rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  2. peno hasegawa

    PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
  3. M

    Yanga/Simba imewezekana, Samia Fanya angalau reforms ndogo Waruhusu na CHADEMA Kushiriki, utapendwa. Tunataka kuondoa Vilaza Bungeni

    Mama Yetu Samia, Leo umefanya Jambo kubwa sana, kwakuwa uliona kuna mgogoro na malalmiko kati ya Simba na Yanga, Sisi wananchi tunaamini Rais Ndo Kila kitu , ukiamua nchi itulie inatulia, leo Bodi ya Ligi imejiuzulu, mgogoro wa Yanga, Simba TFF umeumaliza kwanini usilirefushe hili jambo mpaka...
  4. funaku

    Kwa mara nyingine tena Rais Samia anaitendea Haki Sekta ya BIMA Ya Afya abuni chanzo kipya cha mapato

    Rekodi hii inawekwa jukwaani ili siku asipokuwepo tumkumbuke sana. Alianza na upitishaji wa Sheria ya bima ya Afya kwa wote na Sasa ameleta njia ya utekelezaji wake na akaenda mbali yaani kuanzisha mfuko wa Dhamana ya Ugonjwa wa UKIMWI. Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti...
  5. Megalodon

    Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni

    Poleni Sana Watanzania. Mpo kwenye MSIBA mkubwa. Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni. Ila VIONGOZI wa CCM ni wana hela hadi wanaumwa hela, I tell you my fellow …. HELA zinapigwa kupitia miradi and all...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Sheikh Kabeke: Unapomtukuna Rais unakuwa umeathiri Watanzania

    Sheikh Mkuu Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewavaa na kukemea vikali kitendo cha baadhi ya watu kumshambulia na kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan huku akidai kufanya hivyo kunaweza kumwathiri Rais katika kufanya na kutekeleza maamuzi. Akizungumza wakati wa dua maalumu ya kumuombea Rais Samia...
  7. R

    Kama CCM kufuatana na katiba yao wangeli float majina yapigiwe kura, Samia asingelipita kura za maoni za NEC!

    Viashiria vyote vinaonesha hivyo. Tunao mitaani, ndugu zetu, tena wakubwa wanasema bila figisu zilizofanyika, Mama asingelipita! Alikuwa anabwagwa katika round ya kwanza! 19 Januari 2025 Na Humphrey Mgonja CHANZO CHA PICHA,CCM Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha...
  8. U

    Rais Samia akifuatilia kwa umakini Bajeti Kuu ya Serikali 2025/26 ikisomwa Bungeni Leo

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Mhe. Dkt. Samia alikuwa...
  9. Ojuolegbha

    Rais Samia Apongezwa kwa kuwa mfano bora kwa Wanawake

    Rais Samia Apongezwa kwa kuwa mfano bora kwa Wanawake Wanawake wa Taasisi ya Salama Mapesa kutoka mji wa Ntsoudjini wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro na kupongeza uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi mfano bora kwa wanawake Afrika. Viongozi wa Taasisi hiyo...
  10. McLaren

    Bunge lapiga makofi baada ya Rais Samia kuonekana akifuatilia kwa njia ya mtandao uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali. Hapa tuna muhimili kweli?

    Wakuu, Rais Samia nae anafuatilia kwa njia ya mtandao wasilisho ya Bajeti Kuu ya Serikali Hapa kuna uhuru wa Mihimili ya Serikali kweli? Kwa wajuzi wa siasa za nchi kitu hiki kishawahi kufanyika?
  11. GENTAMYCINE

    Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  12. JanguKamaJangu

    Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  13. McLaren

    Yanayoendelea Tanzania yafika Marekani. Gazeti la Wall Street Journal yamkaanga Rais Samia!

    Wakuu, Naona kelele za Watanzania zimefika duniani huko. Sasa tuone kama CCM wataweza kufungia hili gazeti nalo!
  14. L

    Rais Samia Kuingia Katika vitabu Vya historia yaDunia. Ni Baada ya Kualikwa na Mataifa mawili Tofauti kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya uhuru wao

    Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia kupendwa basi huku ni zaidi ya kupendwa ,ni zaidi ya kuheshimika ,ni zaidi ya kuthaminiwa,ni zaidi ya ushawishi ,ni zaidi ya kukubalika na Dunia. Kwa hakika Rais Samia anapendwa hapa Duniani sijapata kuona ,.anakubalika haijapata kutokea. Ana ushawishi...
  15. britanicca

    Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya

    Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
  16. Waufukweni

    Nabii aliyechangiwa Milioni 100 na Rais Samia, Kuhani Musa adai atazungumza mema aliyofanya Rais

    Nabii Mussa Richard Mwacha Maarufu kama Kuhani Musa, amesema kuwa Tanzania imekuwa kitovu cha amani barani Afrika, na hivyo kuwa kimbilio kwa watu kutoka mataifa jirani wanaokumbwa na machafuko. Ameeleza kuwa mara nyingi ndugu zetu kutoka nchi kama Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  17. ChoiceVariable

    PreGE2025 Mzee Wasira: Mitano Tena" ni kwa Samia, wengine watasubiria mchujo

    My Take Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, leo Juni 11, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, ametumia jukwaa hilo kuwakumbusha wanachama wa CCM nchini kuwa kwa sasa mgombea...
  18. Mudawote

    Dkt Samia Alipongezwa Mapema Kabla ya Katiba Kuruhusu – Je, uklikuwa na Ajenda?

    Kuna tukio moja la kihistoria ambalo linaacha maswali mengi, hasa kwa wana-JF wenye kupenda kuchambua mambo kwa kina. Ni lile tukio ambapo Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, alikuwa kwenye ziara Mtwara, na wakati huo huo moshi mweupe ukafuka Moshi – tukio lililozua tafsiri...
  19. Holoholo-Baba Kijacho

    PreGE2025 Kishindo cha Awamu ya Sita: Miaka Minne ya Rais Samia, Huduma za jamii zimeenea kila pembe ya nchi

    Wakuu, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza. Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa...
  20. Lord Diplock MR

    Rais Samia apokea simu ya Salim Kikeke aahidi kufanyia kazi yanayosemwa mitandaoni, aahidi taifa lenye umoja

    Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao. "Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo...
Back
Top Bottom