rais

  1. JamiiForums Tanzania NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

    Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF. Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

    Habarini, Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli? Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Rais Samia ambaye yuko ziarani katika visiwa vya Pemba huko Zanzibar leo amekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya upinzani kwa majadiliano. Rais Samia amekutana na kuzungumza na viongozi wa Chama cha CUF, ACT-Wazalendo na ADC Kisiwani Pemba. Wakati fulani hapa Tanzania ilishakuwa ndoto...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua, Wawekezaji kuzungushwa inatosha sasa

    Katika kilele cha Kongamano la kumbukizi ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin Mkapa, Rais Samia alionesha waziwazi kukerwa na tabia ya watendaji wa juu, vigogo, Mabosi wa idara, mashirika na taasisi mbalimbali za Serikali kuwazungusha wawekezaji wanaofika nchini kutaka...
  5. JamiiForums Tanzania Wickremesinghe aapishwa kuwa rais wa mpito wa Sri Lanka

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Ranil Wickremesinghe ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa Sri Lanka hadi Bunge litakapomchagua mrithi wa Gotabaya Rajapaksa, aliyeikimbia Nchi hiyo na kisha kujiuzulu kufuatia maandamano ya umma. Maandamano hayo yalitokana na mallamiko kuhusu hali duni ya kimaisha Nchini...
  6. JamiiForums Tanzania Kilio cha Walima Vanilla Kagera kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwako Rais Wetu Mpenda. Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kila siku, pia nikushukru jinsi unavyoongoza nchi kwa amani na utulivu. Bila kuacha kukupongeza kwa unavyopambana na miradi ya kimikakati katika kuiinua nchi kuelekea uchumi wa kati. Sisi wakulima wa vanilla Kagera tumekumbwa...
  7. JamiiForums Tanzania Sekta binafsi isije kuwa mzigo kwa umma kutokana na mtazamo wa Rais Samia

    Kila nikimsikiliza rais Samia kuhusu mtazamo wake kushirikisha sekta binsfsi kutoa huduma kwa umma nakua na mashaka. Sekta binafsi ni watafutaji wa faida. Dhana ya kusema serikali ishirikiane na sekta binafsi kutoa huduma kama afya elimu etc lazima itafsiriwe vyema isiweze kutumika vibaya...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa ajiuzulu

    Rais Gotabaya Rajapaksa amewasilisha barua ya kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardenena. Taarifa ya Bunge inasema wasilisho limefanya kupitia Baruapepe Inadaiwa ametuma Barua hiyo baada ya kuwasili Singapore. Taifa hilo limesema Rajapaska ameruhusiwa kuingia kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

    Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Sri Lanka atoka Maldives akimbilia Singapore

    Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa anatarajiwa kusafiri kutoka Maldives alikokimbilia kisha kuelekea Singapore anakotarajiwa kuwasili jioni ya leo Julai 14, 2022. Vyanzo vya habari zimeeleza kuwa Rajapaksa alikuwa akitarajiwa kupanda ndege binafsi kwa ajili ya safari hiyo. Upande wa pili...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi wakitaka kushirikiana na Serikali wanazungushwa mpaka wanakata tamaa wanaondoka

    Rais Samia akitoa hotuba katika kongamano la kumuenzi Hayati Benjamini Mkapa linalofanyika Zanzibar leo 14/ 7/ 2022 amesema kuwa watu wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha kasi ya maendeleo ya taifa letu. Lakini Serikali imekuwa na uzito katika kuwaamini sekta binafsi, wanapotaka...
  12. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna mtu anamchagulia Rais Samia watendaji wa Serikali

    Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale. Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia. Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kongamano la Pili la Kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa, ahimiza ushirikiano wa Serikali na Sekta Binafsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Pili la kumuenzi aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa leo tarehe 14 Julai, 2022 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar. JOAQUIM ALBERTO CHISSANO, RAIS MSTAAFU - MSUMBIJI - Siwezi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kinara wa kuzalisha ajira Tanzania

    No Joke- Rais Samia Ametengeneza ajira nyingi zaidi ndani ya kipindi cha miezi 18 kuliko Marais wa Tatu waliopita Tanzania. Amerejesha asilimia 90 ya kazi zilizopotea chini ya janga la Corona. Amepandisha madaraja na mishahara kwa Watumishi wa Sekta ya Umma kwa asilimia 23 jambo ambalo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amedhamiria kuodoa utegemezi wa ngano kutoka nje

    Tanzania imeandaa mkakati kabambe wa kuondoa kabisa utegemezi wa zao wa ngano kutoka nje ambapo malengo yaliyowekwa hadi ni kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapoi 2025. Tanzania huagiza ngano kwa wingi kutoka Urusi na Ukreini ambapo kutokana vita katika nchi hizo, kumepelekea uhaba wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kudhani kuwa ili watu watege masikio kwa Rais Samia ni kuviponda vitu alivyofanya Hayati Magufuli

    Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza. Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Mwenendo wa Uongozi wa Rais Samia, hadi sasa ameshafanikiwa kukata Vilimi vya Wapinzani Wake

    Nawasalimu kwa jina la JMT..Kasi iendelee.. Ukweli usemwe tuu,kiufupi ni kwamba hadi sasa Rais Samia amefanikiwa kukata ngebe,Vilimi na wasiwasi wa wapinzani wake hasa Sukuma gang na Chadomo ambao waliamini angeshindwa kuongoza Nchi au labda kungekuwa na ombwe la kiungozi. Baada ya Uongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa Sri Lanka akimbia Nchi kufuatia shinikizo la waandamanaji

    Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa ameondoka nchini mapema Jumatano kuelekea kisiwa jirani cha Maldives, maafisa wamesema. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 73, mke wake na mlinzi wake ni miongoni mwa abiria wanne waliokuwa ndani ya ndege ya kijeshi ya Sri Lanka aina ya Antonov 32 ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania Kaka wa Rais wa Sri Lanka, Basil Rajapaksa, azuiwa kutoka nje ya nchi

    Basil Rajapaksa ambaye pia ana Uraia wa Marekani amezuiwa na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji kuondoka nje ya Sri Lanka. Bado haijafahamika alikuwa anaelekea wapi Rajapaksa alijiuzulu nafasi ya Waziri wa Fedha Aprili 2022 baada ya maandamano kushika kasi kutokana na uhaba wa mafuta, chakula na...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaziishi ahadi zake kwa vitendo

    BAJETI YA SERIKALI 2022/2023 ILIVYOGUSA MAISHA YA VIJANA (Rais Samia anaziishi ahadi zake kwa vitendo) Na Victoria Charles Mwanziva. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Jambo kubwa lililokua linasubiriwa na vijana wengi wa Tanzania ni bajeti kuu ya serikali 2022/2023 ili kuona ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…