rais

  1. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akiwa na mgeni wake Rais wa DRC mara baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam

  2. JamiiForums Tanzania HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi, Oktoba 23, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Antoine Tshisekedi, Oktoba 23, 2022 kwa Ziara ya Kiserikali
  4. JamiiForums Tanzania Umagufulification wa Rais Samia

    Sasa yule jamaa wa ccm kakamatwa na kufungwa kwa kutoa maoni yake tatizo ni nini je haturuhusiwi kutoa maoni au kumsema Rais!! Rais lazima atambue anaishi kwa kodi za walala hoi hvyo lazima asemwe ni ujinga kumkamata mtu kisa kamsema Rais !! Samia Sasa kafikia point ya mwisho ya ule...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Kiongozi wa ndoto ya Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuwa Mama Samia Ni Rais wa Ndoto ya watanzania ya muda mrefu, watanzania siku zote walihitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwa matatizo na kero zao, kiongozi atakaye kuwa na moyo wa kuguswa na shida zao, kiongozi atakayekuwa na moyo na ngozi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Saa tumepata Rais baada ya miaka mitano iliyopita kutokuwa na Rais

    Jamani Nani ambaye haoni how strong, stable minded and good visionary Rais Samia anavyoonesha? Kwa sasa nchi Ina mikakati, sera nzuri za kuwavutia wawekezaji, sera ambazo haziwakimbizi wawekezaji Bali kuwavutia. Utalii ndonusiseme. Vijana waliosoma tourism wanapata ajira daily Mana mahoteli...
  7. JamiiForums Tanzania SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp === Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi nani anatoa fedha za miradi ya watanzania? Ni Rais?

    Kila mtu anaonesha kwamba Rais ndiye anayetoa hela za maendeleo. Hivi kuna ukweli gani katika hili? Zile kodi tunazotozwa huwa zinakwenda wapi kama ni Rais kwa "Huruma yake" ndiyo hutoa fedha za maendeleo maeneo mbali mbali ya nchi yetu?
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji atoa msamaha kwa Magaidi 25

    Ni wanaodaiwa kuwa wanachama wa vikundi vya Kigaidi vya Islamic State na Al Shabaab ambavyo vimekuwa vikifanya mashambulizi katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwaka 2017. Nyusi amesema waliosamehewa ni wale waliojisalimisha kwa hiari yao baada ya vikosi vya Majeshi ya Msumbiji, Rwanda na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi pekee mpaka sasa aliyefanikiwa kupata uungwaji mkono na kukubalika na makundi yote na vyama vyote

    Ndugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu wamejenga na kuwa Nayo juu ya Rais Samia, Hakuna mtu au kundi ambalo Ni tishio katika uongozi wa Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Rushwa ndani ya chama ni tabia

    Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia. Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri ili kupata kura za wajumbe. Amesema kazi ya kupambana na rushwa ni ya kila mmoja na rushwa ipo...
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hivi Bobi Wine anaamini kabisa anaweza kuja kuwa Rais wa Uganda?

    Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious. Sema wanamtumia tu kumsumbua dictator Museven sababu hakuna mwingine tena mwenye makeke katika Siasa za Uganda ukimtoa Kizza Besigye...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022 Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala Kikosi kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Africa - WiLDAF

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyogusiwa kwenye Maadhimisho haya ya Miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF); Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi WiLDAF - Monica Mhoja Sheria ni nyenzo muhimu katika kuleta mabadiliko hasa ikitumiwa vizuri. Maombi ya Monica...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Prof. Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Said Shehe Aboud kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Prof. Aboud ni Profesa Mshiriki na Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Fedha na Utawala, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Samia anashikwa na "kigugumizi" kuunda Tume ya Majaji kumchunguza Biswalo Mganga, aliyekuwa DPP?

    Zipo tuhuma nzito Sana zinazomkabili aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga, kuhusiana na kile kinachoitwa "plea bargaining" mtindo uliobuniwa wakati wa utawala wa awamu ya 5, ambapo watuhumiwa "waliobambikiwa" makosa, wakati wa utawala wa awamu ya 5, "walilazinishwa" kukiri makosa na hivyo kukamuliwa...
  17. JamiiForums Tanzania M23 yamuonya Rais wa DRC na nchi 'viherehere' zinazomsaidia

    "Kwakuwa Rais wa Congo DR amekataa Kuzungumza nasi sasa tunamuomba asitulaumu kwani sasa tutampiga na kuanza Kukamata miji yote Muhimu na asidanganywe na Wanajeshi wa nchi Mbili Viherehere wanaomsaidia kwani watarejea Makwao wakiwa Maiti" Msemaji wa Waasi wa Kundi la M23. Chanzo: Amka na BBC ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania January Makamba awe kipimo cha Mawaziri wa Rais Samia

    JANUARY MAKAMBA AWE KIPIMO CHA MAWAZIRI WA RAIS SAMIA OKTOBA 12, 2022, nilihudhuria mkutano wa Waziri wa Nishati, January Makamba na waandishi wa habari. Mada ni “Clean Cooking” – “Upishi Nadhifu". Ulifanyika Ukumbi wa Museum, Benki Kuu, Dar es Salaam. Nilipokuwa nikimsikiliza January...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini amri ya kunyongwa ni mpaka Rais apitishe?

    Rais anajua nini kuhusu masuala ya sheria na adhabu? Rais anataka kuonekana mwema kwa raia wake, na rais anayenyonga hawezi angaliwa vizuri sana. So rais anayejielewa hawezi kunyonga mtu. Kwanini mahakama ikisema isiwe mwisho kama zilivyo adhabu nyingine? Kuna ulazima gani wa Rais kupitisha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya upendo anaooneshwa Rais Samia katika ziara mikoani ni uchapakazi wake

    Na Chacha Wangwe Jr Maelfu ya watanzania wanaojitokeza kumlaki Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara yake Mikoani ni jambo la kuvutia lakini inapaswa ieleweke kuwa haya ni matokeo ya uchapakazi wake. Tuangazie mambo machache yanayopelekea Rais Samia kupendwa sana Mkoani Kigoma na Kagera; 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…