rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba: Miaka Minne ya Rais Samia imeleta Umoja na Maendeleo

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa na maana kubwa katika ustawi wa maisha ya Watanzania, akisema nchi imekuwa na umoja, utulivu na mshikamano. January, ambaye ni Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Usipotoboa kipindi cha Rais Samia, usiilaumu serikali

    Wakuu Msanii wa muziki na Mfanyabiashara Diamond Platnumz amesema mazingira mazuri ya biashara yamemfanya aendelee kupiga hatua uwekezaji na kuzindua brand mpya. Amedai kama kuna mtu ambaye atashindwa kufanya vizuri kwenye biashara kwa kipindi hiki cha Rais Samia basi atakuwa ameshindwa yeye.
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tathmini fupi ya miaka minne ya Rais Samia

    Rais Samia aliapa tarehe March 21, 2021, baada ya Kifo cha Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Magufuli Leo ametimiza miaka 4 Rais Samia amekuwa Bora kuliko mtangulizi wake Magufuli Watanzania tulikuwa gizani kipindi cha utawala wa Magufuli, Samia alikuta hali mbaya ya...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia TSh. Milioni 50 kumuenzi Padri Shirima

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro. Mchango huo umetolewa ili kuweka alama ya kumbukumbu ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chawa wa Rais Samia, Cassypool kutoka Kenya atembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi

    Wakuu Hapa kama Nchi ndipo tumefikia yaani Chawa wa Rais Samia, Cassypool amesafiri kutoka Kenya kuja kutembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi. 🤣 Nchi ina Chawa wa Kimataifa, labda kuna pesa nyingi sana inamwagwa kumsemea mhusika ndio maana Chawa wameona ni wakati wa kula na kipofu gizani...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnahangaika sana na Speculations zenu ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi ama kumbadilisha au kumtumbua Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba

    Na sababu Kubwa ninaijua Mimi na nadhani hata hapa JamiiForums nilishawahi kuisema. Fanyeni Kazi msipoteze muda.
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kwahili la kodi bila kutishana na bado maendeleo yanaonekana, Rais Samia sekta binafsi tunakupongeza

    Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu. Tunakumbuka tulikotoka. TRA walikuwa miungu watu. Tena zilikuwepo TASK FORCE ambazo zilikuwa zina terrorize wafanya biashara. Akaunti hela zinachotwa bila kibali cha...
  8. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa: Rais Samia ametimiza miradi yote ya kimkakati

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, madarakani ameweza kutekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake akiwemo Dkt. John Pombe Magufuli. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Miaka Minne ya Rais Samia Imeimarisha Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametekekeleza kwa vitendo haki za binadamu Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Bukoba Vijijini Jasson Rweikiza: Rais Samia ametuheshimisha sana. Kuna nchi zinakuja kujifunza vitu hapa Tanzania

    Wakuu, Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk Jasson Rweikiza amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani iliyosheheni mafanikio lukuki ikiwemo ukamilishaji wa miradi muhimu ya kimkakati. Akizungumza na Nipashe Digital kuhusu mafanikio ya Rais Samia, Dk. Rweikiza...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Mifugo na Uvuvi
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Miaka 4 ya Rais Samia Haki za Binadamu zimetekelezwa kwa vitendo

    WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza kwa vitendo haki za binadamu. Waziri Ndumbaro amesema hayo Leo Machi 19, 2025 Jijini Dar Es Salaam...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dc Bomboko: Miaka 4 ya rais Samia hana deni na watu wa Hai kwenye maji

    Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Hassan Bomboko ameeleza kuwa huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama katika wilaya hiyo imeaimarika kwakiasi kikubwa katika kipindi cha miaka mine ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwani Zaidi ya Shilingi bilioni 10 zimepelekwa wilayani humo...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
  15. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chato: Waislam Chato wamuomba Rais Samia kusaidia ujenzi wa Msikiti wa Al-huda ulioanzishwa na Magufuli

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU wote Waislamu wilayani Chato Mkoa wa Geita wameiomba Serikali na wadau mbalimbali kusaidia kukamilisha ujenzi wa Msikiti wa Al-huda unaojengwa katika Kata ya Muungano wilayani humo. Ujenzi wa msikiti huo ulianzishwa kwa juhudi za aliyekuwa Rais wa awamu ya tano...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salim Kikeke kutoka BBC Swahili hadi kuwa Chawa mkubwa wa Rais Samia

    Wakuu Katika kusheherekea na kuadhimisha miaka minne ya utumishi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia tangu alipoingia madarakani Samia 4x4 wakiongozwa na Mtangazaji Salim Kikeke wameandaa ziara ya matembezi ya kiburudani kuelekea Mkoani Tanga Wilayani Pangani kwa ajili ya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia abubujikwa na machozi kwa salamu za kheri za Watanzania, aomba Umoja na Amani kwa Taifa

    Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii, amewashukuru wananchi kwa salamu nyingi za kheri na upendo walizozitoa katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais. Rais Samia alieleza furaha yake kwa kuwaona Watanzania wakimtakia mafanikio na ustawi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya shangwe mwanafunzi Esther akimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa kwenye elimu utakaowasaidia kutimiza ndoto zao

    Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu. Wadau nimeguswa sana na tukio hili na...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Morogoro yawaita Walimu Wasio na Ajira (NETO) kongamano miaka 4 ya Rais Samia

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Morogoro, wameandaa Kongamano kubwa litakalokuwatanisha Vijana kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Morogoro litakalofanyika leo. Soma, Pia: Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia...
Back
Top Bottom