rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa wazee na watoto

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi za vitu mbalimbali kwa watoto na wazee wanaolelewwa kwenye vituo saba vilivyopo mkoani Shinyanga ili nao washerehekee Sikukuu ya Eid el Fitr kwa furaha. Zawadi hizo zimekabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha kwa niaba ya Rais Samia Suluhu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais samia atoa mkono wa heri kwa watoto wenye mahitaji maalum Iringa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa heri kwa watoto katika vituo vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani hapa kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo Mbuzi, Mchele, Mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awagusa watoto wenye mahitaji maalum kwa msaada wa vyakula Kigoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewagusa watoto katika vito vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani Kigoma kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo mbuzi, mchele, mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea na kufulia pamoja...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  5. S

    JamiiForums Tanzania HESLB hawafanyi haki kwa hili

    Je, Mfumo wa Mikopo ya HESLB kwa Postgraduate ni wa Haki? Mwandishi: Mr. Makizube Hakunaki Ndugu wanajukwaa, Baada ya kupitia kwa kina miongozo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa shahada za uzamili (Master’s) na uzamivu (PhD) kwa mwaka wa masomo 2024/2025, nimeona kuna...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aahidi Milioni 30, ukarabati wa Kanisa Geita

    Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Rais Samia ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi vijana ndani ya Chama na Serikali

    Mjumbe wa Halmashauri kuu Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mbeya Ndele Mwaselela amesema Rais wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi vijana ndani ya Chama na Serikali. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusidanganyike, unapompa mwekezaji asimamie shirika kama Reli, Ndege, Bandari au Mwendokasi, yeye anapata faida zaidi kuliko nchi

    Kuna kitu Watanzania labda kwa ulofa wetu tu hatujakielewa kuhusu kutoa mashirika teyu kama bandari, reli, ndege, mwendo kasi nk kwa waawekezaji toka nje. Wakati tutakiri kwamba ufanisi wa haya mashirika unaweza kuongezeka, lakini lazima watu waelewe anaefaidika na faida ya kifedha hapa sio...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaridhia wito wa Rais Samia kuanzisha Commonwealth Julius Nyerere Scholarship

    JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere Scholarship. Mafanikio hayo yanatokana na majadiliano ambayo Rais Dkt.Samia aliyafanya na Katibu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid kwa watoto yatima Kagera

    Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa Eid kwa vituo vyote vya kulelea Watoto mkoani Kagera hapo jana tarehe 29/03/2025. Taarifa...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia amekwisha toka wampe Tuzo ya Comedy. Mafufu asema Rais Samia ni muigizaji namba moja!

    Wakuu, Chawa mnamharibia mama:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: nyie si wa kumshusha hadhi Rais Samia namna hii. Yaani toka apewe tuzo ya comedy ni huzuni, sasa anatembea na lebo hiyo kwenye kila anachofanya! Safari hii mama kaingia kwenye mfumo😂🤣, chawa wanazidi kuchochea moto azidi kuonekana...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT yafanya dua ya shukrani kwa miaka 4 ya Rais Samia

    Wakuu, Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) imefanya Dua Maalum ya Shukrani na Kumuombea Rais Samia kwa Uongozi wake mahili katika kipindi cha Miaka Minne ulioleta maendeleo na neema kwa Taifa la Tanzania na kuongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Mustafa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakala wa Vipimo nchini (WMA) washukuru Rais Samia kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya kazi pamoja na kutoa stahiki za kifedha

    Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma. Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau mbalimbali, watumishi wa Ofisi hiyo, Viongozi wa Dini na Viongozi wa serikali. Akizungumza kwa niaba...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Familia ya kada CCM aliyetekwa yamuangukia Rais Samia

    Familia ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Daniel Chonchorio maarufu kama ‘Chox’, imemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la kutoweka kwa mpendwa wao. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Machi, Msemaji wa Familia ya Chonchorio, Lucy Mdimi amesema...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Namna mashirika ya umma yanavyotumia 4R za Rais Samia

    Kutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa. 1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara kutoka billion 4.32 mwaka 2022 hadi billion 27.7 mwaka 2023. 2.TRC wao wameupiga mwingi zaidi na...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Mipango na Uwekezaji: Maswa tutampa kura za kishindo Rais Samia

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo, amesema hana wasiwasi kuhusu ushindani katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, akiamini kuwa maendeleo yaliyotekelezwa jimboni kwake yanampa nafasi kubwa ya...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  18. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

    Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report...
  19. L

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI juu ya Deni la Taifa na namna Rais Samia alivyotumia vizuri kila Senti aliyokopa katika Miradi ya Maendeleo

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nitoe Ufafanuzi wa kina na maelezo ya kutosha na yenye ushahidi wa Kutosha kuelezea suala la Deni la Taifa na kile kilichofanywa kwa kila senti iliyokopwa na serikali ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa vigezo vipi na sababu zipi za kumpa mitano tena?

    Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja? Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika Trilion...
Back
Top Bottom