rais

  1. JamiiForums Tanzania Bunge la Libya lasema haiwezekani kuandaa uchaguzi wa rais Ijumaa

    Kamati ya bunge la Libya imesema leo kuwa haitawezekana kuandaa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu katika siku mbili zijazo kama ilivyopangwa. Hilo ni pigo kubwa kwa juhudi za kimataifa za kuumaliza muongo mmoja wa machafuko katika nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta. Hiyo ni taarifa ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania NAOMBA TU KUELEMISHWA JUU YA FEDHA ZINAZOTOLEWA NA MHE. RAIS KATIKA MIRADI MBALIMBALI

    Nimekuwa nikisoma kupitia vyombo vya habari kuwa Mhe. Rais leo ametoa billioni kadhaa kwenye mradi fulani. Je fedha hizi zinatoka fungu gani na huku nikifahamu kuwa kila senti ya Serikali uidhinishwa na Bunge. Au inawezekana Mhe. Rais anatumia fungu lake la Ikulu. Nimeuliza swali kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Maswa: Wakazi elfu 10 kunufaika na mradi wa maji wa Rais Samia wa Isulilo

    MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497. Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Meneja wa Ruwasa wilaya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ipi ni hadhi ya cheo cha Makamu wa Rais?

    Wakuu, Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma! Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya. Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?
  5. JamiiForums Tanzania Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

    Msaada please kwa anaejua. Acha na posho Bali mshahara tuuu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Iramba: Serikali kupitia TARURA yatoa TZS 7bl kufungua barabara

    SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetenga TZS 7.3BL kwa ajili ya kufungua barabara za Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida ikiwa ni utekelezaji wa kauli mbiu yake ijulikanayo kama ‘Tunakufungulia barabara kufika...
  7. JamiiForums Tanzania Chile: Kiongozi wa wanafunzi wa Chuo achaguliwa Rais Kijana zaidi

    Nchini Chile, Gabriel Boric amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Chile. Boric, kiongozi wa zamani wa wanafunzi anakuwa Rais mwenye Umri mdogo zaidi kuchaguliwa. Gabriel Boric mwanasheria wa mrengo wa kushoto ameshinda uchaguzi wa marudio dhidi ya mpinzani wake wa mlengo wa Kulia Antonio Kast.
  8. JamiiForums Tanzania Itakuwa sawa kumhusisha rais na mambo negative nchini?

    Watu wanasema, rais katoa bilioni kadhaa, rais katoa mashine hii nk. Sasa kwa mambo negative itakuwa sahihi kumhusisha rais? Kwamba rais kawatenga mpwapwa hawana maji. Hospitali ya namtumbo haina dawa, Rais Samia kapwaya nk.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

    Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano. Rais Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza. Imewezekana vipi kwa Huseni...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba Kodi za kuingiza magari zipungue tuwe kama Zanzibar

    Mhe Rais pole na majukumu,kazi yako unaifanya vizuri Sana ,#MitanoTena Sisi Wananchi wa Tanzania bara ,ukweli tumechoka na iki KIKIKOTOO cha ushuru WA kuingiza magari ,ushuru unazidi bei ya kununua gari ,mbona Zanzibar hawana ushuru WA kufuru namna hiyo Tuna amini Kodi ikupungua watu wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Sisi ni Watanzania,huruma yetu lazima iwe ya Kitanzania,asema Rais Samia.

    Alipojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe juzi,rais alisema demokrasia yetu ni changa. Tusijilinganishe na wale ambao demokrasi yao ina miaka mia mbili. Kwa hiyo unapoongea kuhusu kutaka kumsamehe Mbowe,lazima ufikiri kwanza. Unaweza kumuachia huru yule mtu,halafu ukakuta kwamba you are offending...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

    Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais hongera kwa madarasa na majengo ya hospitali, ila kwanini kipaombele kwanini kimekuwa makao Mijini na siyo kwenye shule za tembe?

    Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini kwenye nyumba za tembe. Zipo shule zilihitaji madarasa Saba yote yajengwe lakini hakuna Fedha...
  14. JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia apate mapumziko, amefanya kazi kubwa sana, tangu mwezi march hajapumzika

    Afya ya Rais ni muhimu. Kazi ya Urais ni ngumu, kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana, wakati mwingine analala akiwa safarini, wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka ndania na nje ya nchi, Wakati wote atatakiwa kutatua changamoto au kutoa maelekezo, yamkini asipate muda...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

    Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku. Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba. Ingefaa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

    Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm. Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa. Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Hana nongwa na mtu ,ni rais mwenye karama ya uongozi,

    Ndugu zangu rais huyu ukimtazama vizuri kuanzia speech zake na action anazozichukua utagundua kuwa Hana nongwa na mtu, Ila Kuna watu wananongwa na rais.alianza vizuri Sana na hajabadilika ni Yule Yule na Nia yake ni ileile.ya kuwaunganisha watanzania.kutibu majeraha yaliyotokana na mbinyo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake? Bonus 🤣🤣
  19. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mheshimiwa Freeman Mbowe kuhusiana na mambo ya kusamehewa na Rais

    Juzi katika kikao cha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wadau wa demokrasia iliibuka tafrani kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuwa Zito alimuombea Msamaha kwa Rais Mheshimiwa Mbowe. Jambo lile lilipingwa na kila mtu mwenye akili timamu kwa sababu kwa katiba yetu Rais hana...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai. Niseme tu ,kama Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…