rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya CCM na Samia nani tatizo au nyenzo kwa taifa letu

    Rais Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi yeyote, hata tofauti, si rahisi kumuelezea. Wapo wanaomsifia hadi inatia kinyaa. Na wapo wanaomkosoa hadi inakuwa nongwa. Ukichuguza sintofahamu hii, unashindwa kuelewa kama tatizo ni yeye au CCM au vyote. Kwa maoni yako, nini tatizo au ubora kwa taifa...
  2. mshale21

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amtaka Gwajima asimjaribu

    Kuna maneno yanazunguka mitandaoni yakimnukuu Rais Samia akitoa ya moyoni juu ya Gwajima kuwa anatumia kanisa kutakatisha fedha, je maneno haya ni kweli kayasema ? Na kayasemea wapi?
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini ni "watumishi wa ushetani'

    Akiwa anazungumza wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT, Rais amesema: ""Nilikuwa namsikiliza Katibu Mkuu wa Dayosisi hii ametaja mambo kadhaa ambayo kanisa hili linafanya katika sehemu mbalimbali nchini. Sasa ndugu zangu huu ndio utumishi wa...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Chalamila amemwambia Rais Samia Ridhiwani hamiliki vituo vya shell

    RC Chalamila leo amemwambia Rais Samia kwamba Ridhiwani hamiliki vituo vya mafuta na $750,000 oil tankers.
  5. B

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  7. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameruhusu utawala wa sheria ufanye kazi wengine mnalalama, tambueni urais ni taasisi

    Friends and our Enemies, Kama Kuna ambao walidhani kwa kuwa huyu Rais Jinsia yake ni KE,basi wanaweza kuleta ubabe kwake na kutaka kufanya utawala wake uyumbe,basi watambue wamedhania vibaya. Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu,VYOMBO vyote vya ulinzi na usalama vinatii na kuripoti kwake,lazima Heshima...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

    Ndugu zangu Watanzania , Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
  9. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hakupita jeshini, Rais Mwinyi hakupita Jeshini. Wabunge wengi pia hawakupita jeshini, nchi ina tatizo

    Sehemu kubwa ya hawa wote niliowataja, ndo wanachochea matumizi ya vyombo ya ulinzi ktk amani ya nchi. Bahati mbaya baadhi yao hawakwenda jeshini kwa kukwepa sheria iliyokuwepo. Yawezekana kabisa hawafahamu matokeo ya maneno yao juu ya vyombo vya ulinzi wa nchi. Huko bungeni pia kuna wabunge...
  10. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

    Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!! Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!! Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh amshukia aliyewaombea kiharusi wanaomsema vibaya Rais Samia, asema Masheikh wengi wanasumbuliwa na njaa

    "Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
  12. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara, Othman Dunga: Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais

    Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi. "Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa...
  13. toriyama

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Siku sio nyingi Askofu Gwajima atatangazwa kuwa ni MHAINI, Anatishia Usalama wa Rais Samia, Kupanga Njama Ovu!

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, jina la Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, limekuwa likizua mjadala mkali. Hivi karibuni, uvumi umeenea kwamba “muda sio mrefu” Gwajima atatangazwa kuwa mhaini anayetishia usalama wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mzee aliyesema "CCM hii ni ya Wahuni sio aliyoiacha Mwalimu Nyerere" , tunaomba asitekwe

    Rais Samia ana Kofia mbili, kwanza ni Rais wa Nchi ili ni Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi(CCM). Huwa anaipenda sana CCM kiasi kwamba ukiongea kitu hasi kuhusu chama kilichompa Urais, unawezwa fanywa chochote. Huyu Mzee anawapa Ushuhuda Vijana waliomuuliza kama CCM hii ya sasa 2025 chini ya...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Samia hana kosa hata moja, Muliro hana kosa, IGP hana kosa. Kosa liko vichwani mwa Watanganyika

    Muliro ameshasema yeye anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika, IGP pia anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika. Yaani wanasimamia sheria zenu mlizozitunga. Ziwe mbaya, ziwe nzuri hilo haliwahusu. Jukumu lao ni kuzisimamia. Watanganyika ndio mliotunga sheria ya...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa kwa taifa lakini kumbe mpaka kenge atoke damu!

    Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu? Kwanini Magufuli hatoi somo? Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa? Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli? Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next? Ila...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashughulike na matatizo ya usalama wa wananchi na sio kushughulika na wanaofichua uovu. Sura ya Tanzania kimataifa imekuwa mbaya mno!

    Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  20. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
Back
Top Bottom