rais

  1. JamiiForums Tanzania Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

    Wanabodi, Information is power!, kitendo cha kumjua rais wa Tanzania wa mwaka 2030, kinakupa powers za kujua nchi inapoelekea, kwasababu unakuwa unajua tunakwenda kumpata rais wa namnagani. Hii ya kumjua rais ajae kabla ya mwaka wa uchaguzi, kuna watu wanaita ni unabii, hivyo sisi jf, tunao...
  2. JamiiForums Tanzania Paul Biya amteua mwanaye kuwa Makamu wa Rais

    Rais wa Cameroon Paul Biya amemteua Mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri na Mkuu wa Majeshi. Hivi karibuni Bunge la Cameroon liliidhinisha kwa wingi marekebisho ya Katiba ili kurejesha nafasi ya Makamu wa Rais.Makamu wa Rais atachukua kiti cha Urais moja kwa moja ikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Trump amezidiwa, amekimbizwa hospitalini

    Wakuu nimekutana na hii video ikisambaa katika mitandao ya kijamii na kuelezwa kuw Rais Wa Marekani Donald Trump amezidiwa na amekimbizwa hospital
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wetu Mpendwa Mama Samia Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka Wakristo na Watanzania Wote. Awaomba kuendelea Kudumisha Amani na Mshikamano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, komandoo Wa Vita, jasiri muongoza njia, Nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump atoa ujumbe mzito kwa Wayahudi!

    “To our wonderful Jewish American community and to Jews celebrating in Israel and around the world this week, I want to wish you a very happy Passover.” “This week we recall this ancient proof of God's faithfulness and are reminded that with true faith, eternal hope, and the power of prayer...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Watu 13 kizuizini kwa njama za kutaka kumuua Rais Michael Randrianirina.

    Madagascar imewashtaki washukiwa 13, akiwemo jenerali mmoja, kwa tuhuma za kupanga njama ya kumuua kiongozi wa mpito Michael Randrianirina, huku nchi hiyo ikiendelea kukumbwa na hali ya mvutano wa kisiasa kufuatia maandamano ya mwaka jana. Mwendesha mashtaka wa serikali, Narindra Navalona...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso kwa wananchi wake: Sahauni kabisa kuhusu demokrasia. Hiyo sio kwa ajili yetu

    Ibrahim Traoré, kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso aliyetwaa madaraka kupitia mapinduzi ya mwaka 2022, amewaambia wananchi wake wasahau kabisa kuhusu swala la demokrasia, akidai kuwa mfumo huo "si kwa ajili yetu." Katika mahojiano na shirika la utangazaji la taifa (RTB) siku ya Alhamisi...
  9. P

    JamiiForums Tanzania SI KWA UBAYA : Ila Rais wetu umetukosea sana watanzania tunajua na tunayaona

    Kwako madam president Hizi teuzi unazofanya wakati mwingine huwa unatukosea sana sisi watanzania leo hii ripoti ya CAG imeonesha madhaifu na ufisad mwingi serikalini maana yake unahitaji kuutoa huu ufisadi kwa nguvu zote Bahat mbaya badala ya kupambana na ufisadi wewe unateua fisadi ndani ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kisa ni mtoto wa Rais ndo muagizaji wa mafuta nchini

    Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao viongozi huwekewa mafuta bure? Mafuta lita 4000 bado tunaagiza mafuta India tu na Saudi Kwanini tusinunue...
  11. JamiiForums Tanzania Kifungu hiki cha Katiba kinamfanya Rais kuwa Mungu mtu, ukienda kinyume naye tu anaweza kuamua ulione jua au lah!

    Wakuu, Ibara ya 15 kwenye katiba ya Tanzaia inampa mamlaka Rais kutoa msamaha kwenye kosa LOLOTE ambalo atakutwa na hatia nalo. Anaweza kumwachia huru mtu kwa muda maalumu au moja kwa moja mtu aliyehukumiwa kuadhibiwa kwa kosa LOLOTE asitumukie adhabu yoyote au kwa kipindi fulani. Anaweza...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana Na Wagombea Urais Wa Vyama Zaidi Ya 16 Uchaguzi Uliopita. Anyoosha Na kukunjua Mkono Wa Maridhiano. Wakoshwa na uchapakazi wake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaendelea kuonyesha na kudhihirisha kuwa yeye ni chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali na Mungu kuongoza Taifa letu. Anaendelea kuonyesha kuwa yupo kwa ajili ya ustawi...
  13. JamiiForums Tanzania CCM yatoa pole kwa kifo cha Rais Mstaafu wa Algeria, Liamine Zeroual

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid amewasilisha salamu za pole za Chama kwa Algeria, kutokana na kifo cha Rais Mstaafu wa nchi hiyo, Liamine Zeroual. Rabia aliwasilisha rambirambi hizo leo Aprili 1...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Rais wa Kenya William Ruto

    Ujumbe wa Rais wa Kenya William Ruto kwa Wakenya wote.
  15. JamiiForums Tanzania Iko wapi zawadi kutoka mwezini tulipewa na rais Richard Nixon

    Baada ya misheni ya kwanza ya Apollo 11 kufanikiwa, Rais Richard Nixon alituma zawadi kwa mataifa 135 duniani, ikiwemo Tanzania. Zawadi hii ilijumuisha: Chembe nne ndogo za mchanga wa mwezi (zenye ukubwa wa punje za mchele) zilizowekwa ndani ya tufe la plastiki, Bendera ndogo ya Tanzania ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Mh Rais naomba umpatie tuzo Dudubaya, na mkurugenzi MSD, mwongezee cheo kwa wizi wake.

    Dudu BAYA apewe tuzo, na mkurugenzi MSD mpandishe cheo awe mwizi mkuu wa serikali Tanzania.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo adhabu ya mafisadi ni kuwaaibisha?! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Rais Samia

    Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka? https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/ Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

    🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran. Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament. We will find out soon enough but here is his obituary in advance. Mohammad Bagher Ghalibaf is/was an Iranian politician and former...
  20. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hivi ndivyo Rais Ruto alivyo hivi kwa sasa?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…