Ninawasalimu ndugu zangu,
Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais...
Karibia week ya pili au Tatu.hatujasikia TAMKO LOLOTE TOKA KWA MKUU WA MKOA. Hakuna watu waliobagazwa au garagazwa. Mkuu wa Mkoa gani Kapoa kama supu ya sangara isiyo na ndimu?
Sisi wakazi wa Dar tulishajizoelea kubagazwa, kudhihakiwa na kugaragazwa kimwili na kiakili. Sasa mji umepoa utadhani...
Waziri wa ujenzi mh Kamwele amewaondoa madarakani mameneja wa Tanroads wa mikoa ya Lindi na Pwani kufuatia kushindwa kuifanyia matengenezo barabara ya Dar hadi Mtwara.
Maamuzi hayo ya mh Kamwelwe yanafuatia maagizo yaliyotolewa jana na Rais Magufuli ya kutaka hatua zichukuliwe kutikana na ubovu...
Watanzania wenzangu jana huko Rufiji kwa Mbunge Bwege, Rais Magufuli ametoa Kauli yenye ukakasi mkubwa. Baada ya wananchi kueleza shida yao ya kupata Stendi, Rais alisikika akiwaambia kuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 aliwaomba wamchagulie mtu kutoka CCM, wao wakamchagua...
Wakati wa misa ya mazishi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa mtangazaji alikuwa akimtaja mgombea urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar, Hussein Mwinyi kuwa Rais Mteule wa Zanzibar. Hivi ukishateuliwa na CCM tayari unakuwa Rais?
Kura za wananchi hazina maana? CCM kumbe hii nchi...
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.
Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
Kwa sasa sina shaka kabisa kuwa Rais Magufuli kila akizungumza mara nyingi ni lazima aache upepo mbaya wa kauli za maudhi kwenye jamii. Hilo sasa halina tena mjadala.
Sasa kwa muda huu Rais Magufuli anazungumza hayo akiwa peke yake na hakuna majibizano ya dhahiri kutoka upande wa pili...
Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani
Luteni Kanali Sawala anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa
Rais Magufuli leo amesikiliza kero za Wananchi katika Wilaya hiyo akiwa njiani kutoka Mtwara ambapo...
Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA
Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza...
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi amepitisha sheria inayozuia wanajeshi & waliokuwa wanajeshi kugombea Urais, Ubunge au kujiunga vyama vya siasa bila kuomba ridhaa kutoka Baraza la Juu la Jeshi. Sheria hiyo inadaiwa kuwa inalenga kulinda urais wake dhidi ya waliokuwa wanajeshi.
=======...
Rais Magufuli leo akiwa njiani kutoka msibani, amesimama mara kadhaa kuwasalimu wananchi na kuwasikiliza. Ameshangazwa na watu walio chini yake kushindwa kujenga choo cha soko ilihali mapato ya halmashauri yao ni zaidi ya bilioni 1.8
Rais Magufuli ametoa agizo la choo husika kukamilika ndani ya...
Rais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza...
Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara
Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima...
Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia...
Salaam wakuu,
Kuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni?
Naombeni...
Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao.
Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
Salaam Wakuu,
Je, MwanaJF gani yupo Lupaso? Rais wetu Mpendwa yupo hapo? Naomba Aje PM nimuuize maswali Mawili.
Mimi nafuatilia Mazishi ya Marehemu Mkapa kupitia Online Youtube Channel ya JamiiForums.
Lakini Kilichonitia Wasiwasi na Mambo yanayoendelea pale Kanisani Lupaso. Kiti alichotakiwa...