rais

  1. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump awataka wamarekani watumie barakoa

    Rais Donald Trump amewataka wamarekani watumie barakoa. Awali, Rais Trump alikuwa havai barakoa kwa madai kuwa hazina msaada wowote, ila sasa amesema ataanza kuvaa Nchi hiyo imerekodi vifo 1,000 vya COVID19 kwa siku ya Jumanne na kufanya kuwa na jumla ya vifo 144,953, nchi hiyo ina maambukizi...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Naibu/Makatibu Wakuu, Katibu Tawala na Mkuu wa Mkoa Njombe, awasisitiza wote kwenda kuchapa kazi

    Rais Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Viongozi Wateule watakaoapishwa Chamwino Dodoma 1. Mhandisi Marwa Mwita Bubirya Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe 2. Dkt. Aloyce Nzuki, kuwa Katibu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wazee Kilimanjaro wamuandalia Rais Magufuli zawadi maalumu, mangi Mareale amuahidi ushindi wa kishindo Uchaguzi Mkuu

    Viongozi wa kimila mkoani Kilimanjaro wamemuandalia zawadi maalumu Rais Magufuli pindi atakapozuru mkoani humo hivi karibuni Mangi Marealle amesema mwaka 2015 hawakumpa Rais Magufuli kura za kutosha lakini mwaka huu wanamuahidi ushindi wa kishindo kutoka pande zote za mkoa wao. Chanzo: ITV...
  5. JamiiForums Tanzania Bado maisha anayoishi Rais wa Tanzania na viongozi wa juu, ni ya kifahari sana! Hayaakisi maisha ya masikini walio wengi Tanzania

    Wakuu, sina hata haja ya kuelezea sana! Wote tunafahamu maisha ya viongozi wakuu wa nchi akiongozwa na rais wa nchi! Sijatumia neno “wanyonge”, kwasababu huo unyonge ndo umetumika kuwafanya wananchi wazidi kuwa masikini wa kutupwa! Nimetumia neno masikini, kwasababu wako wengi pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ihamishie maslahi ya wabunge kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuishauri Serikali. Lakini kama mkuu wa wilaya akiongezewa kazi za kusimamia kabisa kila shughuli za maendeleo ya wilaya huku akihakikisha mgawanyo wa keki ya taifa wilayani kwake atakuwa anafanya kazi kubwa kuliko Mbunge. Napendekeza Ili kuwapiga chenga za...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Rais kaonesha udhaifu kwenye eneo la uteuzi

    Sidhani kama Rais alikuwa hana 'info' zozote za wimbi la wateule wake kukimbilia kwenye vyeo vya kisiasa kipindi cha uchaguzi mkuu akajipanga mapema. Teuzi hizi za muda mfupi unamteua leo kesho kutwa unamtengua kwa sababu zozote zile ukiacha kifo, zinanipa wasiwasi kama ana washauri wazuri...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya Mabadiliko ya teuzi, amteua Mhandisi Mwita kuwa RC Njombe

    Rais Magufuli leo July 19,2020 amefanya mabadiliko ya uteuzi alioufanya July 17,2020 ambapo amemteua aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Marwa Mwita kuwa RC Njombe, Mwita ameteuliwa badala ya Jumanne Fhika ambaye atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.
  9. JamiiForums Tanzania Nasi tuige Bunge la Marekani kutunga sheria kuzuia Rais kutoa misamaha ovyo, na kushitakiwa kama raia yeyote wa Marekani. Hakuna aliye juu ya Sheria

    Bunge la USA linataka kupitisha Sheria 2 baada ya Trump kutoa msamaha kwa Stone rafiki yake aliyefungwa miezi 40 kwa kukataa kutoa USHAHIDI dhidi ya Trump. 1. APPPA- kuhakikisha Trump hachezei madaraka ya kusamehe. 2.NPALA - kuhakikisha rais anashtakiwa baada ya kuacha madaraka Rais hawezi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna wana CCM waliteuliwa hawana shukrani, waliteuliwa na Rais Magufuli 2015 leo tumefika Mtoni wanaondoka

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM. Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka. Chanzo: EATV
  11. JamiiForums Tanzania PhD/Doctorate ya huyu Mwanasiasa na Mteule wa Rais hadi leo inanipa Mashaka mno kuiamini na kuielewa

    " Ukiwa huna elimu na wewe ni mwigizaji unataka kukosoa utakosoa hovyo hovyo, sijawashawishi wasanii waimbe nyimbo za CCM mimi nilisisitiza kuhusu elimu "-Dk.Mwakyembe. Nipashe Na kinachoniuma zaidi ni Mwana Simba Sports Club Mwenzangu mzuri lakini pia alishawahi kuwa Mwana Fani Mwenzangu...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi teuzi na tengua ninazoweza ziita kuwa ni za "vurugu mechi" za Rais Magufuli zinaipeleka wapi nchi yetu?

    Tumeshuhudia katika kipindi kisichozidi wiki moja, Rais Magufuli akifanya teuzi na tengua, za nafasi zaidi ya mia moja, katika nafasi zake za uteuzi, kama vile maRC, maDC, maDAS, maDED nk. Kitu ninachoweza ita imeleta sintofahamu kubwa yote hiyo na kuweza kuiita ni "vurugu mechi" za teua na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kiapo: Mimi... nitatumikia JMT katika nafasi ya mkuu wa mkoa na majukumu mengine nitakayopangiwa na Rais. Mungu nisaidie

    Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa. Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana. Maendeleo hayana vyama
  14. JamiiForums Tanzania Wateule kuacha nafasi na kukimbilia ubunge inamaanisha nini?

    Licha ya onyo kali la mwenyekiti kwamba mtu aliye mteuwa asijaribu kutangaza nia ya kugombea ubunge sehemu yoyote ile kwani atamkata,lakini hali imekuwa tofauti kabisa kwani wateuliwa asilimia kubwa wameonekana wakiachia nafasi zao na kwenda kuchukua fomu za kuomba kupitishwa kuwa wagombea...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchunguza kinachowakimbiza wateule wa Rais kwenye vyeo vyao, yawezekana wamechoka kutumikishwa

    Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo . Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Fhika, Nzuki, Chogelo na kutengua uteuzi wa Kafulila, na Sophia Mjema Ole Sendeka na Katambi

    Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa RC wa Njombe akichukua nafasi ya Christopher ole Sendeka. Kabla ya kuteuliwa Dkt. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais. Dkt. Aloyce Nzuki ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili. Kabla ya uteuzi huo, alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unawaonesha cha kuwatendea Watumishi wa Umma lakini Ndumbaro na Mkuchika wao hawajui kuitenda hiyo haki hata sasa

    Rais wangu hujali gharama, anatoka mtu unaweka mtu. Hata kama katoka ncha nyingine ya nchi hujali gharama za kumhamisha. Unawapa ulaji. Hasa wale watumishi wenye elements za kiutumishi. Safi sana! Aliyechukua nafasi ya Katambi wa Dodoma anatoka Geita, anakuja kulipwa mahela na masalahi mengine...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 CUF: Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kujulikana Julai 27, katika Mkutano Mkuu wa Chama

    SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27 "Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

    Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982). Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…