rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tafadhali Sikiliza Sauti ya Watu wa Mungu

    1. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakutambua kama kiongozi wa nchi yetu, mama wa taifa, na muendelezaji wa juhudi za maendeleo. Tunakupa heshima yako kama mkuu wa nchi. 🇹🇿 2. Lakini tunakuomba kwa unyenyekevu, usikilize kilio cha viongozi wa dini ambao kwa nyakati mbalimbali wamekuwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usifikiri unaungwa mkono, wanakuangalia tu wakichoka watarudisha mpira kati

    Wanazengo wanasema ushauri si lazima upokelewe ila mjumbe hauwawi. Nimeona na mimi niandike kwasababu uwezo ninao na nia pia juu ya haya yanayoendelea kila mtu anaruhusiwa kuandika lake liwe la kweli au uongo sio kosa. Mimi kama Mtanzania wa kawaida kabisa ninachokiona kinaendelea nchini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atakapotoka madaraka ataenda kuishi Oman na familia yake?

    Najalibu kutafakali kwa haya yanayotokea huyu Mama baada ya kustaafu sizani kama atabaki Tanzania kama marais wenzake waliomtangulia,namuona yeye na familia yake wakienda kuishi Oman huku nyuma akiwa ametuachia msala wa mavurugano mkubwa wa kivyama,kisiasa na kidini, Kama huko CCM hakuna wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

    Tafadhari kila mmoja asambaze uzi huu Kila mahali kwenye Magroup ya WhatsApp na mitandandao ya Kijamii Nafahau Samia unaweza Kusoma taarifa, Washauri wanaomtakia mema Samia na Washauri wasiomtakia mema Samia. Rais Samia analazimishwa kucheza Karata mbaya za kisiasa, Katika Washauri wa Karibu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia alifungua mlango kuwasikiliza, sasa hivi kimetokea nini?

    Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa. Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale...
  6. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yapeleka bilioni 669 za barabara, madaraja mikoa ya kusini

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi Bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  7. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Mama Makinda na mh Sumaye kwenye tuzo ya heshima ya rais Samia.

    Waziri mkuu mstaafu mh Fredrick Truwaye Sumaye na spika mstaafu mama Anne Makinda ni miongoni mwa vigogo wa nchi hii waliohudhiria utowaji wa tuzo ya heshima kwa mh rais Samia Suluhu Hassan toka kwa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika picha anaonekana mh Sumaye na mh Makinda...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eng Ezra Chiwelesa: Rais Samia amefanikisha ujenzi wa shule za kisasa jimboni

    UJENZI WA MADARASA 9 YA KISASA SHULE YA SEKONDARI BIZIMYA. Ni kazi ya usimamizi wa kiwango cha juu kutoka kwa mbunge wa kudumu wa biharamulo Mh Eng Ezra Chilewesa ,serkali ngazi ya wilaya ya biharamulo, Halmashauri ya wilaya chini ya chama dume chama cha mapinduzi ndio unaona madarasa haya ya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Gwajimanization ni Ujasiri wa kusema Ukweli na kutikisa misingi ya ufisadi na dhulma katika nchi

    Askofu Josephat Gwajima ameielezea dhana ya Gwajimanization kama hali ya kuwa na ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli na kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi, hata kama ukweli huo unauma au hauwapendezi walioko madarakani. "Sasa nilipoona Gwajimanization nikataka niitafasiri...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemwa kwa haki kabisa kutokana na mwenendo wa uongozi wake. Sijui kwanini anaona anaonewa? Mimi simuelewi kwanini aone hivyo

    Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri. Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu. 1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
  11. L

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa pongezi kwa Rais Samia kwa kupewa tuzo na Bunge

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kimempongeza Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha CCM hakina mgombea urais mpaka sasa kwani mchakato wa kumpata Samia haukuzingatia katiba ya CCM

    Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naumia na kuteseka sana moyo wangu mpaka natokwa na machozi nikiona mtu anamtukana Au kumdhalilisha na kumvunjia Heshima Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Nisema tu ukweli wa Moyo Wangu ya kuwa huwa ninaumia ,kuteseka na kukosa kabisa amani na furaha moyoni mwangu pale inapotokea nimesikia au ninasikia kwa masikio yangu au kuona kwa Macho yangu mtu akimtukana au kumdhalilisha au kumshushia au kumvunjia heshima kwa namna...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia na Bunge lako nani kawaagiza kumpa Tuzo Rais Samia? Mmetoa kwa niaba ya nani kama wananchi hatujawahi kuridhia?

    Hiki ni kituko cha mwaka aiseee😆😆 Hivi we ulisikia wapi (kwa sauti ya Bwege)? Spika Tulia amesema yeye na wabunge wamefikiria kitu cha kumpa Rais kwa niamba ya 'wananchi wanaowawakilisha' wakaona wampe tuzo kutokana na kazi yake iliyotukuka. Mimi mwananchi nauliza ni kenge gani walitoa ruhusa...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wacha Weeh. Jamaa amekaa na Rais ame relax kabisa kama yupo home kwake. Rais yupo social sana

    Nyie mnahangaika sana. rais hivi, rais vile. Jamaa amekaa kama yupo home kwake akipiga stories na samia. Ila ukute Chawas wanavyojitaabisha humu. Utacheka tu. rais anamsikiliza kwa umakini mdau. Na mdau anajibu kitu au ana mtext mtu nadhani huku rais akisubiria mdau amalize.maisha ni rahisi tu.
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Wabunge wamempa Rais Samia tuzo kwa niaba ya wananchi

    Wakuu Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii? "Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani" "Wabunge hawa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia amtaja Janabi, asema ni kwa juhudi za Rais Samia Tanzania imepata viongozi katika taasisi za kimataifa na sio juhudi binafsi za wahusika

    "Mh. Rais umewezesha watanzania wengi kupata nafasi za uongozi katika taasisi za kikanda na kimataifa. Mfanao ya hao viongozi mmojawapo ni Prof. Mohammed Janabi aliyechaguliwa kuwa mkurugenzi wa shirika la afya (WHO) duniani kanda ya Afrika. Aidha leo hii mimi nimesimama mbele yako pamoja na...
  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Rais Samia umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria na haki za binadamu

    "Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria, haki za binadamu, na uwazi unaozingatia usawa, na maendeleo ya kila mwananchi" "Kwa nafasi yetu...
  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia amimina sifa kibao Rais Samia, asema wanaamini ataendelea kuwa taa inayoangaza njia ya taifa kwa miaka mingine ijayo

    Wakuu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Akson ametiririsha sifa lukuki kwa Rais Samia akisema wanaamini ataendelea kuwa taa inayoangaza njia ya taifa kwa miaka mingine ijayo. "Mheshimiwa Rais tunakupongeza kwa utumishi na uongozi wako ba tunaamini utaendelea kuwa taa...
Back
Top Bottom