rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Rais Samia, Ruvuma tumekukosea nini?

    Samia Ruvuma tumekukosea Nini? Hili swali Nilimuuliza magufuli na Leo na kuuliza wewe. Tumekukosea Nini? Wewe na serikali yako hawa wangoni, wayao, wandendeule na wamatengo wamekukosea Nini? Inakuwaje hivi licha ya upendo wote tunaowapa wewe na chama chako? Hivi unajua kwenye huu mkoa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia arudisha matumaini Mbarali

    Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima Na MWANDISHI WETU, Mbarali MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
  3. M

    Ziara za Rais Samia Kusini ni kupima Msuli wa Waziri Mkuu Majaliwa nyumbani kwake

    Wanasiasa wote hususan viongozi wanapoanza kuwashughulikia wenzao huwa wanawafanyia jambo kubwa la kuwakera halafu wanaenda kufanya ziara kwenye maeneo yao ili kupima msuli wao dhidi yao. Ni kama vile mtu ampige mkeo kibao halafu anakuja kwako kuona wewe na wanao mtafanyaje. Kwa wanasiasa...
  4. K

    Rais Samia: PM Majaliwa ni mchapakazi sana

    Naona Leo Rais kaamua kusema ukweli mchungu sana Kwa baadhi ya watu juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa. Tukivua vazi la unafiki na uzindaki sote tutakubaliana na maneno ya Rais Samia juu ya Uchapakazi wa PM Majaliwa. Mungu amuweke muda mrefu zaidi na Nuru ing'ae Zaidi upande wake
  5. Analogia Malenga

    Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  6. Replica

    Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  7. R

    Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

    Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
  8. Z

    Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia! Haishangazi yalishaanza...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia afanya Mkutano wa Hadhara, Ruangwa mjini, leo Septemba 18, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara - Ruangwa Mini leo tarehe 18 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/n2bRFA5-Vtw?si=EaD4yvTy59ujimsi === Rais Samia amesema kuwepo Ruangwa ni mwendelezo wa ziara yake ya...
  10. L

    Rais Samia ni jasiri mpambanaji

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wenzetu Wakenya kwa sasa wanakabiliwa na Tatizo la Bei kubwa ya Nishati ya mafuta kuwahi kutokea na kushuhudiwa katika Taifa lao, wakati kukiwa na Tishio la mfumuko wa bei ya bidhaa nchini Kenya, wakati Nauli zikipanda nchini kenya,wakati wakenya wakikabiliwa na...
Back
Top Bottom