I will be short
our current president is cause of failures of chan and afcon to host more games in tanzania. kenya is hosting twice the number of games as us.
With an unvisionary president for 2027, we could have solved the field problems in our league as AFCON offers us the opportunity to...
Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
Baada ya Mheshimiwa Rais kuzindua mradi mkubwa wa maji jijini Mwanza, wananchi tuliamini kuwa adha ya maji ilikuwa imefikia mwisho. Lakini hali ya sasa ni aibu kwa taifa na mateso kwa wananchi.
UKWELI TUNAUJUA NA TUNAUISHI:
Maji hakuna kabisa katika maeneo kama Nyegezi, Buhongwa, Butimba...
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ameipongeza Tanzania kwa kushiriki katika maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Zambia ambayo yametumika kama jukwaa la kuimarisha ushirikiano wa kiafya na usafirishaji baina ya nchi hizo mbili.
Pongezi hizo amezitoa leo Agosti 02, 2025 jijini...
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
Rais wa Marekani Donald Trump anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia "kuwekwa katika maeneo yanayofaa" kujibu matamshi "ya uchochezi" ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev.
Trump alisema alitenda hilo "ikiwa tu kauli hizi za kipumbavu na za uchochezi ni zaidi ya hayo. Maneno ni muhimu...
Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni
Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025)
Kipengele
Taarifa
Fedha zilizopokelewa
TZS bilioni 113.33
Upatikanaji wa maji safi mijini...
https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj
Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na kuongeza walimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vya kati. Mafanikio haya yameongeza uandikishaji...
Rais Samia katika Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ameendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tanga. Hadi kufikia Machi 2024/2025, mpango huu ulikuwa ukitekelezwa katika vijiji | mitaa 1,039 kutoka awali ya vijiji | mitaa 656...
Kituo cha Michezo cha TFF Mnyanjani, Tanga: Kituo Kikuu cha Kukuza Vipaji vya Vijana
Serikali kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewekeza kiasi cha shilingi 4,513,000,000.00 katika ujenzi wa kituo cha kisasa cha michezo kinachojengwa eneo la Mnyanjani, Jiji la...
Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla.
1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited
2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR
3. Uzinduzi wa...
Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea.
Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwakaribisha Wageni wanaokuja kushiriki katika Mashindano ya CHAN Barani Afrika yatakayofunguliwa kesho August 2 kwa kuhimiza Utulivu, Heshima, Ukarimu na kwa Amani.
Soma zaidi: Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda...
Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea nchini kwake linageuzwa lawama kwa Rais Samia, hata yale yasiyomhusu moja kwa moja.
Mbaya zaidi...
https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP
Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia
Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile.
Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa Watu kuzuiwa kutekeleza Haki zao za Uhuru wa Kuabudu na hakuna lolote linalofanyika. Haki za...
Wakuu,
Wakuu nakumbuka Rais Samia akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 alionya kuhusu watu wa Serikalini ambao walikuwa na fever ya Uchaguzi
Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.
Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.
Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha?
Anasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.