rais

  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Barua Maalum kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr Shein: Usikubali damu za wananchi wako wa Zanzibar zimwagwe sababu ya dhulma

    Mheshimiwa Dkt. Shein: Nakusalimia kwa salamu ya Amani, Amani ya ALLAH iwe nawe Barua hii ni kutoka kwa mwananchi na naanza kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma. Usikubali damu ya Wazanzibari imwagike chini ya uangalizi wako. Unafahamu vizuri historia ya nchi yako, harakati za watu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati

    CCM imefanya uhuni wa kuengua baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani. Uhuni huu umepitwa na wakati. Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa, wamechoka na uhuni huu. Kwa wale ambao tunajua jinsi ambavyo mataifa mengi barani Africa yaliingia kwenye matatizo mazito sana, tuwaomba washauri wa Rais...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kilichotokea kwenye ufunguzi wa kampeni za CHADEMA, bado naamini Rais ni Magufuli tu

    Kampeni zikiwa zimeanza rasmi na baadhi ya vyama kufungua kampeni zao kwa mbwembwe na kwa kujiamini bila kujua walichofanya ni sawa na sifuri kwetu wapiga kura. Pengine, walitarajia ufunguzi wa kishindo wenye kila hamasa za kuamsha hisia, matokeo yake ni aibu kubwa sana. Mwitikio hasi...
  5. JamiiForums Tanzania Mali: Wanajeshi wamuachia huru aliyekuwa Rais wa nchi hiyo. Mwanaye aripotiwa kukimbilia ukimbizini nje ya nchi

    Baraza kuu la kitaifa, lililoowekwa na wanajeshi kuiongoza Nchi, "linaarifu wananchi wa Mali na Jumuiya ya Kimataifa kwamba aliye kuwa Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keïta ameachiliwa huru na kwa sasa yuko nyumbani kwake", CNSP imetangaza kwenye mtandao wa Facebook. Duru za kuaminika zimebaini...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

    Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Sheria inayolinda miradi iliyoanzishwa na Rais John Magufuli?

    Salaam wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Hivi kuna sheria iliyotungwa na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kulinda miradi mbali mbali iliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli? Maana miradi ni mingi imeanzishwa na Serilikali sasa cha...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Tusipoangalia Rais atazungukwa na wabaguzi wa Dini na Wakabila

    RAIS ASIZUNGUKWE NA WATU WENYE UKABILA NA UDINI. Na, Robert Heriel Tupo katika kipindi cha Kampeni, leo ndio ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi. Huu ni wakati muhimu kwa taifa letu. Tunachagua viongozi watakaotuongoza kwa miaka mitano. Tunapaswa tuchague viongozi wasio na dalili za ubaguzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Urais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya ADC wateuliwa kugombea na NEC

    UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis Juma kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha ADC.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza magari 130 yaliyotaifishwa yagawanywe kwenye Taasisi za Serikali

    .
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

    Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

    Rais Magufuli leo amekabidhi mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti zilizochangishwa jana katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Immakulata. Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Shekhe wa Wilaya Suleiman Matitu na Katibu wa Rais ndugu Ngusa. Chanzo: East Africa Radio
  15. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu usijidanganye; Watanzania siyo wajinga kama wananchi wa Belarus wanaoshinikizwa na mabeberu wamtoe Rais wao madarakani

    Wanajamvi Salaam, Bw. Lissu katika muda wake wakufanya kampeni ya kutafuta wadhamini alisikika mara kwa mara akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa mshindi, akaenda mbele zaidi akawahamasisha wananchi waingie barabarani kupinga matokeo hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi unajua kuwa Rais Magufuli huwa ni mtu wa kufika bei haraka sana?

    Kiukweli Rais Magufuli ni Rais wetu ndiyo ila ana udhaifu mmoja mkubwa sana. Ni mtu wa kufika bei haraka kama utamfanyia vitu viwili tu 1. Mpe sifa na ukuu 2. Mpe fedha 1. Sifa na Ukuu Ukitaka kuamini rejea majina yote yaliyokatwa kwenye ubunge utagundua ni wengi ambao walikuwa "nyutro" na yeye...
  17. JamiiForums Tanzania Bila Yesu Rais wa Belarus angeshapinduliwa zamani

    Mzuka WanaJF! Nilishaletaga uzi humu kipindi cha nyuma kuhusu Belarus na Rais wao Alexander Lukashenko. Huyu mtu Ni Yesu AnamLinda. Ni mkristo wa Orthodox anayemuamini Mungu na hataki uppuuz. Alishapewaga offer ya Belarus kuingia EU akilegeza msimamo akamuambia Angela Merkel na EU go to hell...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais tuletee mwamba Paul Makonda awe mkuu wa mkoa, tunamhitaji kwa sana

    Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili ni pamoja na vita alivyoshinda vya madawa ya kulevya na kuwa mstari wa mbele katika kutokomeza...
  20. JamiiForums Tanzania Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

    Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la MwanaHALISI la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya kampeni huko Singida kuwa "Ni bora Dr Slaa kuwa raisi kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge" hii hofu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…