rais

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

    Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi. Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tsh. Bilioni 3.8 kutumika kwenye uapisho wa Rais Mteule William Ruto

    Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani. Fedha hizo kutoka Hazina ya Serikali zitakuwa chini ya Kamati ya Makabidhiano ya Ofisi (NASC) ambayo inajiandaa kwa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Nina miezi sijazungumza na Rais Kenyatta

    Rais mteule wa Kenya, William Ruto ameweka wazi kuwa hajazungumza na Rais Uhuru Kenyatta kwa miezi sasa huku akiahidi kuwa atampigia simu kuzungumza naye. Ruto amesema hayo muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kutupilia mbali maombi ya kikatiba yalifunguliwa wiki iliyopita na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais Kenyatta aahidi kukabidhi Madaraka kwa amani

    Rais amewahakikishia Wakenya kuwa ataheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha kuchaguliwa kwa Naibu Wake, William Ruto kuwa Rais Mteule. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Kenya imesema Rais Uhuru atahakikisha kuwa kutakuwa na makabidhiano Madaraka kwa amani na kwamba mchakato huo tayari...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hoja 9 za Mahakama ya Juu zilizoidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto

    1. Teknolojia iliyotumwa na IEBC kwa uendeshaji wa uchaguzi mkuu wa 2022 iliafiki viwango vya uadilifu, uthibitisho, usalama na uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa. (Kwa kauli moja. Jaji Mkuu Martha Koome, Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu, Mohammed K Ibrahim, Njoki...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hongera Rais wetu mpya, Dkt. William Ruto

    Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia. Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais awasili Rwanda kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi anazungumzia Ripoti ya CAG iliyosababisha Mkurugenzi wa ZAECA ajiuzulu

    RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, leo Septemba 05, amezungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali ikiwemo Ripoti ya CAG ya Mwaka 2021. RAIS MWINYI: NAANZA ZIARA ZA KUSHTUKIZA TAASISI ZA UMMA Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Muswada wa kupunguza mamlaka ya Rais wa Sri Lanka mbioni kuwa sheria

    Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo SriLanka pia iko katika mchakato wa kuandaa sheria mpya ya kupambana na ugaidi ambayo itaambatana na kanuni...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Maamuzi ya mahakama tunamuachia Mungu

    "Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele". "Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi kumuita Rais Samia "Mama"

    Imezoeleka na kulazimishwa na CCM kwamba watanzania wamuite Rais wao "mama" badala ya "Mheshimiwa Rais" ama "Ndugu Rais". Madhara ya kumwita Rais Mama ni pale anapoona kama vile anaowaongoza ni watoto wake na yeye ni mlezi katika misingi ya umama badala ya usimamizi wa serikali kama Rais...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Rais Samia amerejesha amani kwa Watanzania

    "....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. " Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar. NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Donald Trump amtaja Rais Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’

    Donald Trump amemuita Rais wa Marekani, Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’ na akimshutumu kuwa anatumia Idara ya FBI kumdhibidi. Amezungumza hayo katika mkutano na wafuasi wake uliofanyika Pennsylvania, akidai alichofanyiwa na FBI ni moja ya unyanyasaji wa kushtua katika historia ya Marekani...
  15. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ukijisikiliza hapo huwa unajiasikiaje?!

    Tuiogopeni technology hakika!
  16. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kagera: Kinana aishukuru serikali ya Uchina na Rais Samia kwa kujenga Chuo kikubwa cha VETA Ukanda mzima wa Magharibi kwa Tsh. 22.3b.

    Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera Na mwandishi wetu, Kagera Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameishukuru serikali ya China kwa kufanikisha ujenzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kunani Zanzibar? Ina eneo dogo kuliko Dar es salaam, lakini Rais anahangaika kuiongoza, vikao na waandishi wa habari,fukuza nyingi

    Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza. Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari. Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
  18. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemaje

    Rais amesikia sauti zenu jamani kumbe Bunge la mitandaoni ni kubwa
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, Septemba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) leo tarehe 03 Septemba, 2022.
  20. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana mkosi?

    Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10. Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda...
Back
Top Bottom