rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  2. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa Iran awakosoa Rais Biden, Trump asema wameharibu sifa ya Marekani

    Picha: Ayatollah Ali Khamenei Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump, kwa kuiharibu sifa ya Marekani. Ukosoaji huo wa moja kwa moja ni hatua ya nadra kufanywa na...
  3. JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  4. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

    Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

    Salama? Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana. Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia. Rais Samia aliipokea...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Senegal aagiza leo mapumziko ya taifa kusherekea ubingwa wa AFCON

    Rais wa Senegal Macky Sall, ametangaza leo Jumatatu Februari 7, 2022 kuwa ni siku ya mapumziko maalum nchini kwake kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON2021 waliochukua usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Misri kwa penati 4-2. Sall, alikuwa njiani kwenda katika...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee Wassira: Ujenzi wa Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere sifa wapewe wananchi wa Mara na siyo Serikali

    Mzee Wassira ni mmoja kati ya wazee ambao huwa haonyeshi kucheka cheka pale anapoongelea jambo, mfano aliongelea jambo urais ambao wengi wanaonyesha nia wkt huu na kusema muda wao bado na hata yeye aliwahi kuutaka ila kwa sababu ya muda basi muda wake umepita na hawezi tena. Mimi ni mmoja kati...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaambia walimu kuwa kuna mambo mazuri yanakuja

    Serikali imeahidi neema kwa walimu huku ikiwataka waendelee kufanya kazi kwa moyo. Ahadi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 7, 2022 wakati aliposimama wilayani Butiama kwa ajili ya kusalimia wakazi wa wilaya hiyo. "Walimu hoyeee, walimu mpo eehh sasa naomba niwaambie...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

    Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi. Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha
  10. JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais Kais Saied avunja Baraza Kuu la Mahakama, Majaji wasema ni kinyume na Sheria

    Hali ya Kisiasa Nchini Tunisia imezidi kudorora baada ya Rais Kais Saied kusema anavunja Baraza Kuu la Mahakama, kitendo ambacho kimetajwa kuwa kinyume na Sheria, huku Majaji wakisema hawatokaa kimya. Rais Saied amewashutumu Majaji kwa upendeleo na ufisadi. Mwezi Julai 2021, alijiimarishia...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania George Wajackoyah: Nitakuwa Rais wa kwanza barani Afrika kuhalalisha Bangi

    Wakili maarufu, George Wajackoyah, amezua gumzo hivi karibuni nchini Kenya. Hii ni baada ya kujitosa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kiti cha urais, kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwakani. Alipoibuka na moja ya sera yake ya kipekee, alipozungumza na wanahabari jijini Nairobi. Wajackoyah...
  12. JamiiForums Tanzania Ufaransa na Makoloni yake Afrika ndio Uhalisia Wetu/Afrika kuendelea ni ndoto

    Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na katika kitendo cha kihistoria cha hasira, utawala wa Kifaransa nchini GUINEA uliharibu kila kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia mchuguze Waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Tunapigwa pesa!

    Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge chini ya Uratibu wa mmiliki wa gazeti la Jambo la habari ndugu Mchange. Nguvu wanayotumia ni kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kulikuwa na vinenoneno miradi haitaendelea, inaendelezwa kuliko ilivyokuwa ikiendelea

    Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini ukakwamishwa na mkandarasi na kuamua kumbadilisha ili kumalizia mradi. Pia Rais Samia ameongelea spidi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri miaka 45 ya CCM ndani ya 30 ya Upinzani haijawa rahisi

    === Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake Mkoani Mara yalikofanyika maazimisho ya miaka 45 ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kitaifa, Pamoja na mambo mengine Rais Samia Suluhu Hassan amekiri CCM...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Waziri kaambiwa na Rais ajitafakari, yeye na IGP hawauelewi msamiati huu?

    Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia Waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini. Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP hawauelewi msamiati huu wa kiswahili?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikikupendeza muongezee muda CDF General Mabeyo

    Rais wangu Samia Suluhu Hassan nitafurahi mno kama ukikataa CDF General Mabeyo asistaafu sasa bali nakuomba muombe umuongezee muda mpaka 2025 na ikiwezekana pia nenda nae hadi 2030 ikikupendeza. Ameliheshimisha JWTZ na ni Jemedari sahihi, makini na aliyetukuka kabisa. Tafadhali usiiache hii...
  18. JamiiForums Tanzania Suzan Kaganda unaenda kuwa IGP, usije kutugeuka Wananchi. Umsaidie Rais Samia kuleta mabadiliko chanya

    Salaam Wakuu, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe. Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki. Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini. Mimi najua baadhi ya Malengo yako. 1)...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa nafasi ya Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama anaweza akaathirika na kauli ya Mhe. Rais kuhusu mauaji ya Polisi Mtwara?

    Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
  20. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

    Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia. Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko. Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda. Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…