rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilosa: Rais Samia afuta mashamba 11 na kufufua 49

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameshusha neema kwa wananchi wa Kilosa kwa uamuzi wa kufuta jumla ya mashamba 11 yenye ukubwa wa ekari 24,119 katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro na kugawiwa kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za kilimo, ufugaji na uwekezaji...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Corona isiwe kwa wazembe kukusanya mapato ya Serikali

    Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo. Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha, Mbunge huyo amehoji namna Wizara hiyo inafuatilia ili kujiridhisha pale inapoambiwa sababu ni Virusi...
  4. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya rais Samia siku 78 tangu ashike madaraka

    YALIYOJIRI LEO JUNI 5, 2021 DODOMA, WAKATI MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA SERIKALI. Namshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa imani yake kwangu na kuniteua kuwa Mkurugenzi wa Idara ya...
  5. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mama zetu wana thamani kubwa kwenye maisha yetu

  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

    Wasau wa JF, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paulo Kagame. Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu...
  7. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kana una nia ya dhati dhidi ya uovu, wengine hawa hapa wanaoshutumiwa kwa uhuni, ufisadi na dhulma

    INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?) Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi nyakati za utawala wa Hayati John Pombe Magufuli(Dhulma, Matumizi mabaya ya Uongozi, Ufisadi n.k)...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kilimanjaro Wakuu wa Wilaya walimsumbua sana RC Mghwira wakidai Rais amekosea kuteua

    Rais Samia amesema Rais hafanyi makosa katika kuteua kutoka wafuasi wa vyama vya upinzani. Rais Samia amesema kuna wakati wakuu wa wilaya pale Kilimanjaro walikuwa wanamsumbua mama Mghwira kwa madai kuwa hayati Magufuli alikosea kumteua. Rais hakosei, amesisitiza mama Samia. Uzi huu ni...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo KARIAKOO Rais Samia Suluhu amewatembelea na kuwasikiliza wanyabiashara wanaofanya biashara ndani ya soko la Kariakoo, baada ya matembezi Rais Samia...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TPSF)

    Wadau wa JF Nawasalimi kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Mei 31, 2021 amekutana kwa mazungumzo na Viongozi wa Taasisi ya Sekta binafsi Nchini ( TPSF) Mkutano huo uliofanyika Ikulu ya Magogoni Jijini Dar...
  12. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Mtiifu wa Haki, Demokrasia na Mwanamapinduzi wa sera za uchumi wa watu

    Salaam Wana JF, Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM...
  13. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kasulu, Kigoma: Maduka yafungwa kumshinikiza Rais Samia awaondoe wafanyakazi wa TRA Wilayani

    Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao. Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba wanayo orodha ya majina ya Maofisa wote wabambikizaji na...
  14. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Bilioni 1.6 imeibiwa ndani ya miezi miwili na Waziri wa Fedha Mwigulu yupo!

    Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee! Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni,lakini haya ndio majukwaa huru kwa 100% yanaweza kukupa ushauri mzuri kuliko wale wanaokutazazma ana...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

    Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
  16. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rais Samia ndani ya siku 69 za uongozi wake

    HUYU NDIYE RAIS SAMIA NDANI YA SIKU 69 ZA UONGOZI WAKE. Na Elius Ndabila (MHITIMU LLB-MZUMBE) Mara nyingi duniani kote kiongozi wa nchi huanza kupimwa utumishi wake kwa kipindindi Cha siku mia moja. Lakini si sheria wala kanuni ni utaratibu tu ambao watu wanadhani unaweza kusaidia kujua uwezo...
  17. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

  18. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sukumeni agenda yenu ya kukutana na Rais Samia

    Kwa kuanzia hili ni muhimu na lenye nia njema. Tumetoka kwenye udikteta uliokubuhu na hivyo kuna mwanya wa kufanya reconcilliantion. Push your agenda to meet her. Na wala hamuendi kujikomba kwake, kujipendekeza, ni kuona kama kunaweza kuwa na mwanzo mpya.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waeleza kuridhishwa na mwenendo wa Rais Samia

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amesema Chadema ina imani na mwenendo wa Rais Samia. Hata hivyo Mbowe amemshauri Rais Samia kutoruhusu watu wachache kulichezea bunge na mahakama kwani michezo yao hatari yake ni kubwa sana kwa ustawi wa taifa. Source ITV habari!
  20. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Rais Samia kumtuma Hussein Mwinyi kumwakilisha nje ya nchi

    Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo. Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi. Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT? Anapotumwa yeye...
Back
Top Bottom