  15. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wetu Dr.Samia anafanya mambo mazito kweli huku St.Petersburg

    Salute to madam you did well and excellent
  17. JamiiForums Tanzania Wewe unayetaka na utakaye kuwa Rais 2030

    Habari !. Kwa wewe ambaye unataka kuwa Rais, nipo hapa Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Ajira Muda ukifika utanishtua. Sitagombea Ubunge nakupanga kabisa. Mimi nitapitia zile nafasi 10 sawa mkali. Asalaaam.
  18. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Putin Ikulu ya Kremlin

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.
  20. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kutoka kuapa kutokuwa mpinzani bali msaidizi wa rais Samia hadi kuwa Yuda!

    Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka! Tangu zamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…