rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Mmewahi kujiuliza ni kwanini Rais Samia akiwa makamu wa Rais Alipangiwa ziara na kuendelea na ziara ndefu Mkoani Tanga mpaka siku anapewa taarifa za kifo cha Hayati Dkt Magufuli ili sasa yeye ndiye autangazie Umma wa Watanzania juu ya taarifa hiyo nzito ambayo haijawahi...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jitokeze hadharani useme lolote ama tukuone tu na roho zetu zitulie

    Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza...
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

    Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
  5. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejenga jumla ya VETA mpya 94 na 29 alizozikuta amezikarabati

    Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050. Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Muda wowote Nitaeleza kwa kina juu ya wote wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia na kuleta Vurugu na kuigawa CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa kujua ajenda ya kakikundi kanakotaka kujipachika jina la uzalendo kutimiza ajenda zake ovu na zenye...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Adui nambari moja wa Samia Suluhu ni Sukuma gang, sio Tundu Lissu

    TAL anatetea maslahi ya Tanganyika. Ameanza hizo harakati tangu enzi za mzee Benjamin Mkapa mpaka sasa. Sukuma gang wanatetea maslahi yao na matumbo yao Sukuma gang sio kabila bali wafuasi wote wa jiwe bila kujali makabila au asili yao
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa

    Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi. Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ndani ya CCM tatizo ni mfumo dume!

    Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli zenye miguno ya malalamiko. Akafuata Askofu Josephat Gwajima...
  10. M

    JamiiForums Tanzania H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania TASAF inatumia Tshs Bilioni 900 kuhudumiwa watu milioni 5

    Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewaonesha wana CCM utaratibu wa Rais kuwa Mwenyekiti wa Chama ni mbovu. Rais ni lazima akiogope Chama, na si Chama kumuogopa

    Kwa yanayoendelea Tanzania, ikiwa kwa CCM, Mwenyekiti angekua sio lazima awe yule ambaye ni Rais, Naamini CHAMA KINGEKUA KIMESHAMREJESHA RAIS KWENYE MSTARI. Sasa Rais ambaye ana miliki vyombo vya Dola, ndio huyo huyo Mwenyekiti, yaani ana nguvu za kichama na Serikali kuwadhibiti wapinzani wake...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora tarehe 18 Oktoba, 2023.
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia alikuwa anamalizia ngwe ya mwisho ya hayati Magufuli. Mchakato mwingine ulipaswa kuanza upya

    Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977 kuwa Rais aliyepo madarakani akifa basi makamu wake moja kwa moja anakuwa Rais kumalizia ngwe yake. Kwa bahati nzuri hayati Magufuli alikuwa mwanzoni kabisa mwa ngwe yake ya mwisho. Rais Samia alipaswa kumalizia ngwe hiyo na baada ya hapo kiti kilitakiwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apata mpinzani mwingine: Rose Kahoji wa CUF atangaza nia ya kugombea Urais

    Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Samia na Mbowe hand shaking.: Je hii ni dhihaka, dharau na kejeli dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu?

    Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Samia kasalimu Amri na kutaka kurudi kama 2021-2022

    Msishangae Raisi Mama Samia mambo ya nchi naona hayaendi vizuri sasa anatafuta middle man wa kumsaidia ili aweze kujirudi. Mtu huyo anataka awe Mbowe ili naye Mbowe aonekane ndiye kasaidia kurudisha amani ya nchi. Chadema haizuiliki tena na Mama ameshaona nchi haitatawalika kwa mwenendo huu...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tupimane kwa matokeo ya kazi na sio maneno

    Ndugu wananchi ninapohitimisha napenda kutoa wito na maelekezo yafuatayo kwanza tubadili mtazamo na namna tunavyofanya kazi na kupimana kwani dira 2050 imeweka lengo na shabaha kubwa kufikia uchumi wa kati wa kati wa juu wa dola trilioni moja" 🗣"ni wazi kuwa hatutoweza kufikia lengo hili kama...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dira imeweka msisitizo kwenye suala la Haki, Maadili na utamaduni

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika siku maalaum ya uzinduzi wa Dira ya taifa 2050 amesema Dira hiyo ya taifa imeweka msisitizo katika suala la haki, na kulinda maadili na utamaduni wa watanzania akisema kuwa haya ni maeneo muhimu kwa ustawi wa watanzania ...
Back
Top Bottom