rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliotazama tamthilia ya Jumong wataona Rais Samia ana mtazamo ule ule katika kujenga Tanzania yenye nguvu

    Tamthilia ya Jumong inaelezea mengi, magumu kwa mepesi ya kiongozi anayokutana naye anapotaka Kujenga nchi yenye nguvu. Na haya ni baadhi: I. Atakutana na kukosolewa vikali na kupingwa na hata walio karibu yako. Kwenye Jumong tunaona mtu wa karibu sana wa Jumong, Mfalme Geumwa alipoona nchi ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayajua ndio maana anayasema: Bila kubadili mtazamo kwanza kwa kutoa elimu, mabadiliko ya katiba ni kazi bure

    Tukiwa na watu wenye mtazamo huu tulionao wa uzembe, kusukumwa na uvivu basi tusitegemee mabadiliko yoyote chanya kwa kubadili katiba maana watekelezaji wakubwa wa katiba ni watu. Kwa mfano, mtazamo mkubwa wa wapinzani kwenye mabadiliko ya katiba ni kubadili vifungu vinavyoelezea mamlaka ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

    Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA. Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makulumbembe gani humtisha kila rais anayetaka kuandika katiba mpya na kumfanya aonekane hayawani?

    Hili la Samia kurukaruka kama maharage ya Mbeya kuhusu kuandika katiba mpya, kinyume kabisa na dhamira yake ya awali, siyo jambo geni kutokea. Likitokea pia chini ya utawala wa Kikwete mwaka 2014. Rais Kikwete alikuwa na nia ya dhati kabisa ya kuwaachia watanzania katiba mpya. Akaanzisha...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais ya Jamhuri ya Afrika ya Kati akimpiga mzungu kibao

    Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Inaelezwa kwamba tukio hilo limetokea katika Mji wa Kislovodsk, Kusini mwa Urusi...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Nchi ya Jamuhuri ya Afrika ya Kati awazaba Makofi wazungu huko Urusi.

    Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow. https://dai.ly/x8o0qen Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
  10. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Upinzani wamshutumu Rais Mnangagwa kumteua mwanaye na mpwawe Baraza la Mawaziri

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita. Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa ZANROADS na Kamishna wa Idara ya Bajeti

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS), Makame Ali Makame pamoja na Kamishna wa Idara ya Bajeti, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saumu Haji.Utenguzi huo ni kuanzia leo Septemba 12, 2023.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa, ni watu wawili Tofauti?

    Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!! Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA ndio chama kinachopendelewa zaidi na Rais Samia, lakini hawana adabu!

    CHADEMA wanasema Rais jana kawananga wao lakini ukweli ni kwamba CHADEMA ndio chama ambacho Rais Samia amekipa upendeleo sana. CHADEMA walipewa nafasi ya kusikilizwa binafsi, walikuwa na mazungumzo yao pekee na wakapewa Kinana, viongozi wao ndio waliokaribishwa na Rais Ikulu mara nyingi zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Evidence kwanini Rais Samia kasema wananchi hawajui katiba NAMI naunga mkono👇

    Iko hivi! Rais na chama chake wamepiga matukio mengi ambayo Raia wangeakua wanatambua haki zao kikatiba CCM ingeweza kuwa historia hivi tunavyo ongea. Kwa uchache . 1 ufisadi mkubwa awamu mbalimbali za utawala wa CCM wananchi wamekaa kimya. . 2. Wizi wa kura wa wazi wazi wananchi kimya. 3...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA sio chama cha kuwasaliti Watanganyika kwa biskuti , kahawa na Ubwabwa

    Sisi ni Chama makini sana. Tunajua nini maana ya maslahi ya taifa. Hatuwezi kuwa na fikra potevu kudanganya dunia kuwa kuna Demokrasia nchini Wakati hakuna. Zaidi ya CCM Kandamizi iliyojisahau na sasa inawakandamiza Watanzania kwa kila namna ya ufisadi. Hatuwezi kuwa sehemu ya wasaliti wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia alijifunza nini akiwa Makamu M/Kiti wa Bunge la Katiba 2014?

    Ki ukweli nimesikiliza hotuba ya Mh Rais Samia leo kwenye mkutano na wadau wa Demokrasia nimekosa jibu la moja kwa moja kuwa licha ya kuwa Rais Samia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa Bunge la Katiba mwaka 2014 bado haikulitumia kama funzo bunge lile! Maswali ninayo jiuliza leo hii! 1. Rais...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA: Mdhibitini Mdude Nyagali kabla Uvumilivu wa Rais Samia haujafika mwisho

    Kwa kuwa tunatumia jukwaaa ili kushauriana na kushauri, kutoa maoni na mapendekezo na hata kutoa onyo na karipio basi acha Leo nitoe ushauri kwa CHADEMA jambo ambalo ni nadra kweli kulifanya. Kwa kuwa nilitumia jukwaaa hili kumshauri ndugu yangu Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia anamaanisha CHADEMA kuna Ugomvi Unaendelea?

    Baadhi ya maneno kwenye hotuba yake yanadai kuwa kuna mpasuko ndani ya chama ambacho alikuwa anakinanga na akaenda mbali kuashiria kwenye hicho chama wapo wanao muunga mkono ndiyo maana kuna huo msuguano. Huku uswahilini watu wanao fuatilia mambo yasiyo wahusu wamepewa jina baya sana. Au basi.
  19. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia amesema kweli?

    Leo jumatatu, Septemba 11, 2023 nimemsikia Rais wa Tanzania akisema hivi; 1. Anadai wanaotaka katiba mpya hawajui ni vifungu gani vibadilishwe 2. Anadai katiba haiwezi kuleta maendeleo 3. Kwa kifupi anasema wanaoomba katiba mpya hawajui chochote kile Je, Rais kama kweli aliuliza watu wawili...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

    Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa. Sasa inashangaza rais anatupotezea muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika? Hii ni ishara ya rais kukosa hoja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…