rais

  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    ■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg ■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi ■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais Singapore anatarajia kufanya ziara nchini Tanzania tarehe 8/6/2026

    Rais wa Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa nchini Tanzania kuanzia Juni 8 hadi 10, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ziara hiyo itaandika historia kama ziara ya kwanza kabisa ya Rais wa Singapore nchini Tanzania tangu mataifa hayo yaanzishe...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Moscow kwa Ziara ya Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vnukovo, Jijini Moscow kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini Urusi tarehe 02 Juni, 2026.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Soka linajitosheleza, halimhitaji mkuu wa mkoa Dar au Rais na hata siasa kwa ujumla ili kupata mashabiki

    Soka na CCM ni mbingu na aridhi Wakati mashabiki wa CCM wakihitaji kupelekewa maloli ya bule vijijni kimokela huko na mbagala kwa msewe, Boko na Magomeni mapipa ili kuja kujaza viwanja vya Jangwani, Mashabiki wa soka hutoka Mwanza, Arusha, mbeya, kigoma, Kenya, Congo na hata ulaya kwa pesa zao...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Mayungi ashiriki zoezi la usafi Mkoa wa Mbeya

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani. Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania ZIARA YA MH RAIS SAMIA URUSI NA "GEOPOLITICAL DIPLOMATIC SHIFT" YA DUNIA.

    Dr.Zack. June 2,2026.06:54AM. Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana. Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuteketeza uchawa ili rais ajaye asiwe mpenda au mfuga chawa?

    Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu. Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri. Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu. Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa. Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa? Nawasilisha.
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania 1/6/2026 Mahakama Kuu Kigoma kusikiliza maombi ya Marejeo yanahusu uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    TAARIFA KWA UMMA Kesho tarehe 1/6/2026 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma mbele ya Jaji Rwinzile itasikiliza maombi ya Marejeo (Judicial Review) yaliyofunguliwa na 1. Buberwa Ephraimu Kaiza 2. ⁠Joseph Daudi Mabugo Maombi hayo yanahusu uhalali wa Tume iliyoundwa na Mh. Rais ya Kuchunguza Ujinai...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Rais Samia... Hakuna anayekuamini...

    Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua... - hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa na Waziri ya Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji kupitia Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awazawadia Serengeti Boys, U17 milioni 500

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano hayo na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa. Dkt. Mwigulu amesema hayo...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump, huyu Mzanzibari Samia Suluhu akikusumbua, mfuate kama Nicolás Maduro, Ramani hii hapa

    Salaam Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui. Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakwenda kumzika Bi. Suzan Magufuli, Mama wa aliyekuwa Rais wa Tanzania?

    Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Ila mnaielewa hii picha? Ni kwa wenye akili tu.
  14. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal atoa msamaha kwa Mwandishi wa Habari Rene Capain Bassene aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha Maisha jela

    Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance. Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao. Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anahitimisha Mafunzo Ya Maafisa Na Wakaguzi Wasaidizi Wa Polisi Kozi Na. 1/2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=AsjCN8DKAh0
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kikwete alivyokutana na Viongozi wa Upinzani Ikulu – Dar, Oktoba 15, 2013

    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2013. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA RAIS SAMIA: To soften the International stance against you and your cronies, mwachie Lisu bila masharti

    Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation. Hao wanaokushauri...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Magufuli Walikataa, Rais Samia Usikubali Nchi Yoyote Kuingilia Sovereignty Yetu, Iwe ni US, UK or EU!, Kwani Marekani Ndio Nani, Nini?

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je, vipi kama Rais Samia naye akazuiliwa kuingia baadhi ya nchi itakuwaje?

    Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je, unadhani image ya nchi inaonekanaje? Je, na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Back
Top Bottom