rais

  1. JamiiForums Tanzania Nakuuliza Mh Rais Lissu alitaka kupindia serikali atawale yeye au alete vita?

    Kama alikuwa anataka kuoindua serikali alete vita nchini basi anyongwe anyongwe haraka Kama alikuwa anapindua atutawale kama tutawalivyo na ccm mpeni nchiii tuna mtaka Tunachoka wananchi
  2. JamiiForums Tanzania Mjukuu wa Rais Moi ashindwa kutoa matumizi ya mtoto afungwa jela

    Collins Kibet Moi, grandson of the late President Daniel Arap Moi, broke down emotionally in a Nakuru court after being sentenced to two weeks in jail for failing to pay child support. The case was filed by his ex-wife, who claimed Kibet had neglected his duty to provide for their child. In a...
  3. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Rais Samia awapiku Ruto, Kagame na Museveni-Moody's

    TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3...
  4. JamiiForums Tanzania Watu 15 wakamatwa Uganda kwa kuharibu mabango ya kampeni ya rais

    Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya kibinafsi ya Chimp. Polisi wanasema 15 hao waliharibu mabango katika mji mkuu wa Kampala siku chache kabla ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anawezaje haya yote?

    Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni, Tuulizane mama amewezaje yote haya? Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa amsimamisha Waziri wa Polisi Senzo Mchunu

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemsimamisha Waziri wa Polisi, Senzo Mchunu, baada ya tuhuma nzito zilizotolewa na Mkuu wa Polisi, Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi. Mkhwanazi amemshutumu Mchunu pamoja na Naibu Kamishna wa Polisi, Shadrack Sibiya, kwa kuingilia uchunguzi nyeti na kushirikiana...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji: Rais Samia apendelea wazawa

    Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

    HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, inatosha waamuru wahusika wafungue mtandao wa X (Tweeter)

    Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani. Hakuna madhara kwako wakipost wanachotaka kupost. Ni mambo ya kupita katika siasa Hayapendezi
  10. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Cameroon Paul Biya atangaza kuwania Urais kwa awamu ya nane

    Rais wa Cameroon, Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane katika uchaguzi wa urais utakaofanyika October 12, 2025 Biya, ambaye ni kiongozi wa taifa mwenye umri mkubwa zaidi duniani kwa sasa, alitoa tangazo hilo kupitia machapisho kwenye mtandao wa X...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa mfumo wa Tanzania, Hata Rais uwe na kiburi kivipi kipindi cha Uchaguzi lazima uwanyenyekee TISS

    Kwa mfumo wa Tanzania ambao chaguzi ni kiini macho tu. Unapofika wakati wa uchaguzi TISS ndo wanakuwa wameshika makali na mpini. Na ukizingua wanakumwaga tu na huwezi kuwafanya lolote. Tuendelee kuchochea kuni TISS nchi irudi kwenye mstari na KATIBA iheshimiwe na zaidi tupate Katiba mpya ya...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajir Woman Rep Fatuma Abd: Tunasema tu Tutam kwa Rais Ruto, hata kama hakutakuwa na kura, tutamuibia

    Wajir Woman Rep Fatuma Abdi: "Sisi Wabunge Wa North Eastern Tunasema Tutam For President Ruto, Hata Kama Hatutakuwa Na Kura, Tutamwibia!" Source: Kenya.gossip.club & buzzroomkenya
  17. JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASA tabu Kinyerezi, Nakala kwako Mbunge, RC, DC, Waziri na kwako Mh Rais

    - Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi. Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa yanatoka dakika 30 mara moja kwa mwezi,magari ya maji boza yanauza maji ya chumvi sh 24,000 lita...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

    RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

    Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini. Israel ni kichaa.... -_----++++++++ Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…