rais

  1. JamiiForums Tanzania Hivi rais Samia amerejea nchini au bado anakongamana ughaibuni

    Nauliza tu wandugu. Tangu enzi ya awamu ya jk nilianzisha utaratibu binafsi kuandika tarehe rais wa jamhuri akiondoka nchini kwenda nje na tarehe akirudi. Hii iliniwezesha kuona rais kama anasafiri wapi na kama anasafiri sana na kwa faida kama ipo. Kwa wale wanajua rais Samia kama karudi please.🙏
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kuruhusu mikutano ya kisiasa, Rais Samia afute Sheria zote, zilizopitishwa katika utawala wa awamu ya 5, zilizotaka kuiua Demokrasia yetu

    Ni dhahiri kuwa Kwa Kila mpenda Demokrasia hapa nchini, anapaswa ampongeze Kwa dhati, Rais Samia Kwa hatua alizochukua za kishujaa za kufutilia Kwa mbali zuio haramu, lililokuwa limewekwa na mtangulizi wake, mtawala wa awamu ya 5. Mwendazake Magufuli, za kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu na Chadema yenu hamna uhalali wa kulalamikia mfumuko wa bei na ufisadi wa CCM. Mlikuwa mnataka serikali kama hii ya kipagaji.

    Sikiliza
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote kutumiwa salamu siku yake ya kuzaliwa na vyombo vya habari nchini ni lazima au kujipendekeza?

    Nami GENTAMYCINE naomba nichukue fursa hii kuwatakia 'Hepibasidei' wale wote wanaosheherekea leo hata na yule aliyekuwa jana na aliyeko leo huko Dakar nchini Senegal. Ukiwa katika nchi yoyote ile duniani na ukakuta ama 99% ya Media zake au Media zote zinajikomba kwa mamlaka (Serikali) jua hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nawashukuru wote mlionitakia heri ya kuzaliwa na siha njema

    "Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema ya kutimiza miaka 63. Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii. Ahsanteni sana kwa dua za siha njema, umri mrefu na utendaji bora, ninapoendelea na jukumu hili la kulitumikia Taifa letu kusonga mbele zaidi," Rais Samia.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kupandikiza tabasamu katika mioyo ya Watanzania

    Ndungu zangu watanzania, Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana Tabasamu muda wote,wanacheka na kufurahi bila kujari itikadi za kisiasa. Nchi Ina Tabasamu na...
  9. JamiiForums Tanzania Siku ya kuzaliwa Rais wetu leo 27 Januari imeonesha idadi ya wanafiki katika siasa

    Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane. Karibuni ni hawa hawa...
  10. JamiiForums Tanzania Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi mlimleta Bigirimana kwa Mbwembwe zote, mbona sasa mnaachana nae Kimya Kimya?

    Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki. Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio vinamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa. Inapendeza Sana

    Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu. Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen. Leo ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya rais yasihojiwe na mahakama yoyote?

    Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

    Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao. Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Sekta ya afya yazidi kuimarika chini ya Serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Singida Mashariki, Miraji Mtaturu aishukuru Serikali kwa mradi wa SWASH

    MBUNGE SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KWA MRADI WA SWASH MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 245,535,791.86 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Rais Samia kupanda kwa gharama za maisha

    Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ungemteua Jerry Muro kuwa Mwenezi wa CCM Taifa ungekuwa Umeupiga Mwingi zaidi

    Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema Cheche. Mtu mwingine ambaye nafasi hii ingemfaa sema tu kwa sasa ni Mbunge ni Livingston Lusinde Mtoto wa...
  19. JamiiForums Tanzania Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

    Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali. Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Amani imetawala Tanzania ya Rais Samia

    Tukizungumzia amani moja kwa moja tunazungumzia uhuru wa wananchi na nchi kwa ujumla tunaona Rais Samia Suluhu amerejesha amani Tundu Lissu leo amewasili nchini baada ya kuhakikishiwa ulinzi na usalama. Baada ya kutua nchini, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amempongeza Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…