rais

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Musoma: Mkinipa kura za kutosha nikawa Rais, nitasimamia Elimu Bora na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" MUSOMA- MARA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

    The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama Chetu akisoma hotuba zinakuwa na hoja, akitoa kichwani analeta taharuki kwa lugha inayodhaniwa kuwakera akina mama

    Nashauri wasaidizi wa Mwenyekiti ambaye pia ni Mgombea wetu katika kipindi hiki cha kampeni wamshauri hotuba zake azisome tu. Wapinzani wetu wanafuatilia kila neno litokalo kinywani mwake na wanatumia baadhi ya maneno, ambayo wakati mwingine ni ya utani, kutuchapia viboko huku mtaani. Bahati...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

    Ndugu wana JF, Kwa kipindi hiki nimeona nivyema tukajikumbusha historia ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, akifanya mahojiano na mwadhishi wa habari Godfrey Dilunga mwaka 2011. Mtakumbuka kuwa Tundu Lissu anaendelea kujizolea umaarufu kutokana na umahili...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu. Nafasi hiyo itajazwa baadaye. PIA SOMA = > Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump katoka hospitali baada ya matibabu ya Covid, awataka wamarekani kutoiogopa na isitawale maisha yao

    Rais wa Marekani ambae siku ya Alhamisi iliyopita aligundulika kuwa na virusi vya Corona na kukimbizwa hospitali ya hadhi ya nyota 5 ya Walter Reed Medical center mjini Maryland, ametangaza kuwa leo ataondoka hospitalini hapo baada ya kupona ama kupata nafuu. Trump amewasihi wananchi wa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi.Hamida: Tumchague prof. Lipumba awe Rais wa nchi hii na mimi niwe Makamu wa Rais wa nchi hii tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." MWANZA Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

    Watakaowasilisha Hati zao za Utambulisho kwa Mamlaka hii leo ni 1. Bw. David William Concar, Uingereza 2. Bw. Muhammad Saleem, Pakistan 3. Bw. Didier Chassot, Uswisi ( Switzerland). Maneno ya Balozi wa Uingereza Mara baada ya kutoka kukabidhi hati ya Ubalozi balozi amesema anatumaini uchaguzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TFF mtuache tumalize uchaguzi mkuu wa rais

    TFF msije kusema hamukuambiwa, Mechi ya Simba na Yanga kuchezwa tarehe 18/10/2020 siku 9 kabla ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika tarehe 28/10/2020 hapa kuna jambo litazua jambo! Machungu yanayotokana na hizo Mechi za watani yana athari zinazodumu kwenye jamii kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anaomba kuongeza mkataba wa kazi na Tundu Lissu anaomba kazi kwa upya, ipo tofauti hapo

    Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza. Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake akina Lissu nk. Dr Magufuli anazungumza habari ya "nimefanya" wakati Tundu Lissu anazungumza habari ya...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

    Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa. Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba akiwa Buchosa: Nichagueni Urais ili nitokomeze njaa na kuhakikisha lishe bora kwa wajawazito na watoto

    Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

    Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache. Kwa mfano, Nelson Mandela (R.I.P) wa Afrika ya Kusini Mungu aliweka kipawa cha uongozi ndani yake na hapa Tanzania Mungu ameweka kipawa cha uongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Flyover ya Ubungo pekee imezalisha ajira za moja kwa moja 502, kati ya hao 449 wakiwa ni watanzania, Viva Rais Magufuli

  16. JamiiForums Tanzania Hii 'Turufu' ya uhakika ya CCM imethibitisha kuwa 'Chama' kina Watu 'Makini' wa Kuusoma Mchezo na Kuwashinda vizuri Wapinzani

    Na hapa ndipo sehemu pekee ambayo CCM yangu inanifanya niipende kwani inajua mno kufanya 'Utafiti' hasa ule wa 'Kujitathmini' yenyewe ili baadae ijue jinsi ya 'Kumkabili' na 'Kumshinda' Mpinzani wake mapema tu. Na sasa nimeamini kuwa Siasa ni 'Sayansi' na kujua 'Mvumo' wa Kipindi husika ilimradi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli: Nitapata tabu ya kumpata Waziri wa Ulinzi nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake Aidha amemsifu Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye ni mgombea urais Zanzibar kuwa alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka 11 na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Ali Hassan Mwinyi huwa hatumbulishwi kama raisi wa tatu wa Zanzibar badala yake hutambulishwa tu kama Rais mstaafu wa Tanzania .?

    Wapwa Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 -...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Nitakuwa rais Msikivu, nitaunda Serikali ya Ummoja wa Kitaifa

    NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" MAGU , MWANZA Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…