rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwahiyo mtu akila kichapo kwenye 'Knockout ya Mama' ndio inamaanisha Rais Samia kawakung'uta wapinzani wake?

    Mi nauliza tu swali, mlianza kwenye comedy hadi mkampa tuzo, na wakasema mama ndio mchekeshaji wa kwanza😂😂 haya tukatulia. Sasa kwenye Knockout ya Mama mtu akila kichapo inamaanisha kala kichapo kwaajili ya mama, au mama kala kichapo au walioshinda ndio wameshinda kwaajili ya Samia? Mwisho...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi mbona kwa vitendo na kauli za Samia ni kama tayari ameshajipitisha urais 2025/2030

    Kwa yanayoendelea na muafaka ukipatakana wa uchaguzi, kuna dalili nyingi za uvunjifu wa amani. samia matamko na vitendo vyake ni kama tayari ameshajipitisha urais anasubiri wa ngazi za chini aletewe. Tusipokuwa naye makini akipita kimabavu huyu si ajabu atataka kutawala milele.
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hayati John Magufuli akiingia ofisi za chama - CCM kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea u - Rais kwa awamu ya pili mwaka 2020

    https://youtu.be/IE9sYQ6WgE0?si=C66gZnDjjqoCBh1k Hii ni hatua muhimu ta kwanza ndani ya chama iliyofanywa na Hayati Rais Magufuli alipokuwa anakiomba chama chake CCM kimteue kugombea u - Rais wa JMT kwa awamu ya pili mwaka 2020... Huyu Samia Suluhu Hassan achilia mbali kuwa yeye ndiyo itakuwa...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Bila Shaka Mkutano wa Leo wa CCM umedhihirisha uungwaji mkono wa Rais Samia kutoka Viunga vyote vya nchi

    Hata mimi nimejifunza kitu hapa. Yaani iwapo kuna mtu ana mashaka na uungwaji mkono wa Rais Samia ndani ya chama chake basi leo imedhihirika tena mbele ya Dunia kwamba Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa wanayo imani kwa mwenyekiti wao. Kwamba hakuna wajumbe wenye sauti ya popo waliojificha...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  6. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Kuchukua Fomu ya Urais Mwezi Ujao. Vijana Wajipanga Kumsindikiza Kwa Maandamano Makubwa Yatakayo Itikisa Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa kuchukua Fomu Ya Urais Mwezi Ujao. Hii ni Baada ya hii leo Tume Huru ya Uchaguzi kutangaza kwa tarehe ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu Za Uteuzi wa...
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata kama walikiuka kanuni Januari 19, 2025 bado Rais Samia ndiye bora kuliko wote wanaotamani kuwa wagombea wa CCM

    Japo wengi wanashabikia kwa kutofahamu, lakini kazi aliyoifanya Samia ni kubwa sana katika nyannja zote. Hata wapinzani wanaponda sana utawala wa Samia lakini katika waliopo CCM sasa hivi pengine Samia ndiye bora kuliko wote Haya ni mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan (Machi 2021 – Julai 25...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Rais Samia ashawahi kugombea ubunge na kushinda kwa njia ya kuchaguliwa?

    Wabobezi wa mambo tunaomba mtusaidie au alipitishwa kwa ubunge wa viti maalumu?
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Je Rais Samia atavunja mwiko wa historia ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Tanzania kwa miaka 15 mfululizo baada ya Mwl. Nyerere?

    Tukiangalia historia , desturi na katiba zetu viongozi ngazi za juu kuanzia waziri mkuu , makamu wa Rais na Rais hushika nafasi hizo kwa kipindi kisichozidi miaka kumi. Aliyewahi kuzidisha kipindi hicho ni baba wa taifa tu Mwalimu Julius K. Nyerere. Je kwa mwenendo huu Inawezekana tukapata...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Samia atapitishwa kuwa mgombea anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni mapema

    Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema, Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na...
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia sikiliza neno la bwana kuhusu Urais 2025

    ...
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia usiwe king'ang'anizi, chutama ufuate taratbu za kumpata mgombea Urais CCM

    Kwa huu upepo ulivyo ingekuwa nchi zilizoendelea Rais Samia angejiuzuru au kuomba radhi kuwa alikosea na kuanzia utaratbu upya wa kumpata mgombea urais. Matokeo yake amekuwa kinganganizi kama Zuchu, amejilipua liwalo na liwe. Samia unavuna ulichopanda, mauaji uliyoyafanya, watu waliobakwa...
  13. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Turufu pekee iliyobaki kwa Rais Samia

    Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana kwenye siasa za sasa. Siasa za sasa zinahitaji amshaamsha. Haifichiki tena kuwa mambo ndani ya CCM...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongoza maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa -Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. https://www.youtube.com/live/vvJ8gjVKhns?si=w7pu2HxrbmchZaTX Kila tarehe 25 Julai ya kila mwaka...
  15. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Kumbe mama anapendwa na kukubalika na makundi mengi katika jamii ikiwepo watumishi wa umma na mama wajasiriamali

    Jana tuliona na wengine kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha watumishi wa umma wakishangilia mitaani (kwa furaha na mbwembwe nyingi) baada ya kutoka "kudroo" chochote kitu NMB. Leo katika pitapita zangu mtaani hali imetulia kidogo (kwa watumishi hao) ila nimeshuhudia...
  16. Five55

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Butiku: Rais Samia alizidiwa nguvu na wajumbe baada ya Mzee mmoja mstaafu kutoa hoja, lile haikuwa takwa lake alilazimishwa

    Mzee Butiku ambae ni mwenyekiti wa Kigoda cha Mwl Nyerere, Hivi majuzi akihojiwa Nyumbani kwake Butiama mkoani Mara na kituo maarufu cha ITV katika kipindi Cha DKT 45, Ametoa maoni yake kuhusu Uteuzi wa Mgombea Urais wa CCM kwa uchaguzi mkuu wa OCT 2025. Pamoja na mambo mengine Mzee Butiku...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kutua Kibabe Mkoani Ruvuma July 30. Kuzindua Mradi mkubwa wa Madini Ya Uranium. Mataifa Tajiri Ya G7 Yasubiri Hotuba yake Kwa Hamu Kubwa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajia kutua kibabe...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi maadhimisho ya mashujaa kesho Julai 25, 2025

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa vyombo vya habari kushirikiana na Serikali katika kuelimisha jamii kuhusu historia ya mashujaa nchini. Dkt. Biteko ametoa wito huo Julai 24, 2025 katika Uwanja na Mnara wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali, Mtumba...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
Back
Top Bottom