rais

  1. N

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu juu ya Katibu Mkuu wa TAMISEMI

    BARUA YANGU YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBU MKUU WA TAMISEMI INJINIA JOSEPH NYAMHANGA. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hassani, naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa nitoe ombi langu kwako juu ya Katibu Mkuu wa...
  2. Je, agizo la Rais Samia Suluhu kufuta kesi zisizo za msingi limepuuzwa?

    Habari JF, Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali Tangu agizo hilo litolewe haijasikika kesi yoyote ile iliyoshughulikiwa na kufutwa kama rais alivyoagiza Itakumbukwa, awamu iliyopita...
  3. Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  4. Ushauri kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano na Habari

    Habari 👋 Naomba siku ya leo nitoe ushauri na mapendekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuhusu wizara hii ya teknolojia, mawasiliano na habari. Sifahamu Dr. Faustine Ndugulile kipi kimemtatiza katika hii wizara. Sina shaka na utendaji wake lakini nadhani...
  5. Prof. Lipumba: Rais Samia ajiwekee malengo ya kushinda tuzo za Mo Ibrahim kwa kurejesha Utawala bora na Demokrasia

    Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya demokrasia. Ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini...
  6. K

    ACT Wazalendo, Rais siyo Tume ya Uchaguzi

    ACT Wazalendo kusema watashiriki uchaguzi Kigoma kumpima Rais ni kuuadaa Umma wa Watanzania. Juzi wameshiriki uchaguzi Zanzibar, je walikuwa wanampima Rais? Je, Rais ni msimamizi wa uchaguzi? Ni vyema wawe na msimamo tu kwamba Kama walivyoshinda Zanzibar ndivyo watakavyoshiriki uchaguzi huko...
  7. B

    TCRA; Rais anatumia mitandao ya kijamii kuwasiliana na wananchi. Kuendelea kuzuia mitandao ni kimhujumu yeye na sisi wananchi

    Mhe. Rais anatumia akaunti zake za mitandao ikiwemo Twitter kuweka video na maelekezo mbalimbali kwa ajili ya wananchi hasa wale ambao hawakupata muda kumsilikiza live. Ili tupate taarifa hizi lazima mitandao iwe inafanya kazi la sivyo Kama mitandao itaendelea kuzimwa Mhe. Rais hatoweza kutimuza...
  8. B

    Rais usije kutushukuru majimboni, piga kazi tunatambua una muda mchache

    Naomba kumshauri Mhe. Rais aache utamaduni wakujiwekea ratiba ya kutembelea majibo kuwashukuru Wananchi maana muda ni mchache na Miradi ni mingi. Akitulia jikoni akapika sisi huku tungependa kumwona akipakua ( akizindua Miradi) msosi ambao umekwiva na wenye tija. Akumbuke anayo deni...
  9. B

    Ni yapi maoni ya wabunge wa CCM kuhusu hoja ya makusanyo ya Kodi iliyotolewa na Mhe. Rais?

    Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu? Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara wananyanyaswa, leo trilioni mbili anazoelekeza litakusanywa kwa mfumo wa zamani au njia aliyoelekeza Rais...
  10. Rais Samia Suluhu: Kila mwenye nia 2025 aache mara moja

    Rais Samia Suluhu amewataka mawaziri na watendaji wote kuwajibika na kufanya kazi na rekodi zao zitawafata katika maisha yao. Rais amesema pamoja na macho yake kulegea, yanaona na atakuwa na jicho kubwa kuangalia rekodi zao. "Inapoingia kipindi cha pili cha Rais aliepo, watu kidogo mnakuwa na...
  11. J

    Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma. Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa? Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  12. J

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna mivutano kati ya Makatibu wakuu na Manaibu makatibu wakuu hasa naibu akihoji matumizi ya fedha!

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemtaka Katibu mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga kuwaangalia kwa makini Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu wao kwani kuna kutoelewana kwingi. Dkt. Mpango amesema inakuwa nongwa pale Naibu Katibu Mkuu anapomhoji Katibu Mkuu kuhusu matumizi ya fedha. Dkt. Mpango...
  13. Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

    RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
  14. F

    Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

    Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025. Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
  15. R

    Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
  16. Wabunge walioteuliwa jana na Rais walivyoapishwa leo Bungeni Dodoma

    Wabunge walioteuliwa na Rais Samia Suluhu hapo jana leo wamekula viapo vyao bungeni Dodoma, nchini Tanzania. Miongoni mwao ni Dkt Bashiru Ally ambaye alikuwa Katibu mkuu Kiongozi pamoja na Balozi Liberata Mulamula ambae ndio Waziri wa mambo ya nje wa sasa. Muda mfupi baadae mawaziri...
  17. Nimeamini Rais Samia ni moto wa kumbi

    Moto wa kumbi ni moto mkali sana unaweza kuyeyusha chuma au kutoboa sufuria likiwa na maji yake ndani lakini hauna miale, moshi wingi wala kelele kama mioto ya mabiwi, nyika, kuni au petroli. Unapoota moto wa kumbi inakubidi ukae mbali kidogo vinginevyo utapata mbalanga. Kwa muda mrefu wananchi...
  18. Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America. Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake...
  19. I

    Tanzania bado inahitaji Rais kama Hayati Dkt. Magufuli

    Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen. Hayupo. Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake. Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka...
  20. M

    Rais Samia Suluhu Hassan ameanza mchezo vizuri sana

    Baraza ni lile lile, CCM ni ile ile, na hata wengine wanasema Mama Samia, ni wale wale! Lakini still ni early days. Nafikiri Mama anahitaji muda wa ku-settle kwenye kile kiti, na taratiiibu atajenga system yake! Baada ya siku 100 ofisini, mama atakua mwenyekiti wa chama tayari, atakua amewapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…