rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenezi CCM Rombo aweka plate number yenye vifupisho vya jina la Rais Samia. Hivi kiutaratibu hii imekaaje?

    Wakuu, Hivi sheria zinasemaje kuhusu hizi plate number za kwenye magari? Ni kwamba mimi naweza tu kuamka asubuhi nikaweka jina lolote as plate number au kuna muongozo ambao inabidi ufuatwe? Vipi kwenye plate number nikaweka maneno yanayozua taharuki au nikaweka jina la mgombea Urais hasa...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Samia, CCM na Polisi someni alama za nyakati, Lissu ni mjumbe tu, ni kivuli kile!

    Mheshimu mjumbe mwema ili upate heshima njema, mtendee wema mjumbe yoyote ili umjue vizuri yule aliyemtuma na msimchukie mjumbe kisa ujumbe wake haukupenda. Mfanye mjumbe kuwa rafiki yako na kamwe usikubali mjumbe kuwa adui yako ikiwa unataka ushinde vita. Hii ni hekima ya kale sana na haijawahi...
  3. The Assassin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fid Q: Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania

    Katibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fid Q amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania. Unaweza kuendelea kumsikiliza hapa. Pia kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unataka Lissu anyongwe mpaka afe?

    Ndugu Rais. Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini. Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea hiyo pekee inawapa wananchi ganzi, simanzi na kwa kweli inawafanya wakuchukie. Na makada wa CHADEMA...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Zito Kabwe, mkumbushe pia Rais Samia kuwa, Trilioni 1.14 hazijulikani zilipo sawasawa na report ya CAG

    Hellow! Mh Zitto yule wa awamu ya Tano first half, na Zitto huyu wa awamu Tano kipindi cha pili sijui ni watu wawili tofauti? Nakumbuka uliichambua vyema report ya CAG Enzi ya Magufuli na ulionekana kutatizwa juu ya wapi ilipo 1.5 Trilioni ukinukuu hesabu zile za Serikali. Sasa limetokea...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tenda wema weka sheria bora, achana na machawa, tamaa achana nazo na tenda haki

    Kwa wale wanao amini Magufuli sababu moja wapo ya kuondoka kwake ni ukatili wake kwa wasio kubaliana naye na wanao dhani alikuwa hapendi wapinzani sasa wanajiuliza. Kama Mama Samia anafuata yaleyale ambayo yalikuwa hayampendezi Mungu badala ya kurekebisha anapitia njia ile ile hizi sala za...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu wafupi nchini waja na 'Wajukuu wa Samia' kuelekea uchaguzi mkuu

  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Nuru na Mwanga wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote. Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mufti Mkuu Abubakar bin Zuber kuongoza Dua ya Kumuombea Rais Samia

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki. Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi...
  10. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anataka mitano tena akafanye nini zaidi?

    Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais. Kwanini? Kwasababu mpaka kufikia October mwaka huu Mungu ajaliapo Bwawa la Nyerere litakuwa na Jina lake, SGR lots zote...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi tuzo za 'Samia Kalamu'

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Awards’ ambazo zinalengo la kuchochea na kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo katika nyanja mbalimbali. Tuzo hizo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Amwaga Bilioni 45 Kutatua Tatizo la Maji Jijini la Dodoma

    ▪️Mradi wa visima 10 Nzuguni A kuzalisha lita 20m kwa siku ▪️Visima zaidi kuchimbwa maeneo ya pembezoni ya Jiji kupunguza Mgao ▪️Waziri Aweso aweka kambi Dodoma kushughulikia suala la Maji ▪️Mbunge Mavunde apongeza jitahada za serikali kutatua kero ya maji Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Singida Wamlilia Rais Samia Kuhusu Kesi ya Mwenyekiti wao"

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Singida, wameangua kilio kwa kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atoe tamko la kuachiwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho ambaye anadaiwa kukabiliwa na kesi ya uhani...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais Samia

    WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara ya Kilimo... Wasikilize kwenye hii link wakulima
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maana ya mnara wa Babeli nchini Tanzania na miaka mitano mingine ya Rais Samia

    Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na amani katika nchi hii ya Tanzania utaona kuna ujenzi wa mnara wa Babeli japo si wote ambao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Rais Samia ametuhakikishia Tanzania ni salama

    •Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa hali ya usalama Tanzania ipo shwari chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Amiri...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Diaspora Ubelgiji wampongeza Rais Samia kwa miradi ya maendeleo na kudumisha amani

    Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti unaoendelea kuleta mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kulinda amani na mshikamano wa kitaifa. Pongezi hizo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Evance Kamenge: Rais Samia anaweza kugombea na mtu yeyote bila ya usaidizi wa chombo chochote na akashinda uchaguzi

    Vijana wanaotafutaga teuzi bhana huwa wana miyeyusho sana Tlaatlaah njoo umchukue kaka ako === Mchambuzi wa Siasa na Uchumi Evance Kamenge akifanya mahojiano na kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha medani za siaza kinachoongozwa na Edwin Odemba, ameeleza kuwa Rais samia kwa mambo aliyoyafanya...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki. Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Back
Top Bottom