rais

  1. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

  2. D

    JamiiForums Tanzania Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu. Pia linachangia sana kumuweka mbali...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA yampongeza Rais mpya wa Zambia, Hakainde Hichilema kwa ushindi wa kishindo

    Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe . Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.
  5. JamiiForums Tanzania Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

    Usiku wa leo mda wa saa 0200, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nchi hiyo amtangaza Mpinzani wa Chama cha UNDP kuwa Rais wa nchi baada ya kushinda Kwa kura 2.8m akimuacha Rais Edga Lungu wa PF kwa kura kama 1M. VivA Zambia! ====== Hichilema is popularly referred to by his initials 'HH' or...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ni mbobezi katika masuala ya uongozi

    SHAKA: RAIS SAMIA NI MBOBEZI KATIKA MASUALA YA UONGOZI. Umma waelezwe kuwa Anatosha na Atatuvusha. Viongozi wa dini waombwa kuhubiri Amani na Mshikamano. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema tokea Uhuru kupatikana 1961 na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kufanyika 1964 na hatimae Chama Cha...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha. Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
  8. JamiiForums Tanzania IGP Sirro na wenzako kuna la kujifunza kutoka kwenye kisa cha Nelson Mandela

    ALIYEJISAIDIA HAJA NDOGO JUU YA KICHWA CHANGU NIKIWA GEREZANI” Nelson Mandela: “Baada ya kutawazwa kuwa rais niliwaomba Baadhi ya walinzi wangu wa karibu kutembelea mgahawa fulani mjini ili kupata chakula cha mchana. Tulifika kwenye mgahawa huo baada ya matembezi mafupi na kuagiza chakula”...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia alalamika kwamba uchaguzi haujawa huru na wa haki

    Mahesabu yanaonyesha anaendelea kushindwa na ameanza kulalamika........ ====== Zambian President Edgar Lungu has declared the August 12 presidential and parliamentary election “not free and fair”, citing incidents of political violence in three provinces. According to partial results...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kilichotokea Malawi kinajirudia Zambia ambapo Rais anatimuliwa?

    Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa Rais wa Zambia Edgar Lungu. Lungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanja mbuga kumnyang'anya Ikulu. Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

    Habari za midaa hii wa JamiiForums. Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya. Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amekerwa na Arsenal kushindwa

    Mzuka wanajamvi! Rais wa Rwanda Paul Kagame amekerwa na kuhuzunishwa kwa Arsenal kufungwa 2-0 na vibonde Brentford waliopanda daraja EPL. Kagame alisema kama mshabiki mkubwa wa Arsenal amehuzunishwa na kukerwa na matokeo hayo. Nakuomba mabadilikoyawepo haraka sana. Ikumbukwe Rwanda inailipa...
  13. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

    Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kitumia silaha na Kupora Mali na fedha ,Lengai ole Sabaya (34)ameiambia mahakama kuwa alitumwa na rais marehemu John Magufuli kuvamia duka la Shaahid Store ili kumkamata Mmiliki wa duka hilo, Mohamed Saad. Akiongozwa na wakili Mosses Mahuna...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

    Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili. Mnyika ameandika katika ukurasa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
  16. JamiiForums Tanzania Tusitake kumpelekesha Rais Samia, hapangiwi namna gani aendeshe nchi

    Mbona hamsomi katiba ya JMT hasa ibara ya 33 na mamlaka ya urais kuongoza taifa la Tanzania? Head of a state is a head of a state. Msitake kuleta dharau. Mnataka awabembeleze wapinzani ambao sio wazalendo? Acheni dharau. Mnakaa mnalialia ,mama amebadilika,mama amekuwa dikteta mlikuwa mnataka...
  17. JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

    Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni 1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya...
  18. JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais awaondoa kazini Mawaziri wote

    Rais Andry Rajoelina amewaondoa kazini Mawaziri wake wote bila kutoa sababu, lakini siku chache zilizopita alisema kuna mapungufu Serikalini na mabadiliko yanahitajika. Hatua hiyo imekuja kufuatia Ripoti za kuwepo jaribio la kumuua Rais huyo ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 2019. Zaidi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Shaka A Shaka atulie, kazi yake siyo kumtetea na kumsemea Rais Samia

    Shaka A. Shaka tangu amepewa nafasi hiyo amekuwa bize kujibu kila mashambulizi yanayoelekezwa ama kwa rais SSH moja kwa moja au kwa serikali yake. Jana baada ya BBC swahili kurusha maoni ya J. J . Mnyika kuhusu kauli ya rais SSH wakati akihojiwa na chombo hicho hicho mara tukaona Shaka A. Shaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…