rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    GE2025 Hivi Rais Samia ashawahi kugombea ubunge na kushinda kwa njia ya kuchaguliwa?

    Wabobezi wa mambo tunaomba mtusaidie au alipitishwa kwa ubunge wa viti maalumu?
  2. Sir John Deere

    Je Rais Samia atavunja mwiko wa historia ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Tanzania kwa miaka 15 mfululizo baada ya Mwl. Nyerere?

    Tukiangalia historia , desturi na katiba zetu viongozi ngazi za juu kuanzia waziri mkuu , makamu wa Rais na Rais hushika nafasi hizo kwa kipindi kisichozidi miaka kumi. Aliyewahi kuzidisha kipindi hicho ni baba wa taifa tu Mwalimu Julius K. Nyerere. Je kwa mwenendo huu Inawezekana tukapata...
  3. Q

    GE2025 Kama Samia atapitishwa kuwa mgombea anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni mapema

    Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema, Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na...
  4. P

    GE2025 Rais Samia sikiliza neno la bwana kuhusu Urais 2025

    ...
  5. Mto wa mbu

    GE2025 Rais Samia usiwe king'ang'anizi, chutama ufuate taratbu za kumpata mgombea Urais CCM

    Kwa huu upepo ulivyo ingekuwa nchi zilizoendelea Rais Samia angejiuzuru au kuomba radhi kuwa alikosea na kuanzia utaratbu upya wa kumpata mgombea urais. Matokeo yake amekuwa kinganganizi kama Zuchu, amejilipua liwalo na liwe. Samia unavuna ulichopanda, mauaji uliyoyafanya, watu waliobakwa...
  6. VUTA-NKUVUTE

    Tundu Lissu: Turufu pekee iliyobaki kwa Rais Samia

    Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana kwenye siasa za sasa. Siasa za sasa zinahitaji amshaamsha. Haifichiki tena kuwa mambo ndani ya CCM...
  7. DuaZaMama

    Rais Samia anaongoza maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa -Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. https://www.youtube.com/live/vvJ8gjVKhns?si=w7pu2HxrbmchZaTX Kila tarehe 25 Julai ya kila mwaka...
  8. Daraja2

    Kumbe mama anapendwa na kukubalika na makundi mengi katika jamii ikiwepo watumishi wa umma na mama wajasiriamali

    Jana tuliona na wengine kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha watumishi wa umma wakishangilia mitaani (kwa furaha na mbwembwe nyingi) baada ya kutoka "kudroo" chochote kitu NMB. Leo katika pitapita zangu mtaani hali imetulia kidogo (kwa watumishi hao) ila nimeshuhudia...
  9. Five55

    GE2025 Mzee Butiku: Rais Samia alizidiwa nguvu na wajumbe baada ya Mzee mmoja mstaafu kutoa hoja, lile haikuwa takwa lake alilazimishwa

    Mzee Butiku ambae ni mwenyekiti wa Kigoda cha Mwl Nyerere, Hivi majuzi akihojiwa Nyumbani kwake Butiama mkoani Mara na kituo maarufu cha ITV katika kipindi Cha DKT 45, Ametoa maoni yake kuhusu Uteuzi wa Mgombea Urais wa CCM kwa uchaguzi mkuu wa OCT 2025. Pamoja na mambo mengine Mzee Butiku...
  10. L

    Rais Samia Kutua Kibabe Mkoani Ruvuma July 30. Kuzindua Mradi mkubwa wa Madini Ya Uranium. Mataifa Tajiri Ya G7 Yasubiri Hotuba yake Kwa Hamu Kubwa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajia kutua kibabe...
  11. Waufukweni

    Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
  12. Just Pray

    Rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi maadhimisho ya mashujaa kesho Julai 25, 2025

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa vyombo vya habari kushirikiana na Serikali katika kuelimisha jamii kuhusu historia ya mashujaa nchini. Dkt. Biteko ametoa wito huo Julai 24, 2025 katika Uwanja na Mnara wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali, Mtumba...
  13. R

    GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    Hakuna mtu mwenye mapenzi na rais Samia kama mimi Ponjoro wa Kinondoni

    Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima. 1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli. 2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Rais Samia alikosea sana kumpeleka Cuba ndugu Humphrey Polepole

    Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari. Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya...
  16. Nyani Ngabu

    Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema

    Kiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana. Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema. Rais Samia alipoiita katiba kuwa ni kijitabu tu, alikuwa anatuambia ni jinsi gani kwake, sheria...
  17. Carlos The Jackal

    Nabii wa Mungu ampa Rais Samia Ujumbe wa Mwisho "Mama Fungua Kanisa" unamgusa Mungu

    Mimi binafsi niliwahi Sema humu, "Rais Azungukwe na Watu wa Dini, Wazee wa Hekima na Busara ". Ni hatari sana Rais Masikio yake yasikie habari za Uchawi, Waganga, na Mambo ya Hovyo kama hayo Ndio hao wanamwambia "Mama Fungua tu Hilo Kanisaz kwanza Gwajima ni MTU wa Shetani, fungiaaaa ". Uovu...
  18. Mto wa mbu

    Nakuuliza Samia vipi adui wako ni Tundu Lissu ?

    Samia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema. Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous Charges. Mungu si athuman malipo ni hapa hapa. Samia ndani mwake anakabiliwa na upinzani mkubwa...
  19. Carlos The Jackal

    Taifa litazame kwanza Hatima ya Utekaji na Mauaji ya Kisiasa Kabla halijatazama suala la Rais Samia Kugombea au Kutogombea!

    Kwa Mara nyingine tena naandika nikilitaka Taifa, Lijiulizwe maswali haya Kisha liamue Je Rais Samia agombee hata kama Kavunja Katiba za Chama na Taifa, au Azuiliwe Kugombea Kwa namna yoyote inavyowezekana?. Je Utekaji Mwisho wake utakua Lini ikiwa Rais Samia ataendelea ?. Je Mauaji ya Kisiasa...
  20. Mganguzi

    Nilidhani Kassim Majaliwa ndiye angekuwa Mgombea Mwenza wa Rais Samia

    Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote? Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani...
Back
Top Bottom