rais

  1. F

    JamiiForums Tanzania Marehemu Rais Mugabe aacha US dola Milioni 10 taslimu ktk Benki bila wosia wowote.

    Habari kutoka Zimbabwe ni kuwa Rais wa zamani marehemu Robert Mugabe, ameacha fedha benki kiasi cha dollar za Marekani milioni 10 bila wosia. Pia ameacha mashamba mbalimbali likiwemo lile la miti, matunda na mengine ya mazao mbalimbali aliyoyapora kwa wazungu mwaka 2000, huku idadi haikutajwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

    Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015. Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Forgery za mfanyakazi wa nje za Vodacom Plc zaanikwa kwa Waziri na Rais Magufuli

    To: Minister of Labor, The United Republic of Tanzania, Prime Minister's office, Labor, Youth, Employment and Persons with disabilities, P. O Box 2890, Dodoma. 28th November 2019 Dear Sirs, RE: ESCALTION ON GOING FORGED WORK PERMIT BY Mr. LUIS EDUARDO FEDRIANI – VODACOM Plc EMPLOYEE Refer to...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20. Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais alipomwita Mtu MPUMBAVU na wananchi kushangilia: Inaonyesha tuna taifa la wajinga, wenye chuki na maskini wa akili

    Yaani Rais anamtukana Mhandisi kwa kile ambacho alipaswa ajadiliane na Mhandisi waafikiane au waeleweshane. Maana kina mantiki kubwa. Kama Mkandarasi hakuwa sahihi basi ingetumika lugha ya busara na ya kisomi kumuelimisha. Rais anamwita Mtumishi huyu Mpumbavu sana, na wananchi wanashangilia...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

    Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani. Wewe una dhamana juu ya usalama wa raia na mali zao. Hakuna raia anayependa kutetea watu wanaojihusisha na uhalifu. Ila nchi yetu inatawaliwa na kuongoza kwa misingi ya sheria na haki. Tarehe 26/10/2019 watuhumiwa wapatao watano walikamatwa na Migambo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa agoma kuomba msamaha baada ya kuitusi NATO

    PARIS, UFARANSA RAIS Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa kauli yake kwamba Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepatwa na kifo cha ubongo ilipiga kengele ya hatari kwa nchi wanachama na kwamba hataomba radhi kwa kutoa matamshi hayo. Matamshi hayo makali ya Rais Ufaransa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kila Mara Rais Magufuli anawataka Watanzania wafanye kazi kweli kweli. Ni kazi zipi hizo?

    Mara kwa mara rais Magufuli amekuwa akisisitiza watu wafanye kazi kweli kweli, je ni kazi zipi hizo anazosema? Maana juzi alipoulizwa swali na mwananchi wa wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora kuhusu kuongeza mzunguko wa fedha, yeye alimwambia afanye kazi hakuna pesa za bure vinginevyo akaolewe...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wazazi CCM: Rais Magufuli ametufanya tukipita tumevaa sare za chama mitaani tunashangiliwa kabla yake tulikuwa tunazomewa na kupigwa mawe

    Jumuiya ya wazazi wa CCM imetoa shukrani maalumu kwa Rais Magufuli kwa namna alivyoibadilisha CCM na kuifanya iheshimike mbele ya jamii. Kabla ya mwaka 2016 ilikuwa haiwezekani kuvaa sare za chama ( CCM) mtaani kwani tulizomewa na kupigwa mawe lakini sasa hata tukipita mtaa wa Ufipa na sare...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli unazozitoa Rais Magufuli kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa maendeleo hayana chama, mbona inatofautiana sana na matendo ya Serikali yako?

    Nimekuwa msikilizaji mzuri sana wa hotuba zako za mara kwa mara kwenye majukwaa ya kisiasa na ambazo umekuwa ukisisitiza kuwa maendeleo hayana chama na katika nchi hii unasisitiza sana umoja wa kitaifa na hivyo unasihi kuwa nchi hii ni yetu sote na hivyo usingependa ubaguzi wa kivyama wa CCM au...
  11. JamiiForums Tanzania Igunga: Mwananchi amuomba Rais Magufuli ‘kuachia pesa’ mtaani, Rais ajibu hakuna vya bure zaidi ya kuchapa kazi

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani kumekuwa na malalamiko ya chinichini miongoni mwa Watanzania kuhusu hali ya kiuchumi kuwa ngumu. Ugumu huo ulizaa msemo ‘’vyuma vimekaza’’, jambo lililokemewa vikali na Mheshimiwa wa ngazi za juu. Sasa basi, kufuatia hali ya kiuchumi kuendelea kuwa ngumu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru: Wale wote waliomtukana Rais Magufuli bado wana mashtaka ya kujibu mbele ya CCM, msamaha waliopata ni wa Dr Magufuli siyo CCM

    Katibu mkuu wa CCM, Dr Bashiru Ally amesema wale wote waliomtukana Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli bado wana kesi ya kujibu mbele ya kamati ya nidhamu ya chama. Dr. Bashiru amesema wale walioomba msamaha na kusamehewa walifanya hivyo kama watu binafsi na Dr. Magufuli aliwasamehe kama mzazi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, nakuomba umteue Pascal Mayalla kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali

    Siyo kwamba huyu aliyepo Dr Abbas hafanyi vizuri la hasha, ni kwa sababu mambo mengi mazuri unayoyafanya yanahitaji mkongwe wa habari aliyetumikia awamu zote kuweza kuyaelezea kwa ufanisi na ulinganifu. Nikisema zaidi utaona kama nampamba huyu Mayalla, basi nikuombe tu mh Rais ipitie CV ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nzega: Rais Magufuli asema Demokrasia imeimarika sana nchini ndio maana wengine walijitoa kwenye uchaguzi, wengine wakashinda na kushindwa

    Aman iwe juu yenu wakuu, Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa. Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
  15. JamiiForums Tanzania Mh Rais pata muda wa kupumzika

    Mh Rais pole na kazi za kututumikia Watanzania. Ninakupongeza kwa kazi kubwa unazofanya katika kuleta mapinduzi makubwa katika Taifa hili la Tanzania. Kazi zako zinaonekana na zinaungwa mkono na Watanzania wengi. Wachache wanaokukosoa wanatimiza wajibu wao wa kukuimarisha katika majukumu yako...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akerwa na Bilioni 1 kutengeneza Mitaro Igunga

    Rais John Magufuli amemtaka Mkurugenzi wa Igunga kuhakikisha kesho anaitisha kikao cha dharura cha madiwani Igunga kwa ajili ya kubatilisha matumizi ya fedha kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni moja ambazo zilipitishwa na baraza la madiwani kujenga mitaro. Rais Magufuli amesema amewashangazwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais wetu mpendwa msamaha wako kwa wafungwa ulikuwa ni Mwanza tu?

    Nakumbuka wakati Rais anatoa msamaha kufuta kesi kwa wafungwa aliahidi ifanyike na magereza mikoa mingine lakini hadi sasa bado kiza kinene. Je lilikuwa changa la macho au wasaidizi wake hawakumwelewa????? Au kwa kuwa Mwanza ni kanda atokayo?
  18. JamiiForums Tanzania Malecela- Rais John Magufuli anafanya kazi kubwa mno

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema kutojitokeza wagombea wa vyama vya siasa vya upinzani kugombea nafasi za wenyeviti za Serikali za Mitaa, Vitongoji na Kata katika Jimbo la Mtera kunaonesha namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyojikita katika kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi wanaotakiwa kupendelewa na kupewa vipaumbele na Rais John Pombe Magufuli Tanzania nzima ni JWTZ (TPDF) pekee?

    Rejea kichwa cha Habari hapo juu kisha anza kutiririka na kuserereka kwani mimi GENTAMYCINE tayari nimeshachoka na hii tabia ya Mheshimiwa Rais kuonyesha anawapenda sana wanajeshi wa Tanzania kuliko makundi mengine yote wakati ukweli ni kwamba kila Tasnia (kada) ya uwajibikaji nchini Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Agizo la Rais Magufuli la mashirika yasiyotoa gawio kwa Serikali latekelezwa ndani ya saa 24

    Saa chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa siku 60 kwa Taasisi, Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache na Mashirika ya Umma 187 ambayo hayajatoa gawio au mchango kwa Serikali tayari Taasisi nne zimetekeleza agizo hilo leo. Akizungumza leo, jijini Dodoma, wakati akipokea gawio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…