rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi

    Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Reforms wanazozitaka Chadema ni ngumu kiasi gani mpaka zisifanyiwe kazi? Mbona Reforms ni sehemu ya "4R" za Rais Samia lakini CCM wanapinga?

    Hili ni swali ambalo najiuliza. Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani? Badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo ya Chadema, nguvu kubwa zaidi imeelekezwa katika kuwabeza, kuwatukana, kuwatisha, na kuwakatisha...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Uhuru wa Vyombo vya Habari waimarika chini ya Rais Samia

    Wakuu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa Vyombo vya Habari umeimarika kwa kiasi chake ambapo Magazeti yaliyokua yamefungiwa yamefunguliwa...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba umtumbue Mkuu wa mkoa wa Tabora hatoshi pale

    Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga wachezaji, ambazo hizo ni Tuhuma chafu sana alitaka ajibiwe vipi? Yaani aje kishabiki halafu kumjibu Yanga...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma . Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais...
  6. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

    == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla, Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wangu SAMIA: Utashinda, lakini likemee jambo hili na kuwachukulia hatua kali wahusika

    Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaokupenda sana, na kukuombea ufanikiwe. Lakini naomba suala la utekaji na mauaji yenye mlengo wa kisiasa ulichukulie uzito mkubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Utakumbuka kuwa mwaka ijana uliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze matukio ya watu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Yusuf Makamba awaomba Watanzania wamuombee Rais Samia ushindi na Afya Njema

    Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuf Makamba, amewataka Watanzania kumuombea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ushindi, afya njema umri mrefu kutokana na kujitoa kwake kwa dhati kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya taifa. Akizungumza katika dua maalum iliyofanyika nyumbani...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa "Umoja Wa Wanaume Tanzania" utakaofanyika Dodoma

    Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma. Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili...
  10. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid El Fitri Mbeya kwa watoto wenye uhitaji maalum

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo, Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: CAG amempongeza Rais Samia

    Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa akizungumza na Clouds FM amesema "Ukisikiliza ile ripoti ya CAG utaona Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ile Ibara ya 143, Ibara ndogo ya 4 ya Katiba ya kupokea taarifa na...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Mwaselela: Kazi za Rais Samia zinatupa jeuri kwenye uchaguzi 2025

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, 2025 kikijivunia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kimesema kuwa kazi kubwa ya utelekezaji wa Ilani ya CCM, ikiwemo ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati ambayo kwa sasa imeiweka Tanzania kwenye ramani...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Rais Samia hajasema ukweli kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi kuundwa kwa kuzingatia maoni ya Wadau wote

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye Baraza la Eid kwa kudai kuwa tayari Tume Huru ya Uchaguzi imeundwa kwa kuzingatia maoni ya wadau wote na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamasha la kuombea uchaguzi mkuu 2025 laungwa mkono na hotuba ya rais Samia

    Wakati maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 yakipamba moto wake, hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nayo imekazia amani na utulivu kipindi cha uchaguzi. Akihutubia kwenye Baraza la Eid El Fitr kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia abariki ATCL kuwapelea Mahujaji Makka

    Rais Samia amebariki Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupitia ndege yake ya Boeing 737-9 kuwapeleka Mahujaji Makka nchini Saudi Arabia.
  17. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, CCM hamuwezi tena kufanya uchaguzi wa huru na haki. Waambie Watanzania Aliyekuwa mkuu wa wilaya Maswa Kwa nini umemwamishia Bunda ??

    Hata magufuli alisema hivyo hivyo Ile 2020 lakini yaliyotokea Kila mtu anajua. Kumuamini mwanasiasa tena wa ccm ni kazi sana. Juzi tu 2024 wameiba uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaengua wapinzani halafu Leo anatoa hizo kauli .. inatia hasira sana... Mwaka 2024 uchaguzi wa serikali za...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Uchaguzi Mkuu utafanyika kwa Haki, Falsafa ya 4R kuendelea kutumika

    Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika uchaguzi mkuu ujao Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!

    Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano. Aidha ameongeza kuwa...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Machi 31, 2025

    Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki...
Back
Top Bottom