rais

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali soma hapa na ujumbe ukufikie

    Mh. Rais Dkt. Samia, Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania. Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii...
  2. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
  3. JamiiForums Tanzania Kinachomuangusha Rais wetu ni wateule wake!

    Mteule ni nani? Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua, kumshauri kwa kile kilicho chema bila kumwingiza mteua katika aina yoyote ya uwongo ulaghai wizi na maovu yoyote yale...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

    Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine. Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe tusi "stupid" alilotamka Rais lilikuwa linaihusu cycle yake

    Mpaka sasa wezi wa mabilioni ya shilingi za watanzania wapo uraiani wanajipongeza kuibia watanzania. Watu wanaiba mabilioni ya shilingi halafu Rais anatukana, badala achukue hatua za KUWAACHISHA KAZI NA KUFILISIWA. Rais ndo Amiri jeshi mkuu means ndo anatakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo"

    Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya" Chanzo: Jambo TV
  7. JamiiForums Tanzania Waliotuibia mabilioni ya shilingi za pesa za Umma, kama wamegona kutupisha, ni kwanini Rais aliyewateua, anashikwa na "kigugumizi" kuwafukuza kazi?

    Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
  8. JamiiForums Tanzania Msitumie kivuli cha Rais kuficha udhaifu wenu, Bebeni msalaba wenyewe

    Salaam waungwana wa Jamii forum Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu inatosha kumchonganisha Rais na wananchi

    Mwigulu huyu huyu juzi bungeni amesema mikutano ya hadhara iliyoruhusiwa ni takwa la wafadhili ili tupate mikopo ya MCC na tayari tutaanza kupokea mikopo hiyo...wakati watanzania wote walijua mikutano ya hadhara ni zao la utawala wa Rais na wapinzani kupitia maridhiano. Mwigulu huyu huyu tena...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wasira baada ya Rais kumtupa nje ya Kamati Kuu CCM ndio unawaita wenzako wanafiki?

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi. Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi. Wasira...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka amtetea bungeni Rais kutohusika na Ufisadi uliotajwa na CAG

    Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

    Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali . Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Qatar inavyozidi kuleta neema kwenye sekta ya mifugo.

    Ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya Oktoba, mwaka jana nchini Qatar, imeendelea kuvuta wawekezaii kutaka kuwekeza kwenye sekta; ya mifugo nchini. Katika kikao kati ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Widam Food, Al Noubay Al Marri, wa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aache kulalamika, achukue hatua mara moja

    Jumatano ya Machi 29, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Pamoia na mambo kadhaa, ripoti ya CAG kwa mwaka fedha wa 2021/22 iliyowasilishwa bungeni leo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejesha uendeshaji shughuli za Serikali kwa uwazi

    Hii ni habari njema sana kwa Watanzania wote. Uongozi wa Rais Samia Suluhu ni uongozi ambao Watanzania wengi tulitamani kuwa nao, ni uongozi tuliokuwa tunauota kwa zaidi ya miaka 5. Tulitamani sana kuwa na uongozi unaofanya shughuli zote kwa uwazi lakini haikuwezekana kwa zaidi ya miaka 5...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu mteue Prof. Mussa Assad katika nafasi yoyote ile atakusaidia sana

    Tunapoongelea Professionalism Hakika huwezi kumwacha Musa Assad aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Huyu bwana alionesha msimamo wa kusimamia Taaluma yale pale alipoondolewa katika nafasi yake kwa nguvu na Hayati Dkt. JPM kwa sababu tu alisimamia kazi yake...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kukabidhiwa kwa Rais Samia, Ripoti ya CAG kufikishwa leo Bungeni

    Baada ya Kukabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye leo Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zitawasilishwa Rasmi Bungeni ambapo kwa mujibu wa taratibu ripoti nzima sasa itakuwa wazi kwa umma Orodha ya shughuli rasmi za Bunge inaonesha kupokelewa kwa ripoti hiyo na...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

    Hadi kufikia mwaka 2023 jumla ya mashine za mionzi (X-ray) za kisasa za kidijitali 213 zimesimikwa huku vipimo vya Utra sound 67 vimesambazwa na kusimikwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya msingi nchini. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Hakutakuwa na hand shake safari hii kila kitu kichukue nafasi kwenye bunge na mabaraza ya wawakilishi

  20. JamiiForums Tanzania Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…