rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo. Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
  2. JamiiForums Tanzania Bukoba: Rais Samia afungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Juni 10, 2022

    Rais Samia akifungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Bukoba Mkoani Kagera, leo Ijumaa Juni 10, 2022 Shukrani za kipekee kupitia kwako Muwakilishi wa Balozi wa Oman, ziende kwa Sultan wa Oman na vilevile kwa niaba ya mtangulizi wake ambaye ndiye muasisi wa ujenzi wa Msikiti huu. Mwenyezi Mungu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha?

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ikiwa ni kwa njia ya swali fikirishi "Jee Jicho la Rais Mama Samia Suluhu Hassan, litaweza kuangazia ubatili huu ndani ya Katiba tetu, unaopora haki ya msingi ya kushiriki uchaguzi kwa kugombea...
  4. JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya. Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi...
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
  6. JamiiForums Tanzania Kagera: Rais Samia atembelea Kiwanda cha Sukari Kagera, azindua mradi wa maji Kyaka - Bunazi, Missenyi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera, hapa ni katika ziara yake kwenye Kiwanda cha Sukari Kagera, leo Alhamisi Juni 9, 2022 RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani Ni kweli Jeshi la Magereza linamiliki ardhi eneo...
  7. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vyazidi kumkubali Rais Samia, Augustine Lyatonga Mrema ajiapiza kumpigia kampeni mwaka 2025

    Hakika lililoandikwa na Mwenyezi Mungu kabla mbingu hazijaumbwa haliepukiki. Uongozi wa mama Samia umezidi "kuwakuna" watu na taasisi mbalimbali, baada ya Lissu, Mbowe, msigwa, taasisi za kimataifa, Sasa gwiji la Siasa za upinzani, Augustine Lyatonga Mrema ametoa ya moyoni, kwamba ni Samia tu...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Marehemu Magufuli alinifundisha mambo mengi na dhamira yake niliielewa vizuri. Dhamira ni ileile

    Leo Rais Samia yuko mkoani Geita na ameendelea kusisitiza wembe ni uleule kama awamu iliyopita. ======= Rais Samia: Awamu iliyopita nilikuwa makamu wa Rais chini ya kaka yangu marehemu John Pombe Magufuli, alinifundisha mambo mengi sana, niliisoma dhamira yake vizuri sana jinsi ya kupeleka...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa safarini kuelekea Mkoani Kagera, asimama njiani kuzungumza na Wananchi leo Juni 8, 2022

    ======= Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote Ameeleza, "Dunia nzima tunaziambia zule Nchi mbili ziache...
  11. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

    BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money"...
  12. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani nifuate ili kuonana na Rais?

    Nina shauri langu la ardhi lakini naona linapindishwa waziwazi hakika sina pa kukimbilia sina wa kumlilia naona nitadhulumika waziwazi. Ni dhuluma za kipuuzi kabisa ardhi pameoza workers are not for customers or listening or do for normal clients. Naomba taratibu za kumuona Rais nimechoka...
  13. JamiiForums Tanzania Askari Meshaki Afukuzwa kazi kibabe

  14. M

    JamiiForums Tanzania Mnaomshinikiza Rais Samia amuachie huru Sabaya acheni, Mwacheni Sabaya avune alichopanda!

    Zimekuwepo kampeni za wazi mitandaoni za kumblackmail mhehimiwa rais kumtaka amuachie huru Sabaya. Wanaofanya haya wanatumia mbinu ya mashambulizi ya kisaikolojia ili kumfanya mheshimiwa rais ajisikie hatia kwa uwepo wa sababya ndani na hivyo kuchukua uamuzi wa kutumia ushawishi wake kumfutia...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

    "It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Rais anataka Kumsamehe Sabaya atoke aliko amsamehe, ila haya Maigizo ya Kitoto Mahakamani wenye akili tumeyachoka

    Tunajua kuwa Sabaya ambaye mwanzo alikuwa 'Defiant' mbele ya 'Mamlaka' sasa 'ameufyata' na kulazimishwa na Watu wa 'Kitengo' aombe Radhi ili afikiriwe na asamehewe kisha 'Muigizaji' wa Sinema aendelee tu kupata 'Credits' kwa Kazi nzuri. Siku zote Sabaya huwa akipelekwa Mahakamani hatuoni...
  17. JamiiForums Tanzania CCM kuhodhi viwanja vya michezo kunarudisha nyuma juhudi za Rais Samia

    Mama Samia ni Rais ambae ilikuwa kama kuota ndoto ya mchana kumpata. Mpaka sasa Mama huyu amedhihirisha kufanya mengi ambayo watangulizi wake hawakuyawaza wala kuyaota. Ana bahati sana kwenye kipindi chake timu ya mpira wa miguu ya wanawake kufuzu kwenda kushiriki kombe la wanawake huko India...
  18. N

    JamiiForums Tanzania FUNUNU: CAF kujibiwa leo mchana na RAIS mtarajiwa ,walimtibua sana jana

    Jana wambeya na wasiotakia mema klabu bingwa tarajiwa ya Afrika yaani Yanga sc walifurahia sana taarifa kwamba CAf wamepost huko twitter wakisema team hiyo bora kabisa kwa viwango hapa afrika mashariki itaanzia round ya awali yaani preliminary round Lawama zote zikaenda kwa msemaji msomi au...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kwanini Rais Samia hajawahi kumjulia hali Mzee Lowassa?

    Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya uongozi. Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowassa(waziri mkuu...
  20. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Madaba wampongeza Rais Samia kwa Tsh bilioni 1.5, Mbunge Mhagama awaonesha vijana njia

    Wananchi wa Jimbo la Madaba wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Joseph Mhagama wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupata tuzo ya mafanikio ya ujenzi wa miundombinu. Pongezi hizo zimetolewa Juni 4,2022 wakati wa tamasha la kutambua vipaji kupitia sanaa na michezo jimboni humo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…