rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Samia tofauti na Magufuli alikuwa na nafasi nyingi za kurekebisha mambo lakini hakuzichukua, sasa it's too late!

    Kabla ya mtu kuhukumiwa hupata nafasi nafasi za kurekebisha alipoteleza na kurudisha vitu kwenye kwenye mstari. Baadhi huelewa haraka, akipata onyo mara moja ajirudi haraka, wengine ni mpaka ashtuliwe mara tatu nne, na kuna wale sikio la kufa ambao hushupaza shingo mpaka mwisho na kuanguka. Kwa...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Taifa liko kwenye Tension kubwa, Lakini mkuu wa Nchi amekaa kimya

    Inawezekana vipi katika hali kama hii ya sasa, mkuu wa nchi upo kimya na unaendelea na majukumu yako kama kawaida kana kwamba hakuna kinachoendelea, Ilhali nchi ipo kwenye tension kubwa, malalamiko ni mengi kila kona, makundi tofauti tofauti yanakupinga kwa namna unavyoongoza nchi, ila umekaa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya Rais Samia Jijini Mwanza kuweka rekodi hapo kesho. Maelfu Wajiandaa kumpokea kishujaa

    Ndugu zangu Watanzania, Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya kihistoria na yatakayo weka rekodi hapa Nchini katika Wingi wa watu wanaotarajiwa kumiminika na kufurika...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI John Heche amesema CCM ya Rais Samia ndiyo yenye unafuu zaidi

  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Vijana Geita wana imani na Rais Samia, Kuna baadhi ya wahuni wanataka kuandamana Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo,amewahimiza wananchi kupiga kura, Oktoba 29 Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bukoli, Magambo amesema vijana wa Mkoa wa Geita wamejipanga kwa ajili ya kwenda kupiga kura kwa amani...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM: Watu milioni 14 wamejitokeza kwenye kampeni, milioni 31 wametazama kupitia vyombo vya habari

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi amesema kuwa tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM kwa mgombea wake Samia Suluhu Hassan tayari zaidi ya wananchi milioni 45 wameshiriki kikamilifu kwa kufuatilia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Unapoona wingi wa watu kwenye mikutano na vyama kuvutiwa ni sababu Rais Samia anatimiza wajibu kwa watanzania kupata wanachostahili

    Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba 5, 2025 katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu Dodoma ameeeleza kuhusu Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) zinazoendelea ambapo Mgombea nafasi ya...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu wameuchukia utawala wa rais Samia kiasi cha kuombea mapinduzi?

    Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ. Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma. Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Madaktari bingwa zaidi ya 100 kutoa huduma bure Kigoma Mjini, ni wazi wameona Rais Samia anavyopambania afya za watanzania

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametoa ufafanuzi kuwa siku ya tarehe 11 na tarehe 12 Oktoba 2025 Jimbo la Kigoma Mjini linatarajia kupokea Ugeni Mkubwa wa madaktari Bingwa ambao watatoa huduma ya matibabu Madaktari hao...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asia Halamga: Aliyoyafanya Rais Samia Hanang yataishi milele

    Mgombea ubunge Jimbo la Hanang kupitia CCM, Asia Halamga amesema wema alioufanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Dk Samia Suluhu kwa wananchi wa Hanang utaishi milele.
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele

    "Dkt. Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele" Paresso Ameongeza akisema "miaka minne iliyopita Dkt. Samia Suluhu Hassan si kwamba tumemsikia kwa maneno lakini pia tumemshuhidia kwa vitendo vya kimaendeleo" Amesema Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM inalenga kuboresha maisha ya watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu: Mimi ni mwanafunzi wa Rais samia wasiwe na wasi wasi, atakavyotiki kwake na kwangu wakatiki

    “Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia na Mgombea Ubunge...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hanang wamchangia Rais Samia kwaajili ya kununua mafuta yatakayosaidia katika kampeni zake

    Ila uchawa umefika kiwango kisichokubalika! CCM tayari wameshakusanya bilioni 100, basi michango mingine hiyo ni gani tena? Uchawa huu mwingie hauna tija yoyote. Ingekuwa bora kama pesa hizo zingeelekezwa kwa wale wenye uhitaji maalum =============== Chifu wa Wilaya ya Hanang Jemsi Gejaru...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Samia Umekaa kwenye kiti kwa Mapenzi ya Mungu, atakupa tena Oktoba 29 urudi Ikulu, Usiogope

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani kwa mapenzi ya Mungu na mapenzi ya Mungu yatatimia tena kwani Dk Samia atashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Makonda...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TAS Mollel: Tunaomba Rais Samia aongezewe muda

    Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Msafara wa Rais Samia umepata ajali

  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Familia ya Mwl. Nyerere yamkataa Andrew Nyerere na kauli yake. Yakamribisha rais Samia Butiama

    Andrew Nyerere na wale mliokuwa mkimsapoti kwa Kauli yake ya Kitoto na Kipuuzi ya Jana mpo? Familia ya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere imemkaribisha Mgombea Urais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan nyumbani kwake Mwitongo, Butiama mkoani Mara...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya Mgombea Urais CCM, Samia, Moshi Mjini

    Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan Moshi Mjini zimepamba moto na matembezi kuelekea Uwanja wa Mashujaa yamefana
Back
Top Bottom