rais

  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kulivunja Bunge rasmi Agosti 3, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, 2025, ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara ya 90(2)(a) ya Katiba ya Tanzania, inayompa Rais mamlaka ya...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Tanzania wengi ni VIHIYO WA SHERIA WAKIONGOZWA NA MWABUKUSI RAIS WAO, mnakubalije mwanasheria mwezenu asukumwe kama kondom na askari mag

    Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana Shame on you all rubish lowyer...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa bandari kavu ya Kwala ni kama kumsumbua Rais, kama unabisha tazama picha ya bandari kavu yenyewe ilivyo

    eneo kubwa la bandari kavu ya kwala ni pori tu, limejaa nyasi tu, ila wamejenga kisehemu cha kuwekea hayo ma container kidogo sana, halafu rais ndio anaenda kukizindua, why wasijenge mpaka bandari kavu ikakamilika ndipo wakamuita rais akazindue ?
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI

    RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani. ✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka ✅️ Serikali...
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mipasho ya Trump kwa Russia, India na kwa aliyekuwa Rais wa Russia Medvedev

    Huyu bwana ana mipasho sio kidogo😀
  6. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kagera: Rais Samia awajengea wahaya vyuo 5 vikubwa vya VETA kikiwemo cha Burugo alichotumia TZS20bn Sasa pamoja na kupenda kingereza na Ufundi watajua

    Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana. Katika kipindi cha...
  7. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni zaidi ya Bajeti ya majirani zetu wa Burundi sasa Kila mwanakigoma anapato la TZS2,400,000 kwa mwaka

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4. Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 4.1 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 5.6 mwaka...
  8. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

    https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4. Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Madini ya Urani ni hazina ya Taifa, tuitumie kwa busara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini ya urani kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma, ni hatua muhimu na ya kihistoria katika safari ya taifa kuelekea uchumi wa kisasa unaotegemea maarifa na rasilimali za...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Yumkini kesi hii ni kati ya Lissu na Rais Samia

    Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo? Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu? Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Aibu: Huu ndo mradi wa kuzinduliwa na Rais?

    Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika. Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali inakadiriwa kupata Mapato Mrabaha Dola 373,000,000 Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani, Namtumbo

    https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ouattara wa Ivory Coast atangaza Kugombea tena nafasi hiyo, akiwa na Umri wa Miaka 83

    Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza kugombea tena urais Oktoba mwaka huu akiwa na umri wa miaka 83, licha ya ahadi yake ya awali ya kuachia nafasi kwa viongozi wapya. Uamuzi wake unakuja wakati wapinzani wake wakuu kama Laurent Gbagbo na Tidjane Thiam wamezuiwa kugombea, hivyo kumpa...
  15. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala kumfollow Rais iwe ni lazima

    Leo nimeingia Instagram kuangalia wanaomfollow Rais wa Tanzania nikakuta ni milioni 2.3, wakati wanaomfollow Millard ni zaidi ya milioni 15, na wanaomfollow baba levo ni zaidi ya milioni 4. Hivi watanzania kwanini hamumfollow rais wenu? Hadi itungwe sheria ya kumfollow Rais??
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi Rais Samia umetuongzea WanaCCM amani, furaha na moyo wa kujiamini kisiasa zaidi ukilinganisha na wenzet u ambao wasiojua hatima yao

    Usibishe huo ndiyo ukweli wanaCCM wapo na furaha mipango yao yaenda vema uzoefu silaha muhimu. Jemedari pongezi zake
Back
Top Bottom