rais

  1. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Uganda Kufanya Ziara ya Kikazi Nchini Kwa Mualiko Maalumu Wa Jemedari Wetu Rais Dkt Samia Suluhu Hasssan

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa anaendelea kuliheshimisha Taifa letu, anaendelea kuifanya Tanzania Kuwa Sauti ya Afrika, nguvu ya Kuaminika na kutegemewa ya Wa Afrika. Anaendelea kuiweka Nchi yetu midomoni Mwa Watu. Anaendelea kuifanya Tanzania kama Nchi ya Ahadi na ndoto ya kila...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Museveni wa Uganda Awasili Nchini Tanzania kwa Ziara Rasmi

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Museveni pamoja na ujumbe wake amepokelewa katika Uwanja...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anafungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA50 na Jukwaa la Miundombinu kwa Afrika

    https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA AFRICA), Agosti 05, 2026.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zote Zinatoka Kwa Mungu Mwenyewe. Huwezi Kuwa RAIS Kama Haijapangwa Na Mungu. Urais Wa Rais Samia Umetoka Kwa Mungu Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Amini Nawaambieni Ya Kuwa Huwezi Kuwa Rais wa Nchi Hii Kama Haikupangwa Na Mungu toka katika Ulimwengu wa Kiroho hata kabla ya kuzaliwa Kwako. Huwezi Kuwa Rais Kama Hujapewa Kibali na Mungu. Huwezi Kuinuka Na kuinukia Kwenye Urais kwa Mbinu zako na mipango yako Bila ama...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  8. JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Akija Rais atakaye deal na bodaboda nitamshukuru

    Hizi taka taka barabarani zinakera mno. Yaan nakumbuka enzinza tex maisha yalikuwa mazuri. Hawa waharibifu hata sijui nani amewaleta. Ni kero kero barabarani, kwenye ndoa, usalama wa mahouse girl, watoto wetu wa kike yaani ni tafrani. Siku akaja kiongozi mkuu wa nchi akatoa oder ama...
  10. JamiiForums Tanzania FIFA: Hakuna anayeuza soka", Ni mpango wa rais Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa

    Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua upinzani mkubwa. - UEFA imetishia kususia Kombe la Dunia ikiwa mpango huo utaidhinishwa, huku Concacaf...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndege ya Rais wetu Gulf Stream iko wapi??

    Nani anajua ndege ya serikali maalum kwa Rais aka Gulf Stream iko wapi? Na kama ipo mbona mkuu wa nchi haitumii kwa safari zake badala yakeainatumia ATC Dreamliner?
  12. JamiiForums Tanzania Rais kwanini anahangaika na Matumizi Mabaya ya fedha kualika Vyama visivyo na Wawakilishi ( Vyama Feki)?

    Rais ni Taasisi yenye Watu Makini, Waliobobea/ Weredi katika Fani zao mbalimbali, nachelea kuelewa kwanini katika zamani hizi bado anakumbatia Mawazo ya kutumia Mavyamq Feki kufanikisha ajenda yoyote ya kitaifa! Tuna watu Waliobobea katika utafiti, Intelligence.kwanini muendelee kulipa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Aelekea Angola Kuwa Mgeni Rasmi Katika Hospitali Ya Rufaa iliyopewa Jina La Mwalimu Nyerere. Apata Baraka Za Mama Maria Nyerere Kabla ya Kupaa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameelekea Nchini Angola ambako amepata Heshima kubwa ya Kuwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Hospitali Kubwa ya Rufaa ambayo imepewa Jina la Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya kuilinda Tanzania ni yetu sote!

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania. "Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote." "Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia kamaliza, wachambuzi wa mpira wanabwabwaja kwenye mike badala ya kuchambua mpira. Ligi ikianza wajirekebishe.

    Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha habari cha mtu lakini wanakaa nyuma ya mike ya chombo hicho wakiwa kama wasemaji wa Simba au Yanga...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni...
  19. 2

    JamiiForums Tanzania Mwinyi Hussein Rais wa JMT 2030-2040

    Kwa utulivu wake wa namna ya kuyaunganisha makundi mbalimbali ndiye Rais wa Tanzania 2030-2040
  20. JamiiForums Tanzania Miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila rais (Auto Pilot State)

    Tanzania tumeweka rekodi ya kipekee sana. Takribani miaka mitano sasa imetimia nchi inaongozwa bila ya kuwa na rais wa nchi. Miaka hii mitano kila mtu sasa kawa msemaji, hatuna yule kiongozi mkuu wa nchi kutuongoza nchi imekuwa kama Auto pilot state.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…