rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mahakama ya Afrika: Nchi wanachama ziheshimu Hukumu za Mahakama ya Afrika bila Visingizio

    20 February 2023 Arusha, Tanzania Jaji Imani Daudi Aboud Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye makao yake Arusha. Leo ameziasa nchi wanachama kutekeleza hukumu zinazotolewa na mahakama hiyo ya Afrika bila visingizio kuwa hukumu hizo haziendani na sera za nchi zao husika...
  2. JamiiForums Tanzania Itokee Makamu wa Rais atoke chama pinzani

    Hii itakuwa safi, maana tumechoka.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepunguza changamoto za elimu

    Ni siku 702 tangu Rais Samia Suluhu akabidhiwe majukumu ya kuliongoza Taifa la Tanzania. Katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameonyesha utayari wake wa kupunguza au kumaliza changamoto za elimu nchini. Miongoni mwa changamoto kubwa zilizokuwepo ni Upungufu wa madarasa na samani, nyumba za...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

    Hii michezo ina ngazi! Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa). Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha! Yanga iko federation cup ( ligi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

    Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's meeting with President Zelensky ahead of the one-year mark of Putin’s full-scale invasion of Ukraine...
  6. JamiiForums Tanzania Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

    Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei Safari hii...
  7. JamiiForums Tanzania Rais alitangaza tarehe 7, Desemba kwamba ataifumua serikali, mpaka leo kimya

    Ni karibu miezi mitatu sasa toka Rais atoe like tangazo, je hii haionyeshi vacillation, kwamba Rais anashindwa kufanya maamuzi,au anashindwa kufanya maamuzi magumu? Historia ya Cabinet reshuffle Tanzania haijaonyesha bado kwamba kufanya Cabinet reshuffle ni jambo gumu. Kwa hiyo rai yangu mimi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kushughulika na Simba na Yanga kisiasa. Wekeza kwenye maendeleo ya Watanzania

    Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji Tanga; Rais Samia tusaidie, Waziri Aweso ameshindwa kuingilia kati

    Siku ya kumi hakuna maji (ukiacha sehemu ndogo za "wakubwa"). Hatuna maji. Almost the whole of Tanga city is with no water! Dar yalipokosekana, viongozi waliandamana kwenda Ruvu. Hapa hakuna lolote wala taarifa hawatupi kuna nini
  10. JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya miaka miwili ya Rais Samia, Tutaje mafanikio ya ndani ya miaka miwili

    Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia. 01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja mafanikio ya ndani ya miaka miwili na matarajio ya baadaye. Tutazindua madaraja mawili MTO MORI NA MTO...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

    Habari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu. Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana. Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada. Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

    Duh === "Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
  13. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa akataa Rapa AKA kufanyiwa mazishi ya Kitaifa

    Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa jamii na hivyo apewe heshima ya Kitaifa. Gavana Panyaza hakuomba fedha za Serikali zitumike kwa ajili...
  14. JamiiForums Tanzania Makatibu wa Kanda wa CHADEMA watua ofisini kwa Waziri Bashe, wajiapiza kuwa mabalozi wa kilimo

    Kwa kweli sasataifa limeungana chini ya Samia, naanza kuelewa kwa nini Lissu kaamua kuondoka
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Makamu wa Rais wa CWT yaondolewa baada ya uteuzi wa kuwa DC

    14 February 2023 Dodoma, Tanzania Makamu wa Rais Chama cha Walimu Tanzania CWT aondoa kesi yake ya Kupinga kungolewa Mbele ya jaji wa Mahakama Kuu mheshimiwa jaji Mdemu, pingamiza aliloweka makamu wa rais CWT bi . Dinah Mathamani kupinga kuvuliwa cheo na mkutano mkuu wa CWT kesi imeondolewa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Vituo vya afya sita vyajengwa Wanging’ombe ndani ya miaka miwili ya Rais Samia

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliipa sekta ya afya kipaumbele maana anajua afya ndio msingi wa Maendeleo hivyo amejenga na kuboresha vituo vya afya maana aliahidi kusogeza huduma ya afya karibu na wananchi. Rais Samia Suluhu Hassan ameimarisha utaoaji wa huduma za afya katika...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Legal Aid Campaign

    Katika kuunga Mkono jitihada za Rais Samia Suluhu kujenga Tanzania bora yenye ustawi, Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya Mama Samia ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kampeni hiyo itaelimisha haki ya kulinda mila na desturi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) tarehe 16 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mashimo, amuomba Rais Samia awalipie deni la Milioni 20, Simba na Yanga ili washinde CAF

    Mchungaji Komando Mashimo amemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Mashimo amesema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya simba na yanga lakini hawakumtolea mungu walichoahidi ambacho ni kiasi cha Tsh milioni 20. Amesema sadaka hiyo itatumika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama Chawa wa Rais Samia, sio kutete supuuzi. Yaaani ongezeko la Tsh 1,500 ndio iwe sababu?

    Chawa wa mama Samia acheni ujinga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…